Mfano wako uliotoa ni irrelevant nafikiri hujui tofauti ya uchaguzi wa Tanzania na UK, Kwa system ya UK (First-past-the-post) yaani wana viti 650 vya bunge ili chama kiunde serikali lazima kiwe na angalau viti 326, Conservative walikuwa forced kuungana na Liberal according to their system, tofauti na system yetu (simple majority) ambayo hata kama una 30% ya kura unaweza kuunda serikali.Hata nchi kama Uingereza na nyingine nyingi tu zimeunda serikali ya pamoja kama ilivyo CUF. Mfano nchini uingereza serikali ya sasa inaitwa Con- Dem government; pia kuna nchi nyingi katika hali kama hiyo na bado haifanyi vyama husika kuwa wasaliti - mfano UK, Canada, Australia, Japan, Israel, Ireland, India, Finland, Belgium, Germany etc; ni muhimu kwa Chadema kurekebisha hili vinginevyo kwasababu mmeshamwaga maji – kwamba coalition government ni usaliti wa chama cha upinzani, basi itabidi muwe na uhakika wa kushinda by a big majority kwani isipotokea hivyo na kuishia kuunda serikali ya pamoja, hiyo ndio itakuwa kwaheri kwa Chadema na CUF wataonekana wa maana zaidi machoni kwa wananchi kuliko chadema.
Feedback,Zanzibar ilifanya mabadiliko ya katiba kabla ya uchaguzi mkuu uliopita.Is it that hayo mabadiliko hayakusema kitu kuhusu mgawanyo wa madaraka baada ya uchaguzi?Nachelea kuamini kuwa SUK Zanzibar siyo ya kikatiba.Naomba kueleweshwa zaidi.Respect mkuu...!Mfano wako uliotoa ni irrelevant nafikiri hujui tofauti ya uchaguzi wa Tanzania na UK, Kwa system ya UK (First-past-the-post) yaani wana viti 650 vya bunge ili chama kiunde serikali lazima kiwe na angalau viti 326, Conservative walikuwa forced kuungana na Liberal according to their system, tofauti na system yetu (simple majority) ambayo hata kama una 30% ya kura unaweza kuunda serikali.
Muungano wa CCM na CUF ni wa hiari(kupenda) hawalazimishwi na katiba kama UK CCM-Zanzibar ingeweza kuunda serikali bila hata kuishirikisha CUF. Sielewi hiyo big majority unayoisema hadi Chadema washinde inatoka wapi au iko kwenye katiba ipi, kwa tanzania kuunda serikali hakutegemei chama kina viti vingapi vya bunge niushindi wa urais tu unao count halafu hata huo ushindi si lazima uvuke 50% labda tubadili katiba.
Pia kwa Uk Labour walikuwa na wabunge wengi kuliko hao Liberal Democratic, sasa kwann Conservative hawakuungana na chama cha pili? Badala yake wameungana na chama cha tatu kwa viti bungeni ni kwa sababu fahari wawili hawakai zizi moja.
SUK za wenzetu ni tofauti na za kiafrika ambazo nyingi kama sio zote zimeundwa kwasababu chama tawala kimeshindwa uchaguzi lakini kwakuwa nec za nchi hizo sio huru chama tawala kinajitangazia ushindi na hilo ndilo Chadema wanasema ni usaliti kuungana na chama ambacho hakikushinda na kura zake nyingi wamezipata isivyohalali. Ila ninauhakika kama tume itatangaza matokeo ya kura kama zilivyopigwa Chadema inaweza kuungana na chama chochote ili kuunda SUK.
Usihamasishe kuungana hamasisha matokeo kutangazwa kama yalivyo then tufikirie kuungana kwa maslahi ya taifa sio kwa maslahi ya viongozi wa juu. SUK za mtindo huu wa kiafrika hazina tija taifa na walalahoi.
Kwanini Chadema na wafuasi wake wanataka kuwafanya wananchi waelewe kwamba suala la ‘coalition government' ni jipya na halipo katika duru za siasa ulimwenguni? Kwanini wanadanganya wananchi kwamba CUF sasa imejizika kama chama pinzani na vilivyobakia ni vingine kama Chadema, NCCR na kadhalika?
Binafsi nilikubaliana kabisa na msimamo wa Chadema juu ya kukataa kuunda kambi ya upinzani pamoja na CUF, na sikutegemea katika watu wote, Zitto angegwaya uamuzi ule wa wenzake ‘to walk away' from the president. Lakini hili la kuendelea kuibeza CUF ionekane kama msaliti sio sawa. Ina maana ikitokea Chadema wakawa in the same position kama CUF leo hii na kupelekea CCM kuchukua uamuzi wa kuunda na serikali ya pamoja na Chadema, Chadema watakataa? Wakikataa kimsingi hii itakuwa ni usaliti kwa wapiga kura; itaonyesha jinsi gani viongozi wa chadema wana uelewa finyu juu ya demokrasia ya vyama vingi lakini vile vile uchochezi wa vurugu kwa wananchi wasioelewa.
Ni matumaini yangu na pia ya wengine wengi pamoja na wale wenye mapenzi mema kabisa na Chadema kwamba iwapo ikitokea Chadema watafanikiwa kupata kura nyingi sana majimboni kiasi cha kuifanya CCM isiweze kuunda serikali yake yenyewe, Chadema haitasita kukubali kuunda serikali ya pamoja na CCM kama wenzao CUF walivyofanya huko Zanzibar kwani hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha upinzani kokote kule duniani, na CUF wanastahili pongezi kwa hilo, sio kubezwa.
Hata nchi kama Uingereza na nyingine nyingi tu zimeunda serikali ya pamoja kama ilivyo CUF. Mfano nchini uingereza serikali ya sasa inaitwa Con- Dem government; pia kuna nchi nyingi katika hali kama hiyo na bado haifanyi vyama husika kuwa wasaliti - mfano UK, Canada, Australia, Japan, Israel, Ireland, India, Finland, Belgium, Germany etc; ni muhimu kwa Chadema kurekebisha hili vinginevyo kwasababu mmeshamwaga maji – kwamba coalition government ni usaliti wa chama cha upinzani, basi itabidi muwe na uhakika wa kushinda by a big majority kwani isipotokea hivyo na kuishia kuunda serikali ya pamoja, hiyo ndio itakuwa kwaheri kwa Chadema na CUF wataonekana wa maana zaidi machoni kwa wananchi kuliko chadema.
Kilichotokea Zanzibar is simply a coalition government because no party on its own managed to achieve a majority in the parliament na hivyo kupelekea kuundwa kwa a cabinet of a parliamentary government. Tusiwapotoshe wananchi kwani yakiwakuta haya mtakuja umbuka sana na itakuwa too late. Tupo wana CCM tunaokipenda na kuki admire Chadema especially kwa mafanikio yake na vilevile changamoto nzuri wanazotupa CCM ili tuwe na umakini zaidi katika utawala na uendeshaji uchumi.
Tafadhali msilipoteze hilo kwani ukweli bayana ni kwamba bila Chadema Madhubuti CCM madhubuti haiwezekani.
Mfano wako uliotoa ni irrelevant nafikiri hujui tofauti ya uchaguzi wa Tanzania na UK, Kwa system ya UK (First-past-the-post) yaani wana viti 650 vya bunge ili chama kiunde serikali lazima kiwe na angalau viti 326, Conservative walikuwa forced kuungana na Liberal according to their system, tofauti na system yetu (simple majority) ambayo hata kama una 30% ya kura unaweza kuunda serikali.
Muungano wa CCM na CUF ni wa hiari(kupenda) hawalazimishwi na katiba kama UK CCM-Zanzibar ingeweza kuunda serikali bila hata kuishirikisha CUF. Sielewi hiyo big majority unayoisema hadi Chadema washinde inatoka wapi au iko kwenye katiba ipi, kwa tanzania kuunda serikali hakutegemei chama kina viti vingapi vya bunge niushindi wa urais tu unao count halafu hata huo ushindi si lazima uvuke 50% labda tubadili katiba.
Katiba ya Zanzibar ilibadilishwa kuwezesha kuunda serikali ya umoja lakini si kulazimisha mshindi aungane, mimi huwa nayalinganisha na makubaliano tu kama ya MoU, maana muungano unategemea na grace ya aliyeshinda, mgawanyo wa madaraka unakuja tu endapo makubaliano yamefikiwa. System ya UK mfano Liberal wangekataa kuungana na Cons, Labour sidhani kama wangekubali uchaguzi ungerudiwa tofauti na katiba ya Zanzibar hata kama CUF wangekataa kuungana uchaguzi usingerudiwa.Feedback,Zanzibar ilifanya mabadiliko ya katiba kabla ya uchaguzi mkuu uliopita.Is it that hayo mabadiliko hayakusema kitu kuhusu mgawanyo wa madaraka baada ya uchaguzi?Nachelea kuamini kuwa SUK Zanzibar siyo ya kikatiba.Naomba kueleweshwa zaidi.Respect mkuu...!
Mchambuzi,Kilichotokea Zanzibar is simply a coalition government because no party on its own managed to achieve a majority in the parliament na hivyo kupelekea kuundwa kwa a cabinet of a parliamentary government. Tusiwapotoshe wananchi kwani yakiwakuta haya mtakuja umbuka sana na itakuwa too late. Tupo wana CCM tunaokipenda na kuki admire Chadema especially kwa mafanikio yake na vilevile changamoto nzuri wanazotupa CCM ili tuwe na umakini zaidi katika utawala na uendeshaji uchumi.
Tafadhali msilipoteze hilo kwani ukweli bayana ni kwamba bila Chadema Madhubuti CCM madhubuti haiwezekani.
Jibu lako ni rahisi sana nafikiri umeshajijibu KATIBA hiyo 25% unayoisema inakubalika kwa katiba tuliyonayo sasa.CUF haizungumzii sheria zilizopo bali hali halisi. Hebu tuchukue mfano wako au sheria iliyopo kuwa una 25% ya kura zote unaunda serikali. Kwa maneno mengine unawaongoza 75% ambao hawakutaki, je wewe unajisikiaje katika hali kama hiyo?
Pili sheria si Biblia au Msahafu ambao haiwezekani hata neno moja kubadilishwa, pale sheria isipofanya kazi ni muhimu kubadilishwa tena haraka sana.
Kuwa realistic ndio tonaweza kutokana na umasikini.
Kwanini Chadema na wafuasi wake wanataka kuwafanya wananchi waelewe kwamba suala la coalition government ni jipya na halipo katika duru za siasa ulimwenguni? Kwanini wanadanganya wananchi kwamba CUF sasa imejizika kama chama pinzani na vilivyobakia ni vingine kama Chadema, NCCR na kadhalika?
Binafsi nilikubaliana kabisa na msimamo wa Chadema juu ya kukataa kuunda kambi ya upinzani pamoja na CUF, na sikutegemea katika watu wote, Zitto angegwaya uamuzi ule wa wenzake to walk away from the president. Lakini hili la kuendelea kuibeza CUF ionekane kama msaliti sio sawa. Ina maana ikitokea Chadema wakawa in the same position kama CUF leo hii na kupelekea CCM kuchukua uamuzi wa kuunda na serikali ya pamoja na Chadema, Chadema watakataa? Wakikataa kimsingi hii itakuwa ni usaliti kwa wapiga kura; itaonyesha jinsi gani viongozi wa chadema wana uelewa finyu juu ya demokrasia ya vyama vingi lakini vile vile uchochezi wa vurugu kwa wananchi wasioelewa.
Ni matumaini yangu na pia ya wengine wengi pamoja na wale wenye mapenzi mema kabisa na Chadema kwamba iwapo ikitokea Chadema watafanikiwa kupata kura nyingi sana majimboni kiasi cha kuifanya CCM isiweze kuunda serikali yake yenyewe, Chadema haitasita kukubali kuunda serikali ya pamoja na CCM kama wenzao CUF walivyofanya huko Zanzibar kwani hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha upinzani kokote kule duniani, na CUF wanastahili pongezi kwa hilo, sio kubezwa.
Hata nchi kama Uingereza na nyingine nyingi tu zimeunda serikali ya pamoja kama ilivyo CUF. Mfano nchini uingereza serikali ya sasa inaitwa Con- Dem government; pia kuna nchi nyingi katika hali kama hiyo na bado haifanyi vyama husika kuwa wasaliti - mfano UK, Canada, Australia, Japan, Israel, Ireland, India, Finland, Belgium, Germany etc; ni muhimu kwa Chadema kurekebisha hili vinginevyo kwasababu mmeshamwaga maji kwamba coalition government ni usaliti wa chama cha upinzani, basi itabidi muwe na uhakika wa kushinda by a big majority kwani isipotokea hivyo na kuishia kuunda serikali ya pamoja, hiyo ndio itakuwa kwaheri kwa Chadema na CUF wataonekana wa maana zaidi machoni kwa wananchi kuliko chadema.