Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
Chadema wao ni matuc na kejeli hawana mpya
Siku utakayoandika kitu chenye point au chenye chembe angalau yenye maana jua litatokea Magharibi, kwa comment zako nimeshakwambia natambua miundo mbinu yako kichwani ina hitilafu kubwa sana.Hiyo inayo kusumbua ni minyoo
Hayon yote ni makosa ya kikwete kuwaombea kibarua kwa pombeSiku utakayoandika kitu chenye point au chenye chembe angalau yenye maana jua litatokea Magharibi, kwa comment zako nimeshakwambia natambua miundo mbinu yako kichwani ina hitilafu kubwa sana.
Sijamuelewa hasa anazungumzia nini, mkuu kama wewe umemuelewa naomba nitafsrie plz.mada yako nzuri kwao ila jiandae na kapu la matusi.
wao kila kitu wanajua hawataki kujifunza
Husizime simu yako maana wakati wowote utaitwa lumumba kupewa kibaruaChadema wao ni matuc na kejeli hawana mpya
Hayon yote ni makosa ya kikwete kuwaombea kibarua kwa pombe
Haka kadudu hatar sana yani kinanyonya hadi ngoz bora nyumbu ni kivutio cha utalii nnchini. Ila kiwavi njaa tupu . Hiyo ndo green carpet a.k.a Lumumba .comWewe ni sawa na kiwaviView attachment 322158
wewe nadhani umekosea. chadema sasa ndio wanaiga kutoka ccm. si wanaiga tabia na mifumo ya kifisadi ? angalia wamepokea mafisadi wangapi toka ccm. ccm wao wamejisafisha na wanaendelea kutumbuana majipu. hahahaha! hatutawakuta tena tutaendelea kuisoma namba.Chadema si mabogasi kama ccm wewe! ✌ ccm mengi wanai? toka cdm.
Vipi huko CCM ambako JK alisema Kuna magamba na JPM amesema kuna Majipu na mengine yamekaa sehemu nyeti hata hayatumbuliki amebakia kuyatumbulia macho tu.Wafuasi Wa chadema wengi ni vibaka, wezi , waliokata tamaa .
Kwa nini??