WaTanganyika ni woga ile mbaya ,vita vya Uganda WaPemba ndio waliokuwa mstari wa mbele.Kama si WaZanzibari vita ile tungepoteza.
wapemba au wazanzibari? inaonekana ww ubaguzi umekuganda nyayoni, huna mpya una upupu
WaTanganyika ni woga ile mbaya ,vita vya Uganda WaPemba ndio waliokuwa mstari wa mbele.Kama si WaZanzibari vita ile tungepoteza.
Ningependa kuuliza kwa wanaJF wakubwa kwa wadogo waume na wake vijana na watoto ,hivi inakuwaje kumezuka watu humu JF ambao inaonekana kuwa ni wapenzi wa Chama Cha Chadema.Watu hawa wanakuwa na majibu ya matusi au ni lazima waandike matusi ,je hivi ndivyo Chadema ilivyo na ndio wanachama wake wanakuwa na midomo iliyojaa matusi.
Ingawa ukitazama watu hawa utaona hawazidi hata mwaka tangu wajiunge hapa JF ,wamezuka kama uyoga ,wao akili zao zinawatuma kuitetea Chama chao cha chedema kwa matusi au sijui tuseme ndio urithi wamerithi kwa wazazi wao au ukoo wao mzima.Kwani mambo mengine huwa ni ya kurithi na ndugu zetu hawa inaoeneka wanafuata wazazi wao,ingawa mimi siwaoni tenaa watu wa ajabu zaidi ya kuona ni tabia walizolelewa nazo lakini kama binadamu inabidi tukumbushane kuwa hapa sio pahala pa kutoa matusi ,mtu na matuzi yake abaki nayo hukohuko kwa wazazi wake.
What you have proved? Una elimu duni!Napenda kutoa onyo kwa Chadema ,msijaribu kabisa kuiga mambu ya CUF ,na ikiwa mnataka kufanya wayafanyayo CUF basi tafuteni ushauri kutoka kwao ,CUF walipoamua kufanya mambu hayo ilikuwa hakuna hawaitambui serikali na pia wawakilishi wao walikuwa hawaendi kwenye vikao na kubwa zaidi hawamtambui hata Raisi .
Huku nyinyi mnaitambua serikali kwa hivyo ni lazima mufuate vile serikali inavyowataka ,sasa ikiwa mnataka kufanya mambo yenu bila ya kuifuata serikali basi ikataeni serikali na pia mumkatae raisi kama ndie mshindi halali na Raisi wa Tanzania,timizeni hayo kwanza hapo mtakuwa na nguvu kuandaa kila kitu.
Chadema wacheni mara moja kuwasukumiza wananchi katika vyombo vya dola wakati na vigogo na wabunge wenu wanaitambua serikali kuwa ipo kisheria.
Mwiba! Unaonekana Mpemba hodari!! Kaza buti kaza buti,hivi Tanganyika bila Pemba haiwezekani? Umesahau mapinduzi ya Wazanzibar January 12,1964 yalifanywa na nani,KARUME alikuwa anakunywa kahawa wapi? Tehe~tehe~teheeee!