Inategemea na mtazamo wako kama watu au viatu,hayo ni wewe na akili yako inavyokutuma.
Kwa nionavyo Chadema bado wapo nyuma sana katika kufanya siasa zenye msimamo ukilinganisha na wenzao CUF ,ambao naweza kusema ni wazee wa upinzani ,wazoefu ,wenye kupanga yakapangika,CUF wakisema wanafanya maandamano basi wanafanya na mkutano unafanywa kwa ufupi lengo linafikiwa. Sasa nini lengo la Chadema katika vurugu za Arusha ,Je lengo lilifikiwa ?
Kwa uzoefu wangu wa siasa za mapambano Chadema wamefanikiwa katika kuipaka matope serikali ya Kikwete ,ila sidhani kama hilo ndio lengo lao ,Chadema wanapigania umeya ,nchi ina mikoa mingapi ,mnaenda kuulisha watu kwa sababu za kiti cha umeya ,sijui mmepaona hapo penye uzezeta wa Chadema ?
jf kuna watu na viatu sasa wewe chagua mwenyewe upo kundi gani
WaTanganyika ni woga ile mbaya ,vita vya Uganda WaPemba ndio waliokuwa mstari wa mbele.Kama si WaZanzibari vita ile tungepoteza.mimi naamini chadema ni wanasiasa zaidi ya cuf. lkn wasiwasi wangu kwamba watu tz bara kama wanaweza mapambano ya kudumu kama wapemba
mimi naamini chadema ni wanasiasa zaidi ya cuf. lkn wasiwasi wangu kwamba watu tz bara kama wanaweza mapambano ya kudumu kama wapemba
WaTanganyika ni woga ile mbaya ,vita vya Uganda WaPemba ndio waliokuwa mstari wa mbele.Kama si WaZanzibari vita ile tungepoteza.
WaTanganyika ni woga ile mbaya ,vita vya Uganda WaPemba ndio waliokuwa mstari wa mbele.Kama si WaZanzibari vita ile tungepoteza.
Du kumbe hata historia huijui!!