Pilitoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 1,201
- 515
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania