CHADEMA msipokuwa makini jamii itawachoka

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
ukijiona taasisi ya kijamii unaelimisha kwa jamii hawakuungi elimu yako au mada zako na wanakuunga mkono si wale wenye hekima au wenye heshima zao ujue mada zako hazina maana yoyote inabidi ukae ukajiuliza nimekosea wapi ili ujirekebishi na ujipange upya.
utakuta kama chadema wale wenye hekima na busara hawakisapoti hicho chama badala ya kujitathimini tunawafikiaje ili watuelewe na kutusapoti wafuasi wao wanaishia kuwakejeli na kuwakebehi.
muwe makini ili mueleweke kwa jamii
 
Akili zako sawa na za nge
 
Unaandika kwa kujisikia Tu au umefanya Tathimini? Chama kibnachokua kwa kasi ya Ajabu kwa Idadi ya KURA wabunge, madiwani na wenyeviti wa Mitaa na vitongoji unasema hoja zake haziungwi mkono na wenye hekima? Unafikiri wajinga na wenye hekima Tanzania wengi wepi? Na chama gani kinaongozwa kushabikiwa na wajinga wengi? kama sio ccm
 
wache watukane lakini tutakavyobadilikia watajuta nakusaga meno
Wewe ni sawa na kiwavi
1455027235596.jpg
 
Nyumbu wanawatosha, wenye hekima na busara hawawezi kuwapata, sababu huwezi kuwashikia akili wenye hekima na busara, chadema wanataka mazoba.
 
Akili hizi zitakuwa zilitunguliwa kwa jiwe then zikavundikwa ndio maana umeandika uvundo tu hapa
 
Akili hizi zitakuwa zilitunguliwa kwa jiwe then zikavundikwa ndio maana umeandika uvundo tu hapa
 
ukijiona taasisi ya kijamii unaelimisha kwa jamii hawakuungi elimu yako au mada zako na wanakuunga mkono si wale wenye hekima au wenye heshima zao ujue mada zako hazina maana yoyote inabidi ukae ukajiuliza nimekosea wapi ili ujirekebishi na ujipange upya.
utakuta kama chadema wale wenye hekima na busara hawakisapoti hicho chama badala ya kujitathimini tunawafikiaje ili watuelewe na kutusapoti wafuasi wao wanaishia kuwakejeli na kuwakebehi.
muwe makini ili mueleweke kwa jamii

Mimi nilikuwa uko kipindi cha Dr slaa lakini baada ya kupokea jambazi lowasa siwezi hawaaminiki tena hawa jamaa,
Sasa hivi wako kwa Mr escrow then 2020.wanamchukua kugombea urais KWAO ni malofa tu
 
ukijiona taasisi ya kijamii unaelimisha kwa jamii hawakuungi elimu yako au mada zako na wanakuunga mkono si wale wenye hekima au wenye heshima zao ujue mada zako hazina maana yoyote inabidi ukae ukajiuliza nimekosea wapi ili ujirekebishi na ujipange upya.
utakuta kama chadema wale wenye hekima na busara hawakisapoti hicho chama badala ya kujitathimini tunawafikiaje ili watuelewe na kutusapoti wafuasi wao wanaishia kuwakejeli na kuwakebehi.
muwe makini ili mueleweke kwa jamii
Umeandika nini wewe juha wakimataifa? JF musiifanye kama kilabuni kwamba kila mlevi anaruhusiwa kusema atakacho.
 
Akili hizi zitakuwa zilitunguliwa kwa jiwe then zikavundikwa ndio maana umeandika uvundo tu hapa
Acha matusi ukiona hoja yake haina maana pita ,vipi akili za kumchafua CHENGE Leo hii na mikakati ya kumchukua kwenye urais 2020,?
 
Mleta uzi PIMA MWENYEWE kwa jinsi comments zinavyomwagika, umepewa ruhusa ya kuingia ktk vichwa vya watu, jionee mauza uza ya chadema! Ni kizazi cha kuwarithi kina mbowe hiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom