CHADEMA msipokuwa makini jamii itawachoka

CHADEMA msipokuwa makini jamii itawachoka

Mleta uzi PIMA MWENYEWE kwa jinsi comments zinavyomwagika, umepewa ruhusa ya kuingia ktk vichwa vya watu, jionee mauza uza ya chadema! Ni kizazi cha kuwarithi kina mbowe hiki.
Kizazi cha nyoka na makenga yake,
 
Mimi nilikuwa uko kipindi cha Dr slaa lakini baada ya kupokea jambazi lowasa siwezi hawaaminiki tena hawa jamaa,
Sasa hivi wako kwa Mr escrow then 2020.wanamchukua kugombea urais KWAO ni malofa tu
Wewe hujawai kuwepo cdm kwa maana cdm haiwezi kuwa na mazuzu kama wewe
 
ukijiona taasisi ya kijamii unaelimisha kwa jamii hawakuungi elimu yako au mada zako na wanakuunga mkono si wale wenye hekima au wenye heshima zao ujue mada zako hazina maana yoyote inabidi ukae ukajiuliza nimekosea wapi ili ujirekebishi na ujipange upya.
utakuta kama chadema wale wenye hekima na busara hawakisapoti hicho chama badala ya kujitathimini tunawafikiaje ili watuelewe na kutusapoti wafuasi wao wanaishia kuwakejeli na kuwakebehi.
muwe makini ili mueleweke kwa jamii
Watachokwa kama ccm walivyochokwa tayari ?
 
Mbona husemi ccm imeshachokwa na wananchi? Watakapochokwa na vyombo vya dola hapo ndio THE END.
 
Uchaguzi ilikua na jawabu tosha kwa mtoa mada ameona jinsi watu wanavyowasapoti chadema na ukawa kama sihio sapoti wasingingia bungeni
 
CCM Wajinga sana.....hawakumbuki kuwa utafiti wa Twaweza ulisema CCM iko supported na wasio na elimu na uelewa
 
CCM Wajinga sana.....hawakumbuki kuwa utafiti wa Twaweza ulisema CCM iko supported na wasio na elimu na uelewa
Na ndio mtaji wao wanaojivunia na wako tayari kuulinda kwa nguvu zao zoote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom