Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,007
- 1,786
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.
Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.
Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.
MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

-una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa chadema wewe?
-kama chadema kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.
-political state ya chadema kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia itikadi ya chama hiki?
-next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.
-hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?usiharibu taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chako
-umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia chadema.najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.get prepared!
Uhai wa CHADEMA ndiyo uhai wa Taifa na uhai wa Taifa ndiyo uhai wa CCM.
Ben mbona unatokwa povu kijana?-Una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa CHADEMA wewe?
-Kama CHADEMA kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?Next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.
-Political state ya CHADEMA kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?Unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia ITIKADI ya chama hiki?
-Next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.
-Hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.Ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.Ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?Usiharibu Taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chako
-Umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia CHADEMA.Najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.Get prepared!
Desperate attention Seeker.Leo utakua overjubilant nimekupa attention na kujibu post yako.Grow up brother! Umri unasogea sana na hizi siasa unazofanya zimepitwa na wakati kwa kasi.Simply,Grow up!Ben mbona unatokwa povu kijana?
Relax usije ukadondosha sumu iliyoko mfukoni.
Ushauri sio lazima uufuate ila angalieni msije mkamuuzi tajiri yenu mtalala njaa
Ben mbona unatokwa povu kijana?
Relax usije ukadondosha sumu iliyoko mfukoni.
Ushauri sio lazima uufuate ila angalieni msije mkamuuzi tajiri yenu mtalala njaa
MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.
Najua una maana ganiHasira zipi tena mimi mkongwe hapa JF kaka.
Hivi Kuna hoja gani iliyoletwa hapa zaidi ya kujaza server tu.Nasi hatuchoki kuwapa shule,tena wewe sikutegemea kukosoa kwa namna niliyofanya maana umenizidi umri.Ila siasa zako hizi ningekushauri tu brotherly,chukua likizo ujitafakari kama kweli una-fit huku JF au kwenye political landscape ya Tanzania
Najua una maana gani
Ningekuwa kamanda basi ungeniona nina busara sana .... au SIO?