CHADEMA mmezubaa, hamjajiandaa kushinda

CHADEMA mmezubaa, hamjajiandaa kushinda

Mungu yu pamoja nasi...
Na kwa taarifa tu ya magamba, ubunge wamechukua sehemu kubwa, ila urais tayali upo UKAWA kwa bara na visiwani.

Kwikwikwi....kuendelea kupata vichekesho vya sampuli hii, tuma neno UNANIONEA kwenda namba 15443
 
Mungu yu pamoja nasi...
Na kwa taarifa tu ya magamba, ubunge wamechukua sehemu kubwa, ila urais tayali upo UKAWA kwa bara na visiwani.

Hauwezi kushinda "U-Rais" kama haujaongoza kwenye Ubunge. Usijidanganye. Tatizo lenu UKAWA mnapenda kujidanganya badala ya kukubali "FACTS". Msijipe "MOYO" kwa kujidanganya - kubalini "FACTS" itawasaidia kujua "Strengths" na "Weakness" (Pia Opportunity na Threats") zenu kwa ajili ya uchaguzi wa 2020.
 
Ngoja matokeo yatangazwe alafu itokee hatujachukua nchi ndo mtaelewa? hakuna mtanzania asiyetaka mabadiliko...
 
Hiki chama cha cdm kweli hawakujipanga.....na wagombea wao wengi wamenaswa na mtego wa fisadi LOWASA..........chama kishakufa angalieni speed ya ACT....wazalendo.Mbowe aliuza chama.

Umelijua leo...? mliambiwa hapa mkawa wakali kama pilipil.
 
Nadhani CHADEMA waliwekeza zaidi kwa nafasi ya uRais kuliko udiwani na ubunge hili ni kosa kubwa sana ambalo mtalijutia sana majimbo ya Mwanza na Musoma yamerudi CCM kwasababu ya uzembe.Mimi naishi Arusha lakini nilishanusa Highness Kiwia mbunge wa Ilemela asingeweza kurejea mjengoni lakini kwa mshangao wa wengi CHADEMA wakamsimamisha tena sasa najiuliza Mimi mkaazi wa Arusha sisishiriki vikao vya tathimini bado nimeweza kunusa chama kilishindwaje ?.
 
Hiyo nafasi ya kushinda itatoka wapi? Hapa ndio naamini kundi la wahuni lilikua limegubika huko kwa wana Muungano
 
Inanisikitisha sana kwa CHADEMA kutojipanga, ni kwamba haitoi taarifa zake kwa wakati.

Makamba amewazidi sana. Kumruhusu mgombea kuongea na waandishi wa habari hakuna tija.

Mmekuwa mkiwaachia maswali wanachama wenu mpaka majibu wayapate basi inakuwa too late.

Mbadilike nafasi bado mnayo ya kushinda huu uchaguzi.
Chagadema Kwisha habari yao
 
Back
Top Bottom