. U have a point sir/maddamhii post inaonesha wishful thinking ya maadui wa cdm na jinsi gani mbinu za kuingiza mifarakano ndani ya cdm zilivyowaishia. Tofauti kati ya cdm na ccm inapatikana kwenye mfano kama huu wa shibuda, japo shibuda yupo responsible kwa chama chake ila the most ni kwamba yupo responsible kwke mwenyewe na waliompigia kura. Kama ccm iliamua kumuacha shibuda 2010 kwa sababu alitamka atagombea urais na jk sidhani kama cdm watafuata njia hiyo.
Nadhani cdm siyo chama cha visasi kama ccm na hili ndilo linawafanya wawepo hapo walipo leo hii. Mafumbo ya shibuda hayawezi kuamsha hisia za watu wanaofanya maamuzi kisayansi, ila yataamsha hisia za watu wanapenda majungu na fitina ambao ni utamaduni uliojengeka zaidi ccm kwa baadhi ya watu wanaoona bila siasa hawan njia mbadala ya kujipatia riziki na hivyo kujikuta wanaendekeza majungu na makundi.
Itakuwaje sera ya chama wakati wabunge wa CHADEMA wanakula hiyo posho? Sera gani? Sera imeandikwa wapi? Ilipitishwa na kikao gani? Incredibly ridiculous, you are making absolute fools of yourselves here, you are against a perk which you pocket, how preposterous.Kwa matamshi yake kuwa wanaopinga Posho ni madomokaya na hiyo ikiwa ndiyo sera ya CDM... ya bunge anapinga sera za chama chake
Angalau chama kiseme chochote kuhusiana na kauli hii ya shibuda! Amewadhalilisha wanachama wa chama chake na watz wote tunaozipinga hizi posho.
Kuhusu kumwadhibu, sina la kusema maana sijui kanuni, taratibu na sheria za chama chake, ila nashauri wamuache tu maana he seems to be domokaya than those who he thinks are!
There is a lot of logic in your statement. Nilikuwa sijui hilo ndio maana nikapost hiyo thread. kama ruzuku zinakwenda kwa number of wabunge then, you need to think twice before flushing him. Ingawa kwa maoni yangu ningekubali kupoteza hiyo ruzuku yake kulinda maamuzi ya chama.
Mawazo yako hayawezi kuchukuliwa kwa kukurupuka tu.Kwa matamshi yake kuwa wanaopinga Posho ni madomokaya na hiyo ikiwa ndiyo sera ya CDM, Sasa CDM wanaweza kumfukuza shibuda. Yupo nje ya bunge anapinga sera za chama chake, wanaweza kumwajibisha kama chama kwa utovu wa nidhamu kama kanuni za chama zina kipengele hicho. Hapa kinga ya bunge ilivyoainishwa kwenye katiba kifungu cha 100 hakimlindi hata kidogo. Yupo nje ya bunge na anakashifu sera za chama chake. kama kuna provision ya hivyo katika katiba/ kanuni za nidhamu za cdm. This is an opportunity to flush him out of cdm
Guys it seems you have a point but you can not analyse it logically......
hivi nani m'baya kati ya hawa? anayechukua posho na kukaa kimya, yaana anazipenda na hasemi kuwa anazipenda, huku sera za chama kiko -kinyume na hilo..
au m'baya huyu shibuda ambaye anachukua, anasema kuwa anazipenda na aliye-kinyume chake anatukana!
ukimfukuza shibuda anayesema, shart ufukuze na wengine wanaopokea posho na wako kimya!
au hao wabunge wa CDM wanaozipokea posho hawapingi sera za CDM??
usijibu swali hili...just skip!
Smart thinking and piece of advice!
. U have a point sir/maddam
Guys it seems you have a point but you can not analyse it logically......
hivi nani m'baya kati ya hawa? anayechukua posho na kukaa kimya, yaana anazipenda na hasemi kuwa anazipenda, huku sera za chama kiko -kinyume na hilo..
au m'baya huyu shibuda ambaye anachukua, anasema kuwa anazipenda na aliye-kinyume chake anatukana!
ukimfukuza shibuda anayesema, shart ufukuze na wengine wanaopokea posho na wako kimya!
au hao wabunge wa CDM wanaozipokea posho hawapingi sera za CDM??
usijibu swali hili...just skip!
Waberoya,
Kuna tofauti kati ya sera ya Chadema kuhusu viongozi wa Chadema na sera ya Chadema kuhusu Taifa. Posho ni sera ya Chadema kuhusu Taifa si viongozi wa chadema peke yao.
Kwa hiyo, sera ya Chadema ni kupinga Posho ili wabunge na watumishi wengine wasitofautiane, nia wameonesha. Nia imekwaamishwa na uchache wao Bungeni. Sasa, ni lazima wabaki na msimamo wao huo japokuwa hautekelezwi si Bungeni tu bali hata ktk ofisi za serikali. Kuupinga sera za chadema hadharani ni kuipinga msimamo wa chama hadharani.
Ukisema wabunge wa Chadema wanaopokea posho wafukuzwe ni sawa na kusema viongozi wa Chadema wanaofanya kazi ktk mhimili wa serikali na Mahakama ambao wanaopokea posho nao wafukuzwe. Je, ndo lengo la Chadema?
Nadhani lengo la Chadema ni nchi nzima (Bunge, serikali, na mahakama) posho zifutwe. Hizo kidogo za viongozi (wabunge wa Chadema) siyo hoja ya msingi. Wao kuacha posho wakati sera yenyewe na sheria husika inalinda posho hizo siyo jibu. Ni sawa na kumsusia pombe mlevi - atakushukuru tu. Sana sana kwa walioko serikalini watafukuzwa kazi kwa mujibu wa sheria zilizopo. Heri tuje mawazo tofauti kuhusu matumizi ya posho kwa viogozi wa chadema.