Dawa ya Mjinga
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 382
- 145
Naona umekasirika kweli mpaka akili imehama! Mkuu kwa hiyo wewe umetumwa na Mbowe au Slaa? Kwa hiyo Chadema wakichukuwa nchi Watanzania wote watakuwa na maisha mazuri watakula vya halali tupu... mkuu wangu mie siwezi kuingiza mambo ya wazazi wako kuwavunjia heshima sijafundishwa hivyo, mie nimekuachia wewe mkuu ukijisikia kuwavunjia tena heshima tena kama unavyofanya ruksa mie sina kinyongo...
JF Daima.
Jazba, munkari na hasira zote za nini? Kwani kitu gani kimeharibika? Mmefarijika na usahaulifu, Fisi Wenu ndio hodari kabisa katika kupitisha muda wa mikutano yao na hakuna, narudia, hakuna polisi yeyote ambaye anaweza kumshusha kiongozi wa Fisi Wenu. Hakika kupitisha muda hakujawahi kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani bila polisi kuingilia. Unabisha? Wapi imetokea?
Yote tisa, kumi ni kuwa huo ulikuwa mfano wa kuigwa katika kutekeleza dhana halisi ya "ulinzi shirikishi". Angeachiwa polisi (OCD) peke yake angeharibu mambo - hakika amani ingevunjika bila sababu ya maana. Lakini kwa kushirikisha mwananchi (kwa maana hii Mbowe) yote yalienda vema. Ulinzi shirikishi si kwa kulinda mali tu bali pia amani na maisha ya watu.
"ULINZI SHIRIKISHI" hoyee!
Wki iliyopita ndio hili sakata limetokea kule Mtwara, mwezi haujafika mkuu...tukemee hizi tabia za viongozi wa Chadema.
Kweli JF kiboko inaibua vipaji mchanganyiko kama huyu nae wanamuita Great Thinkers Chadema-Kata
Wanabodi.
Ninapenda sana hatua ya viongozi wa Chadema kuzunguka mikoani kuimarisha chama chao, ni hatua nzuri ambayo wananchi watapata nafasi kuijua vizuri Chadema ili kufanya maamuzi kama kujitoa ama kubaki ndani ya chama hicho.
Kila kikundi, chama au taasisi yeyote inapofanya mambo yake bila kuwepo na utaratibu, kuna hatari kubwa ya kutokea fujo.
Ni hatari kwa kiongozi wa chama kutofuata utaratibu wiki iliyopita Chadema walifanya mkutano wao kule Mtwara, Mbowe alimgomea (OCD) wa Nanyumbu, Mohamed Said, alipokuwa akihutubia eneo la Mangaka, OCD alimtaka Mbowe ashuke jukwaani kwa kuwa muda wa kuhutubia ulikuwa umemalizika saa 12 jioni.
Mbowe akaanza kusema Jamani OCD anataka niache kuhutubia, sasa nasema wewe OCD mimi ni mbunge na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, hebu sikiliza usitutishe sisi, mimi simuogopi mtu yoyote awe Rais Kikwete, au Waziri Mkuu Pinda, hao nawaheshimu nao wananiheshimu, usitake kujifunzia kazi kwangu, ngoja kwanza niwaulize wananchi, mnasemaje nifunge mkutano nisifunge? Wananchi waliitikia, usifunge.
Mbowe alichotaka wananchi wamshambule OCD ili fujo itokee watu wapigwe mabomu kisha aseme kuwa polisi wanaonea wananchi, wametumia nguvu nyingi, OCD alikuwa na uwezo wa kuwaamrisha vijana wake kumshusha kwa nguvu.
Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.
Amani ya kifisadi ndo amani?kwa taarifa yako Tz hakuna amani ila kuna utulivu,watu wamechoka kuliko unavyofikiria wewe,hao polisi wenyewe wangekuwa wanafuata sheria wangekuwa wanaua watu kila kukicha?au mnaona uvumilivu wa watz ni ujinga?mnachukulia mambo kirahisi2 sana mnachukulia poa kwa sababu una uhakika wa kwenda choo.Acha ujinga wewe na magamba wenzako angalieni cha kupostWanabodi.
Ninapenda sana hatua ya viongozi wa Chadema kuzunguka mikoani kuimarisha chama chao, ni hatua nzuri ambayo wananchi watapata nafasi kuijua vizuri Chadema ili kufanya maamuzi kama kujitoa ama kubaki ndani ya chama hicho.
Kila kikundi, chama au taasisi yeyote inapofanya mambo yake bila kuwepo na utaratibu, kuna hatari kubwa ya kutokea fujo.
Ni hatari kwa kiongozi wa chama kutofuata utaratibu wiki iliyopita Chadema walifanya mkutano wao kule Mtwara, Mbowe alimgomea (OCD) wa Nanyumbu, Mohamed Said, alipokuwa akihutubia eneo la Mangaka, OCD alimtaka Mbowe ashuke jukwaani kwa kuwa muda wa kuhutubia ulikuwa umemalizika saa 12 jioni.
Mbowe akaanza kusema Jamani OCD anataka niache kuhutubia, sasa nasema wewe OCD mimi ni mbunge na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, hebu sikiliza usitutishe sisi, mimi simuogopi mtu yoyote awe Rais Kikwete, au Waziri Mkuu Pinda, hao nawaheshimu nao wananiheshimu, usitake kujifunzia kazi kwangu, ngoja kwanza niwaulize wananchi, mnasemaje nifunge mkutano nisifunge? Wananchi waliitikia, usifunge.
Mbowe alichotaka wananchi wamshambule OCD ili fujo itokee watu wapigwe mabomu kisha aseme kuwa polisi wanaonea wananchi, wametumia nguvu nyingi, OCD alikuwa na uwezo wa kuwaamrisha vijana wake kumshusha kwa nguvu.
Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.
Amani ya kifisadi ndo amani?kwa taarifa yako Tz hakuna amani ila kuna utulivu,watu wamechoka kuliko unavyofikiria wewe,hao polisi wenyewe wangekuwa wanafuata sheria wangekuwa wanaua watu kila kukicha?au mnaona uvumilivu wa watz ni ujinga?mnachukulia mambo kirahisi2 sana mnachukulia poa kwa sababu una uhakika wa kwenda choo.Acha ujinga wewe na magamba wenzako angalieni cha kupost
Kwa akili yako ya kijinga unafikiri hao polisi wanafurahia utawala uliopo au ni huo utii na sheria zilizopo ndo zinawabana,laiti ungejua wanatamani leo kesho magamba ipigwe chinicdm hata wakitawala cjuwi watafanya kazi na nani maana hawa polisi wamewa2ukana mn6
Hivi kama OCD Said, angetoa amri kwa... polisi ...kumshusha kwa nguvu Mbowe ...mtakuwa wa kwanza kulalamika kuwa polisi wametumia...
Ritz acha ujinga, CCM ndio walioanza na kulea tabia ya kuvunja sheria. Kama CCM wangekuwa watii wa sheria Mbowe asingekuwa jasiri wa kumvimbia OCD.
Kwenye kampeni wa JK 2010 Arusha. JK alifika saa 12 jioni na kumaliza saa 1 usiku. CDM walipolalamika Tendwa akawatetea CCM kipuuzi. Mnatumia Dola kulea upuzi halafu CDM wakiidharau mnalalamika.

TOWNSEND.
Ebu tujiulize Mbowe anasema hamuogopi Kikwete, sawa hamuogopi kwa lipi? Kwani kuna mtu alimwambia kuwa anamuogopa Kikwete, au Waziri Mkuu Mizengo Pinda?
Kama hakuna kwa nini basi Mbowe afikie hatua ya kutamka hadharani kuwa hawagopi viongozi hao wa taifa? Kuna nini.
Hivi nyie CHADEMA mnajifanya mko makini kwa lipi? mbona hata hiki kidogo mmeshindwa? Umeshindwa kidogo utaweza kikubwa? no way CHADEMA haifai itatupeleka pabaya.
Mbowe ndio Mwenyekiti wa Chadema kamtolea kauli ya vitisho OCD, sijui ulitaka nimzungumzie nani? sasa sijui wapi nimekichafua chama..
Mie ni Mtanzania mpenda amani napambana na wote wanaotaka kuleta machafuko nchini.
kwa akili yako ya kijinga unafikiri hao polisi wanafurahia utawala uliopo au ni huo utii na sheria zilizopo ndo zinawabana,laiti ungejua wanatamani leo kesho magamba ipigwe chini