Chadema mnajua kuwa tume ya uchaguzi imetangaza nafasi za waandikishaji?

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
726
1,800
Uchaguzi ni mikakati. Ukizubaa kidogo umepigwa. Mkakati muhimu kuliko wote ni kusimamia vizuri zoezi la uandikishaji.

Chadema msilowee kwenye maandamano tu wakati wenzenu CCM wanapeleka vijana wa UVCCM kwa watendaji kata kuwa waandikishaji
 
Uchaguzi ni mikakati. Ukizubaa kidogo umepigwa. Mkakati muhimu kuliko wote ni kusimamia vizuri zoezi la uandikishaji. Chadema msilowee kwenye maandamano tu wakati wenzenu CCM wanapeleka vijana wa UVCCM kwa watendaji kata kuwa waandikishaji
Sahihi, CHADEMA waseme mapema kama watashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani ili wanachama wao wajiandae vyema.
 
Vituko vinavyosababisha tusiendelee ndo haya, Tume inawajibu ya kushawishi wananchi wake wote wenye sifa wajiandikishe sasa wewe badala ya kuwaonya CCM wanaofanya vitu kinyume na utaratibu ila wewe unawaita tena na CHADEMA nao wajiingize kwenye utaratibu haramu.

Sababu ya wananchi kutokupata katiba mpya enzi za Kikwetu ni hayahaya ya vyama kupoka majukumu yasiyokuwa yao.

Tubadilikeni,
 
majinga haya, yamengangana na shanshiba shanshiba baadae yakipigwa za uso yaanze kulia lia.
 
Uchaguzi ni mikakati. Ukizubaa kidogo umepigwa. Mkakati muhimu kuliko wote ni kusimamia vizuri zoezi la uandikishaji. Chadema msilowee kwenye maandamano tu wakati wenzenu CCM wanapeleka vijana wa UVCCM kwa watendaji kata kuwa waandikishaji
HAKUNA UCHAGUZI BILA KATIBA MPYA
 
Back
Top Bottom