Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

shebby1

Member
May 26, 2012
27
0
Ndugu zangu, kwa Hali ya kawaida mbunge ni Yule mwenye access ya kuingia bungeni na kufanya shuhuli za kibunge Kama kamati za kudumu nakadhalika. Ndugu yangu GODBLESS LEMA yeye alichaguliwa na wabunge kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia zile nafasi tano za Wajumbe wa kamati kuu kupitia wabunge..swali la kujiuliza ni kwanini hata baada ya kuenguliwa na mahakama kuwa mbunge bado anaruhusiwa kuingia kwenye kamati kuu ya chadema? Ni kwanini wabunge wasipewe nafasi ya kuchagua mbunge mwingine awe mjumbe wa kamati kuu?...na kwanini Chama kinamtumia LEMA mtu asiye hata na sifa yoyote kwenye jamii kwenda Kuje ga Chama mikoani?..sehemu nyingi alizopita amekuwa akilalamikiwa kuwa anafanya siasa za kibaguzi, je ni kuitimiza ile kauli kuwa kiongozi yeyote wa CDM ni lazima atokee sehemu Fulani Fulani maw nchi hii?...nimefuatilia wasifu wake akiwa bungeni kwa makini, na nimegundua tangu Ameingia
mpaka ametoka bungeni ameuliza swali la msingi moja tu na la nyongeza moja, na amechangia Mara kumi tu kwa siku zone zaidi ya 200 alizokaa bungeni....nafahamu kuwa kuna watu nitawakwaza lakini ninawaomba muyajadili niliyoyasema na Msiende nje ya mada.
 
sehemu nyingi alizopita amekuwa akilalamikiwa kuwa anafanya siasa za kibaguzi,.

hebu fafanua hii hoja yako na usil;ete viroja? mimi nitajie angalau sehemu 10 alizopita akawa analalamikiwa kua anafanya siasa za kibaguzi
 
Acha kupoteza muda kwa kupost upepo huku leo hot topic JOHN MNYIKA KUTOLEWA BUNGENI SABABU rais ni mbumbumbu!

John mnyika + rais wote sawa tu, tofauti pekee ni kwamba rais yeye Ali Aliza degree Yake japokuwa alipata gentlemen na mnyika yeye amekimbia shule kama boss wake...rudi tu kwenye hoja yangu
 
1 CD YA UKABILA
2 CD YA UDINI
3 CD YA UKANDA
KWA KUWA WATANZANIA WENGI NI WAELEWA CCM IMEANGUKIA PABAYA KWA KUKOSA WANUNUZI WARNING:SASA CCM INAWATUMIA UAMSHO KUWAGAWA WATANZANIA BILA KUJUA WAZANZIBARI WAMEINGIZWA MJINI HIYO NI HUJUMA YA CCM KUOGOPA MABADILIKO YANAYOKUJA 2015 THE ONLY WAY NI KUWAGAWA WATANZANIA KWA KUWATUMIA AKINA SHEIKH MPONDA NA WAJINGA WENZAKE
:bump:
 
nenda kule pilipili usoila yakuwasha nini? Ondoa ugoro wako hapa! Kwa taarifa yako akili yako wewe ni upumbavu wa lema!
 
Ndugu zangu, kwa Hali ya kawaida mbunge ni Yule mwenye access ya kuingia bungeni na kufanya shuhuli za kibunge Kama kamati za kudumu nakadhalika. Ndugu yangu GODBLESS LEMA yeye alichaguliwa na wabunge kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia zile nafasi tano za Wajumbe wa kamati kuu kupitia wabunge..swali la kujiuliza ni kwanini hata baada ya kuenguliwa na mahakama kuwa mbunge bado anaruhusiwa kuingia kwenye kamati kuu ya chadema? Ni kwanini wabunge wasipewe nafasi ya kuchagua mbunge mwingine awe mjumbe wa kamati kuu?...na kwanini Chama kinamtumia LEMA mtu asiye hata na sifa yoyote kwenye jamii kwenda Kuje ga Chama mikoani?..sehemu nyingi alizopita amekuwa akilalamikiwa kuwa anafanya siasa za kibaguzi, je ni kuitimiza ile kauli kuwa kiongozi yeyote wa CDM ni lazima atokee sehemu Fulani Fulani maw nchi hii?...nimefuatilia wasifu wake akiwa bungeni kwa makini, na nimegundua tangu Ameingia
mpaka ametoka bungeni ameuliza swali la msingi moja tu na la nyongeza moja, na amechangia Mara kumi tu kwa siku zone zaidi ya 200 alizokaa bungeni....nafahamu kuwa kuna watu nitawakwaza lakini ninawaomba muyajadili niliyoyasema na Msiende nje ya mada.

Kwa sababu Lema ni jembe siyo gamba kama yenu ya ccm over.
 
nenda kule pilipili usoila yakuwasha nini? Ondoa ugoro wako hapa! Kwa taarifa yako akili yako wewe ni upumbavu wa lema!

Yaani ulikuwa unamaanisha nini?...LeMA ni mpumbavu au Mimi?....swali langu lipoprotein very clear na linahitaji ufafanuzi wa kina.
 
Kumbe Mnyika alikimbia shule ndio maana CV yake ktk website ya bunge haionekani.

Turudi kwenye mada Lema si mwanasiasa ni mwanaharakati wa kichaga anayedhani jazba ndio siasa. Kwa mtu alienda shule na kupanua kichwa chake hawezi kumtetea Lema. Naona taaabu kuelezea udhaifu wake huyu
 
1 CD YA UKABILA
2 CD YA UDINI
3 CD YA UKANDA
KWA KUWA WATANZANIA WENGI NI WAELEWA CCM IMEANGUKIA PABAYA KWA KUKOSA WANUNUZI WARNING:SASA CCM INAWATUMIA UAMSHO KUWAGAWA WATANZANIA BILA KUJUA WAZANZIBARI WAMEINGIZWA MJINI HIYO NI HUJUMA YA CCM KUOGOPA MABADILIKO YANAYOKUJA 2015 THE ONLY WAY NI KUWAGAWA WATANZANIA KWA KUWATUMIA AKINA SHEIKH MPONDA NA WAJINGA WENZAKE
:bump:

True dat!
 
Acha kupoteza muda kwa kupost upepo huku leo hot topic JOHN MNYIKA KUTOLEWA BUNGENI SABABU rais ni mbumbumbu!

Usipinge kila kila kitu. Busara ni kusoma hoja za mleta mada na kumjibu kistaarabu. Au kwa kunywa maji ya bendera ya CHADEMA ndio hutaki hata chama kikosolewe?!!!
 
Back
Top Bottom