Hivi kwanini watu wapenda sana ushabiki? Issue ya mbowe kuwa fisadi ilishaongelewa hapa jamvini sasa watu wanarudia ili kubadilisha mada au? Wewe ukisema kuwa CHADEMA mfano wanachama wake wanalalamika kuwa mbowe, slaa ni wadini, mafisadi, wanatumia hela la ruzuku vibaya. Je wanachama kwanini wanawapigia kura? Kwanini hawaambiwi haya kwenye vikao tena vya wazi siyo vya siri kama vya chama fulani? CUF huwezi kuilinganisha na Chadema kwani inanguvu sehemu zenye waislamu wengi hilo halina ubishi. Mifano michache zanzibar, kondoa, rufiji, temeke, mikoa ya kusini. Huwezi kukuta CUF imefanya vizuri mikoa ya kaskazini labda mtu awe anakubalika hivyo watu wamchague. Hata Lwakatale kushinda mwaka 2000 ni kwasababu kulikuwa na support ya chadema pia.
Tumezoea sasa kila chama kinapojaribu kusimama kinashambuliwa plus kuplant mamruki ili kiyumbe kife cheki NCCR, TLP, CUF na sasa wanafanya kwa CHADEMA. Lakini for information chama hiki kiko makini hivyo sidhani kama kitayumba.
Ninyi mliodai apelekwe jela. Ninavyofahamu mtu hupelekwa jela kwa kosa la jinai na si kwa kusema uwongo au kukashifu.Nani kasema kosa la jinai, kwanza ndo nalisikia toka kwako.Acha upotoshaji kubali chalenges
Basi hapo hao wazee wenu mnaowaita ndipo walipo chemka. Wangeacha kura ziamue,na wewe kama unawasupport wazee upo wrong kabisa. Demokrasia si kuamuliwa na wazee, demokrasia ingeamuliwa na wanachama cha demokrasia[CHADEMA]Nimeaga nimerudi tena kidogo tu nitoe jibu la sentensi moja: NAAMINI WAZEE WALIMSHAURI ZITTO AJITOE NA ZITTO AKAKUBALI KWA SABABU CHADEMA NI ZAIDI YA MBOWE NA ZITTO. Alamsiki, siku nyingine Kituko.
JJ
hata kwako ni wazee, si kwamba tunawaita, ni umri wao....Bob, MteiBasi hapo hao wazee wenu mnaowaita [CHADEMA]
kwani unabisha kua Vikao vya CUF hufanywa misikitini, kwani kunapokua na maandamano kwa nini vipeperushi husambazwa misikiti yote.Wewe na chadema mtajua kama vikao vyenu vya kuhamasishana ni kanisani au laah,! au uchagani
Malengo yenu si kupambana na vyama visivyo na dola...recall sherehe mliyofanya baada ya kumchukua Lwakatare! lol
CCM wenyewe wanajua nani adui yao wa kwanza! joking! CCM iwaogope viongozi ambao si waadilifu ambao bei yao ni kununua muasisis moja kutoka kilimanjaro na kubadilisha uamuzi mzima...wa chama kwa faida yake na familia yake...
CCM haina shida na mtu ambaye ni fisadi mwenzao kama mbowe ambaye anaweza kununuliwa kwa kufunguliwa biashara ya kuuza pombe...etc..get your record right..na inajua chadema hai-function kitaasisi (family show institution)
Kwani unabisha kua vikao vya Chadema hufanywa kanisani kwani kunapokuwa na maandamano kwanini vipeperushi husambazwa makanisa yotekwani unabisha kua Vikao vya CUF hufanywa misikitini, kwani kunapokua na maandamano kwa nini vipeperushi husambazwa misikiti yote.
Uongozi wote wa CUF ni waislamu tena nasikia kuna harufu ya pesa chafu toka kwa vyama vya Mujahidina kule arabuni.
Mwenyekiti ni Freeman MboweKwani unabisha kua vikao vya Chadema hufanywa kanisani kwani kunapokuwa na maandamano kwanini vipeperushi husambazwa makanisa yote
Uongozi wote wa chadema ni wakristo tena nasikia kuna harufu ya pesa chafu kutoka vyama vya lord resistance army kutoka kule vatican city
Hayo ni mawazo ya Mtanzania anaejisifu kuwa na upeo, amakweli kunufaika kwako na UFISADI Kumekutia kiwi cha macho, unadhani kama hali ya klisiasa ikiharibika utaona thamani ya hako kaposho kako, siasa inaathiri kila nyanja, waulize Zimbabwe kama kuna mtu wa ZANU PF aliefaidi wakati wa crisis, mimi ni mwanachama wa chama cha siasa maana sio kosa, wewe unategeme mshahara mwisho wa mwezi sio kosa, ila tambua siasa inaathiri mifumo yote ya maisha.
Akizungumzia hali hiyo, Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Mrema amewataka viongozi wa CHADEMA kuacha alichodai kuwa ni jeuri na ubabe badala yake waungane ili kukiokoa chama hicho ambacho alidai kiko katika hali tete ya kudidimia.
Ushauri wangu wa bure kwa Mtei (Edwin), Mbowe na Dk. Slaa waelewe kuwa mambo yanaelekea kubaya, chadema inaporomoka, hivyo acheni jeuri na ubabe ili muokoe chama hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, alisema Mrema.
Nafikiri hapa unakosea, usiuite uchaguzi. Hakuna uchaguzi wa mtu mmoja bila alternative, ilikuwa mkutano wa kumtambulisha mwenyekiti.Uko sahihi Nguvumali
1.Migogoro haikosi
2.Tunataka viongozi watakaoweza kumaliza hii migogoro in peaceful manner, bila kuharibu saikolojia ya wanachama wao,mathalan , leo unasema Kafulila anatoa siri za chama-kupitia magazetini.Kesho unataka same Kafulila abaki ndani ya chama na akitoka asiseme kitu.Makosa
3.Chadema iwe na usiri sana katika kila kitu, ni chama kinaangaliwa kama dhahabu ya Mwanza! CCM kumbukeni bado wana hasira ya kuwataja mafisadi! na wanataka watoto wao waje kushika madaraka!,SIRI ZA CHADEMA NI MUHIMU akipatikana mto siri(ikawa proved) mwiteni mwonyeni,kwa siri... siyo tunasikia kuna vikao vya siri sehemu.Chadema kama chama hakiwezi kikamfanyia kikao cha siri KAFULILA WHO IS THIS GUY?? tabia hii kwa sisi wengine tunashtuka kama kuna uwazi, katiba inajulikana, ANAOGOPEWA NINI MPAKA MFANYE KIKO CHA SIRI PASI YEYE KUJUA?? HII NI DALILI YA CHAMA CHA WATU WACHACHE MKUU, sauti ya pamoja usema kwa pamoja kwa mujibu wa katiba yenu!
4.Chadema , iwe na vision ya muda mrefu, kwa mfano sijaona uhumuhimu wa kutangaza uchaguzi kama wazee walishaona Mbowe aendelee! simple and clear, waambieni wanachama jamani, tutafanya uchaguzi wa Mwenyekiti baada ya miaka 15! mkiamua wote kwa pamoja hizi kelele zisingekuwepo mkuu!
Kwa nini wasimshauri Mbowe ajitoe?Nimeaga nimerudi tena kidogo tu nitoe jibu la sentensi moja: NAAMINI WAZEE WALIMSHAURI ZITTO AJITOE NA ZITTO AKAKUBALI KWA SABABU CHADEMA NI ZAIDI YA MBOWE NA ZITTO. Alamsiki, siku nyingine Kituko.
JJ
Waberoya,Ulishaharibu mkuu, mbaya zaidi wewe ni injinia wa forums
Forum; A public facility to meet for open discussion-SAGE
Ulichofanya mara ya kwanza hakikuwa 'forum' ila ushabiki.kama wewe unaonyesha mfano huu, mkuu tutegemee nini kuja humu?
Hata kama una ushabiki weka kando, kwa nafasi yako ndani ya JF..wewe uwe kama mwenyekiti wa 'debate' kama mtu hajatukanwa whats wrong?
I am dissaponted!
Na usije kwa mamlaka yako ukanifungia au kunizushia mambo ya ajabu
Tumain salaam,John,
Kelele ni sauti zisizo na mpangilio au sauti ambazo hupendi kuzisikia (kero) inategemea uko upande na unapenda kuchukua definition ipi? nakupa mfano:-
Ukiwa polisi mzuri wewe ni kelele (kero) kwa majambazi unaleta usumbufu
Ukiwa kiongozi ambaye si muadilifu (mla rushwa, asiye toa haki na fursa sawa kwa watu wake, mbabe) wanao dai mabadiliko na haki zao ni wapiga kelele (kero)
Sasa kwa chadema na wewe ...wale wote wanaondoka, wanaoondolewa kwa kukosa uhuru, haki na wenye vyeo including yourself mtasikia kelele hizo kila siku kwakuwa ni human nature kudai haki na fursa zilizo sawa na heshima mbele ya jamii
kuita wanachama sisimizi baada ya kuacha kazi kwenye chama chenu ni dalili kwamba hakuna viongozi hapo wenye vision na ambao watavumilia uhuru wa mtu ila ni kikundi cha wababe na wahuni wanaotaka dola itakuwaje tukiwapa jeshi,polisi nk...si mtaua watu wakiwa tofauti na nyinyi ..shame on you and your leaders! esp.slaa and mbowe si wavumilivu
kupuuzia madai ya ufisadi wa matumizi ya fedha ya chama na upendeleo wa kikanda bila kufanya jitahada za maalum kupata wanachama upande mwingine wa nchi (zenj) ni dalili chafu na ni kelele kwenu nyinyi mliopewa dhamana...kwa sasa
Hamuwezi kusikia, wala hamuwezi kuona(sikio la kufa haliskia dawa) kwakuwa mko ndani mnadanganyana chadema ni family club poleni..sana you have long way to go ...