- Thread starter
- #21
Kwa sababu Lema ni jembe siyo gamba kama yenu ya ccm over.
LEMA kweli ni jembe...."TCU-TANZANIA STUDENTS UNIVERSITY"-GODBLESS LEMA.....jembe ndo Hilo bwana
Kwa sababu Lema ni jembe siyo gamba kama yenu ya ccm over.
Kikwete+LEMA+mnyika+wewe wote ni viraza tu na ni gasses kwa taiga hili....
jamaa wameshapenda chongo sasa wanaona kengeza...Kumbe Mnyika alikimbia shule ndio maana CV yake ktk website ya bunge haionekani.
Turudi kwenye mada Lema si mwanasiasa ni mwanaharakati wa kichaga anayedhani jazba ndio siasa. Kwa mtu alienda shule na kupanua kichwa chake hawezi kumtetea Lema. Naona taaabu kuelezea udhaifu wake huyu
Ndugu zangu, kwa Hali ya kawaida mbunge ni Yule mwenye access ya kuingia bungeni na kufanya shuhuli za kibunge Kama kamati za kudumu nakadhalika. Ndugu yangu GODBLESS LEMA yeye alichaguliwa na wabunge kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia zile nafasi tano za Wajumbe wa kamati kuu kupitia wabunge..swali la kujiuliza ni kwanini hata baada ya kuenguliwa na mahakama kuwa mbunge bado anaruhusiwa kuingia kwenye kamati kuu ya chadema? Ni kwanini wabunge wasipewe nafasi ya kuchagua mbunge mwingine awe mjumbe wa kamati kuu?...na kwanini Chama kinamtumia LEMA mtu asiye hata na sifa yoyote kwenye jamii kwenda Kuje ga Chama mikoani?..sehemu nyingi alizopita amekuwa akilalamikiwa kuwa anafanya siasa za kibaguzi, je ni kuitimiza ile kauli kuwa kiongozi yeyote wa CDM ni lazima atokee sehemu Fulani Fulani maw nchi hii?...nimefuatilia wasifu wake akiwa bungeni kwa makini, na nimegundua tangu Ameingia
mpaka ametoka bungeni ameuliza swali la msingi moja tu na la nyongeza moja, na amechangia Mara kumi tu kwa siku zone zaidi ya 200 alizokaa bungeni....nafahamu kuwa kuna watu nitawakwaza lakini ninawaomba muyajadili niliyoyasema na Msiende nje ya mada.
Mkuu Manyanza hizi ni zile product zilizo toroka mirembe jihadhari nazo utapoteza muda bure
swala la msingi, LEMA anasubiri nini CC ya CHADEMA na ubunge kashavuliwa?...nisaidie kujibu hili swali TafazaliKenge wewe angalia thread yako sio unaanza kutoka nje ya maada na una mention majina ya kina M.kwere,Mnyika na kamanda LEMA... kama umeshindwa kuutetea huu uzi wako andika email kwa Mods kwenda support@jamiiforums.com waufute huu uzi wako... maana uzi wako mpaka ushaanza kujaa Nzi jinsi unavyotia kinyaa
ww mpuuz* na bonge la *****.
@ Precise pangolin, wakati mwingine mpuuzi kama aliyeletea huu uzi huwa wanaboa mpaka wanaweza kusababisha BAN zisizo na ulazima, yaani nikiangalia jinsi bunge linavyoendeshwa na huu upuuzi wa baadhi ya Members humu nabaki nasaga meno kwa hasira tu.
ww mpuuz* na bonge la *****.
John mnyika + rais wote sawa tu, tofauti pekee ni kwamba rais yeye Ali Aliza degree Yake japokuwa alipata gentlemen na mnyika yeye amekimbia shule kama boss wake...rudi tu kwenye hoja yangu
Wafuasi wa CHADEMA wamezoea kusifiwa tu. Ukitaka kuwaudhi we kosoa chama chao. Busara huwaondoka haraka na utawaona watu wazima wakitokwa na povu mdomoni wakitukana na kutoa maneno ya kashfa na matusi. Ushauri wa bure: ukizoea kusifiwa uzoee na kukosolewa.
Kikwete+LEMA+mnyika+wewe wote ni viraza tu na ni gasses kwa taiga hili....
Ndugu zangu, kwa Hali ya kawaida mbunge ni Yule mwenye access ya kuingia bungeni na kufanya shuhuli za kibunge Kama kamati za kudumu nakadhalika. Ndugu yangu GODBLESS LEMA yeye alichaguliwa na wabunge kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia zile nafasi tano za Wajumbe wa kamati kuu kupitia wabunge..swali la kujiuliza ni kwanini hata baada ya kuenguliwa na mahakama kuwa mbunge bado anaruhusiwa kuingia kwenye kamati kuu ya chadema? Ni kwanini wabunge wasipewe nafasi ya kuchagua mbunge mwingine awe mjumbe wa kamati kuu?...na kwanini Chama kinamtumia LEMA mtu asiye hata na sifa yoyote kwenye jamii kwenda Kuje ga Chama mikoani?..sehemu nyingi alizopita amekuwa akilalamikiwa kuwa anafanya siasa za kibaguzi, je ni kuitimiza ile kauli kuwa kiongozi yeyote wa CDM ni lazima atokee sehemu Fulani Fulani maw nchi hii?...nimefuatilia wasifu wake akiwa bungeni kwa makini, na nimegundua tangu Ameingia
mpaka ametoka bungeni ameuliza swali la msingi moja tu na la nyongeza moja, na amechangia Mara kumi tu kwa siku zone zaidi ya 200 alizokaa bungeni....nafahamu kuwa kuna watu nitawakwaza lakini ninawaomba muyajadili niliyoyasema na Msiende nje ya mada.
w ni ka.haba* kama m.bwa*
Mkuu unaweza kunitajia ni kipengele kipi cha katiba ili na mimi nikipitie pitie?LEMA hapaswi kuendelea kuwa mjumbe wa CC ya chadema kwa kujibu wa katiba
Shebby nikuulize swali kwanini mpaka sasa uchaguzi mdogo haujafanyika Arusha mjini? Ukijibu hilo utapata jibu lako tu
sheeby1,sifa gani ambayo unataka awe nayo kwenye jamii.au kwa vile ulshazoea wanasiasa wenye pesa kama lowasa,chenge,lostamu,na wengine kama hao?maana hiyo sifa sijajua.si ni raia mwema wa tanzania na ni mwanachama wa chama pia anahaki ya kuwa kiongozi??????nipashe bwanaNdugu zangu, kwa Hali ya kawaida mbunge ni Yule mwenye access ya kuingia bungeni na kufanya shuhuli za kibunge Kama kamati za kudumu nakadhalika. Ndugu yangu GODBLESS LEMA yeye alichaguliwa na wabunge kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia zile nafasi tano za Wajumbe wa kamati kuu kupitia wabunge..swali la kujiuliza ni kwanini hata baada ya kuenguliwa na mahakama kuwa mbunge bado anaruhusiwa kuingia kwenye kamati kuu ya chadema? Ni kwanini wabunge wasipewe nafasi ya kuchagua mbunge mwingine awe mjumbe wa kamati kuu?...na kwanini Chama kinamtumia LEMA mtu asiye hata na sifa yoyote kwenye jamii kwenda Kuje ga Chama mikoani?..sehemu nyingi alizopita amekuwa akilalamikiwa kuwa anafanya siasa za kibaguzi, je ni kuitimiza ile kauli kuwa kiongozi yeyote wa CDM ni lazima atokee sehemu Fulani Fulani maw nchi hii?...nimefuatilia wasifu wake akiwa bungeni kwa makini, na nimegundua tangu Ameingia
mpaka ametoka bungeni ameuliza swali la msingi moja tu na la nyongeza moja, na amechangia Mara kumi tu kwa siku zone zaidi ya 200 alizokaa bungeni....nafahamu kuwa kuna watu nitawakwaza lakini ninawaomba muyajadili niliyoyasema na Msiende nje ya mada.
Mkuu unaweza kunitajia ni kipengele kipi cha katiba ili na mimi nikipitie pitie?
sheeby1,sifa gani ambayo unataka awe nayo kwenye jamii.au kwa vile ulshazoea wanasiasa wenye pesa kama lowasa,chenge,lostamu,na wengine kama hao?maana hiyo sifa sijajua/si ni raia mwema wa tanzania na ni mwaqnachama wa chama pia anahaki ya kuwa kiongozi??????nipashe bwana