Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,405
- Thread starter
- #41
Mchambuzi nimekusoma
lakini in current situation Tanzania sitaona kama demokrasia kama let say 2015 CDM na CCM wanalazimika kuuda serikali ya so called umoja wa kitafifa. Kwangu hiyo itakuwa ni serekali ya umoja wa kutawala.
May be waunde huo Umoja CCM na NCCR, TLP au umoja huo uundwe na CDM, TLP na NCCR na CUF na sio CCM.
Uzuri wa wenzetu wana demokrasi imekomaa kiasi cha kwamba mbunge wa jimbo fuani anaweza kupinga sera fulani ya chama chake kwa sababu ina madhara kwenye jimbo lake. Hapa kwetu hatujafikia huko. Wabunge wetu wanakuwa owned na chama na wajibika kwa chama zaidi na sio majimbo. Coalttion haziwezi kusaidia mwananchi jimboni. Coaltion zitakuwepo kwa ajili ya prosperity ya vyama. Sasa wa style hiizi ukileta coalition ndio unarudikwenye chama imoja indirectly
Kwa mtazamo wako, come 2015, CDM wamepata lets say 40% ya majibo wa ubunge, CCM 50% na others 10% (Tanzania Bara), na kura za nafasi ya Urais CCM imeshinda by lets say 52% na Chadema 48%, uonavyo wewe tutakuwa na utawala wa namna gani? naomba unijibu by assumption hilo ndilo limetokea, tusiingie kwenye mjadala wa halitawezekana, au kutakuwa na uchakachuaji wa kura etc. Naomba nijibu tu ur opinion on what would happen kiutawala based on the above scenario;