Haka kagamba bado kapya kapya kanaweza kungoka twendeni nako taratibu ni kalaini ka kasamaki dawa yake kisu kikali.
CDM wanaamini bado ni mbunge mpaka hapo mahakama ya rufaa itakapo ijadili rufaa ya Lema! sioni haja ya huu uzi kama mtu unajua sheria kidogo tuu! Kesi bado ipo mahakamani! simple!
Kenge wewe angalia thread yako sio unaanza kutoka nje ya maada na una mention majina ya kina M.kwere,Mnyika na kamanda LEMA... kama umeshindwa kuutetea huu uzi wako andika email kwa Mods kwenda support@jamiiforums.com waufute huu uzi wako... maana uzi wako mpaka ushaanza kujaa Nzi jinsi unavyotia kinyaa
mkuu tafadhali nisaidie tofauti mwanaharakati na mwanasiasa !Kumbe Mnyika alikimbia shule ndio maana CV yake ktk website ya bunge haionekani.
Turudi kwenye mada Lema si mwanasiasa ni mwanaharakati wa kichaga anayedhani jazba ndio siasa. Kwa mtu alienda shule na kupanua kichwa chake hawezi kumtetea Lema. Naona taaabu kuelezea udhaifu wake huyu
Kumbe Mnyika alikimbia shule ndio maana CV yake ktk website ya bunge haionekani.
Turudi kwenye mada Lema si mwanasiasa ni mwanaharakati wa kichaga anayedhani jazba ndio siasa. Kwa mtu alienda shule na kupanua kichwa chake hawezi kumtetea Lema. Naona taaabu kuelezea udhaifu wake huyu
Kumbe unamaanisha elimu,pole sana.hatuangalia elimu tonaangalia uwezi wa kudeliver.hepun fikiri,nyinyiemu kunamadoctor kibao akiwemo na kikwete,lakini hawawezi kufanya maamuzi.so kiongozi bora wala sio kusoma sana ndugu.pole utaumea sana na kijana ndo kwanza,anwaeleza watanzania ukweli.sifa Yake kubwani kwamba amesoma Cambridge university of London na amechukua advance diploma in proper management of people....hiyo ndoo sifa Yake kubwani anayonizidi Mimi.
Hivi unafahamu LEMA aliupataje ujumbe wa CC? Na kwani unafahamu hata hiyo cc maana Yake ni nini?
Hivi wewe mwanaizaya, kama Lema kaondolewa ubunge, nani sasa kachukua nafasi yake? Hivi hujui kuwa maamuzi ya Mahakama Kuu bado yanakuwa hayana mantiki hadi pale rufaa aliyokata Lema itakapoamuliwa? Sasa Court of Appeal imeshatoa uamuzi wake au wewe unabwabwaja tu hapa? Ndio maana hakuna mtu anayejibu upumbavu wako huo ila mimi nimeamua kukujibu ili usiendelee kupotosha ukweli kamanda Mnyika aliousema kuwa Mkwerre ni GOIGOI!swala la msingi, LEMA anasubiri nini CC ya CHADEMA na ubunge kashavuliwa?...nisaidie kujibu hili swali Tafazali
Umepanick?....nimekmbia CDM wakuu wa arak wa watueleze kwanini hawaitishi uchaguzi mwingine wa wabunge ili wachague mjumbe mwingine wa kamati kuu tofauti na huyu?....Kama bado anatmbulika Kama mbunge kwanini jana ameteuliwa mbunge mwingine kuchukua nafasi Yake ya uwaziri kivuli wamambo ya ndani?Kumbe unamaanisha elimu,pole sana.hatuangalia elimu tonaangalia uwezi wa kudeliver.hepun fikiri,nyinyiemu kunamadoctor kibao akiwemo na kikwete,lakini hawawezi kufanya maamuzi.so kiongozi bora wala sio kusoma sana ndugu.pole utaumea sana na kijana ndo kwanza,anwaeleza watanzania ukweli.
long live g. lema.
Ndugu zangu, kwa Hali ya kawaida mbunge ni Yule mwenye access ya kuingia bungeni na kufanya shuhuli za kibunge Kama kamati za kudumu nakadhalika. Ndugu yangu GODBLESS LEMA yeye alichaguliwa na wabunge kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia zile nafasi tano za Wajumbe wa kamati kuu kupitia wabunge..swali la kujiuliza ni kwanini hata baada ya kuenguliwa na mahakama kuwa mbunge bado anaruhusiwa kuingia kwenye kamati kuu ya chadema? Ni kwanini wabunge wasipewe nafasi ya kuchagua mbunge mwingine awe mjumbe wa kamati kuu?...na kwanini Chama kinamtumia LEMA mtu asiye hata na sifa yoyote kwenye jamii kwenda Kuje ga Chama mikoani?..sehemu nyingi alizopita amekuwa akilalamikiwa kuwa anafanya siasa za kibaguzi, je ni kuitimiza ile kauli kuwa kiongozi yeyote wa CDM ni lazima atokee sehemu Fulani Fulani maw nchi hii?...nimefuatilia wasifu wake akiwa bungeni kwa makini, na nimegundua tangu Ameingia
mpaka ametoka bungeni ameuliza swali la msingi moja tu na la nyongeza moja, na amechangia Mara kumi tu kwa siku zone zaidi ya 200 alizokaa bungeni....nafahamu kuwa kuna watu nitawakwaza lakini ninawaomba muyajadili niliyoyasema na Msiende nje ya mada.
Hivi wewe mwanaizaya, kama Lema kaondolewa ubunge, nani sasa kachukua nafasi yake? Hivi hujui kuwa maamuzi ya Mahakama Kuu bado yanakuwa hayana mantiki hadi pale rufaa aliyokata Lema itakapoamuliwa? Sasa Court of Appeal imeshatoa uamuzi wake au wewe unabwabwaja tu hapa? Ndio maana hakuna mtu anayejibu upumbavu wako huo ila mimi nimeamua kukujibu ili usiendelee kupotosha ukweli kamanda Mnyika aliousema kuwa Mkwerre ni GOIGOI!
kwanini nipaniki??wewe kinachokupa shida kumuona lema akihutubia ni nini??Umepanick?....nimekmbia CDM wakuu wa arak wa watueleze kwanini hawaitishi uchaguzi mwingine wa wabunge ili wachague mjumbe mwingine wa kamati kuu tofauti na huyu?....Kama bado anatmbulika Kama mbunge kwanini jana ameteuliwa mbunge mwingine kuchukua nafasi Yake ya uwaziri kivuli wamambo ya ndani?
Kikwete+LEMA+mnyika+wewe wote ni viraza tu na ni gasses kwa taiga hili....
mkuu tafadhali nisaidie tofauti mwanaharakati na mwanasiasa !
Ndio maana haingii bungeni kumbe ndio maana anajenga Chama tu?....sasa kwanini haachii ujumbe wa kamati kuu?..tupende lakini tusizidishe kiwango.Kazi ya kujenga chama chochote inatakiwa kufanywa na kila mwanachama wa chama husika katika ngazi mbalimbali
.Lema ni mwanachama halali wa CDM na anachofanya ni kutimiza wajibu wake. Acha mawazo Mgando na legelege kama..........