CHADEMA mtafakari kauli zenu

Najaribu kuwakumbusha wanalia na jambo lile lile kila siku lakini ushirikiano hamtaki jumuiya ya kimataifa pia inawapuuza!
 
Mzuri aliejua wanafuatiliwa ndio wakutoa ushirikiano na majibu ya maswali yako!
 
Kati ya mistake mliyofanya CCM katika historia ya nchi hii ni kujaribu kumuua Tundu Lissu kwasababu tu amewashinda kwenye hoja.

Hili doa litamganda Pombe milele, halifutiki.
Tundu lissu katengeneza drama ya kudanganya jumuiya ya kimataifa kuwa nchi inaongozwa na dikteta matokeo yake picha imebuma na amepuuzwa!
 
Tundu lissu katengeneza drama ya kudanganya jumuiya ya kimataifa kuwa nchi inaongozwa na dikteta matokeo yake picha imebuma na amepuuzwa!

Mauaji mliyopanga dhidi ya Lissu yamebuma.

Jamii ya kimataifa inamtazama mwenyekiti wa CCM kama muuaji.
 
Eti "weledi Mkubwa"!!!!

Hawa Hawa Policcm??
 
Tatizo ndugu Lissu anafanya siasa kwa kila jambo, alijamba polisi hawana mamlaka ya kumhoji akiwa Nairobi, leo tena anaanza kulalamika. Nyie watu manataka nini?
 
Tatizo ndugu Lissu anafanya siasa kwa kila jambo, alijamba polisi hawana mamlaka ya kumhoji akiwa Nairobi, leo tena anaanza kulalamika. Nyie watu manataka nini?
Hawaeleweki kiukweli!
 
Iko siku mama yako atakuja kuingia kwenye 18..utajuta ..furahia mkuu wakati mambo yako yapo vzr..along the way utakuja kujichanganya tu!karma haijawahi kuacha kutoa majibu chanya..usisahau tu kuleta mrejesho!
 
Mwambieni sterling wa shambulio dhidi ya Lissu akatubu maana dunia nzima ishamjua
 
Iko siku mama yako atakuja kuingia kwenye 18..utajuta ..furahia mkuu wakati mambo yako yapo vzr..along the way utakuja kujichanganya tu!karma haijawahi kuacha kutoa majibu chanya..usisahau tu kuleta mrejesho!
Mama yako ameshaingia kwenye hizo 18?
 
Shahidi wa kwanza ni dereva yuko wapi si mliamua kukimbiza ushahidi nje mtafuteni kwanza yeye aongee na wanahabari wenu hao aseme yalikuwaje
Tulimkimbiza nje? Mimi na nani? Hivi unajua nyie vijana ni wajinga sana.

Shahidi wa kwanza ni dereva kwa minajili ipi? Au umesikia wajinga wenzako wakisema hivyo na wewe unabeba tu bila kuchanganua?

Ingekuwa vipi kama dereva na lissu wangekufa? Wauwaji wasingepatikana kwakuwa watu wa kutoa ushahidi wamekufa?

Hivi wewe hicho kichwa chako kipo sawa?
 
Naona unakomaa kuwa mjinga zaidi na kudidimiza fikra halisi ulizopewa na mwenyezimungu kusikojulikana!..Kitu kimoja tu utambue kuwa hata kama wewe sio muumini..siku yako ya kufa haiwezi kulazimishwa na binadamu..ukiona umekufa ujue siku ilishafika!ushawahi kusikia ndege imeanguka na kupona mtu moja tu!..
 
me nilidhani ktk hili jambo lissu angeonesha ukomavu mkubwa sana kisiasa, na ktk hili niliamini lissu angekuja kuwa mwanasiasa bora sana kuwahi kutokea ktk taifa hili.
Badala yake amekuwa akiangalia hali yake kiafya, akiona imekuwa vizuri kidogo anaanza kutoa kauli za kupambana na serikali/jeshi la polisi.
Hajitofautishi na wenzake ambao kwa sasa wanaonekana kuwa wa ajabu ajabu tu hata mbele ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…