- Thread starter
- #61
Acha kutuondoa katika fikra za kuchangia bajeti maana ni machungu mengine kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013
Bajeti ya hovyo wacha iendelee kujadiliwa na watu wa hovyo...
Acha kutuondoa katika fikra za kuchangia bajeti maana ni machungu mengine kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013
kuna kitu ulikuwa unataka kukisema ukashindwa kuandika au ndio uwezo wako umeishia hapo?..qmkuu karibu jamii forums Join Date : 26th May 2012
Posts : 23Rep Power : 308Likes Received:0
Likes Given:5 ni jambo jema kuchukua hata dakika chache kusoma katiba ya chadema au kuangalia kanuni na taratibuu zinazoiongoza chadema na siyo kukurupuka na kusema maneno ambayo hayana maaana kwa jamii zaidi ya kuendeleza kujenga chuki kwa jamii na kuigawa nchi yetu ya Tanganyika kwa wale wanaoamini ivyo na Tanzania kwa wale wenngi
katiba ipi?
kuna kitu ulikuwa unataka kukisema ukashindwa kuandika au ndio uwezo wako umeishia hapo?..q
hebu fafanua hii hoja yako na usil;ete viroja? mimi nitajie angalau sehemu 10 alizopita akawa analalamikiwa kua anafanya siasa za kibaguzi
Bajeti ya hovyo wacha iendelee kujadiliwa na watu wa hovyo...