SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
Hapo Lumumba kasuku wa chakubanga wanajiona wajaaaaanja kukaririshwa mashudu.Unajua Chiriku ni aina ya ndege ambaye hutumia maneno yale yale aliyokaririshwa na Bwana wake.
Hapo Lumumba kasuku wa chakubanga wanajiona wajaaaaanja kukaririshwa mashudu.Unajua Chiriku ni aina ya ndege ambaye hutumia maneno yale yale aliyokaririshwa na Bwana wake.
mwenyekiti wa chama kinachojiita cha kidemokrasia anakaa madarakani miaka 20!Unafahamu maana ya Sultani au unaongea tu? Na ccm tuuiteje mkuu?😀
Na chama kilichokaa madarakani toka uhuru tukiiteje? Ama chama kimoja kuongoza kama BAATH PARTY siyo udikteta? mawazo yale yale kutoka kwa watu wale wale?vipi wewe.Fikria deeper ndo uongee.mwenyekiti wa chama kinachojiita cha kidemokrasia anakaa madarakani miaka 20!
Halafu mnalia serikali inaminya
Toa kwanza kibanzi kwenye jicho lako
Mkuu, it all depends na malengo ya chama! Serikali ya ccm nayo ionyeshe kwa vitendo kuwa imekubaliana na mfumo wa vyama vingi ndo uongee unayoongea! Kwajinsi wanavyokuwa treated kuna tofauti na vyama vya ukombozi vilivyokuwa treated na makaburu na wakoloni?! Tofauti kwa sasa ni rangi tu.mwenyekiti wa chama kinachojiita cha kidemokrasia anakaa madarakani miaka 20!
Halafu mnalia serikali inaminya
Toa kwanza kibanzi kwenye jicho lako
Mkuu kama CHADEMA inakufa unaweza kutupa statistics yake kwa graph kama inapanda au inashuka in term of wabunge na madiwani kwa kila uchaguzi mkuu? Vilevile fanya hivyo na kwa CCM then uje na conclusion kuwa ni chama kipi kinakufa kati ya CHADEMA na CCM.Hakuna anayeiua chadema zaidi imejiua yenyewe, fikiria miaka 20 haina ofisi eti leo ipewe nchi??
Chadema inalamba zaidi ya 270miln kwa mwezi ruzuku hizo pesa matumizi yake hayaeleweki zaidi ya kuwa na fojari nyaraka.
Chadema 2015, kama chama kikuu cha upinzani hakikuwa na mgombea eti walijiunga UKAWA kumsindikiza Lowassa kumbuka UKAWA siyo chama cha siasa na hawajawahi kuwa ba lengo la kisiasa ujanjaujana mwisho wake ndiyo huo.
Chadema kama chama cha siasa hakiwezi kutumia fursa adhimu kabisa ya vijana tena wasomi na weledi badala yake viongozi wameishia kuwatumia kwa maslahi yao na kuwatupa kama kondom.
Chadema hawahawa eti chama kichukue nchi kwa hoja za kitoto kitoto, ni kweli ccm tuna mapungufu lakini si kiasi cha kuzidiwa na chadema. Mbowe hana akili ya kutosha kupambana na siye majasusi wa siasa huku ccm tunatumia akili kubwa mno rafiki yangu.
Hivi mungekuwa na akili msijipange tangu 2015, muanguke na mzee lowassa mliyemkuta kaishiwa pumzi mnangoja 2020 mzinduke kama misukule eti mnataka nchi sahau, hapa najua utapiga kelele eti mikutano imekatazwa ndiyo siasa siyo mikutano kila siku jipange fanyeni vikao na mipango ata CCM hatuna mikutano kila siku. Shida yenu mpate majukwaa ya kutukana.
Unataka kuniambia malengo ya chadema ni kuwa na mwenyekiti huyo mpaka mchukue dolaMkuu, it all depends na malengo ya chama!
Utamchukia mbowe lakini wanachama bado wanampenda na na wanamwamini, siasa za kiafrika ni chama gani kinaongozwa na falsafa na itikadi? Tuambie falsafa na itikadi yaa cccm ni IPI?Ubapokuwa na chama kinaongozwa na Mbowe eti kisa anamsimamo, hana ata falsafa ya kujua imani/itikadi ni nini ata maono ya chama afu ndiyo aendeshe jahazi utajikuta unaenda pemba unatokezea msumbiji..!
Poor oppositional, let CCM led because it deserve for the presnt time..!
Soma katiba yetu utagundua itikadi yetu..!Utamchukia mbowe lakini wanachama bado wanampenda na na wanamwamini, siasa za kiafrika ni chama gani kinaongozwa na falsafa na itikadi? Tuambie falsafa na itikadi yaa cccm ni IPI?
Katiba yenu ni ipi? Wakati wa ufisadi wa escrow Epa, twin tower, deep green katiba yenu ilikuwa wapi? Dogo tuliza akili usibishane na kaka yakoSoma katiba yetu utagundua itikadi yetu..!
Para ya mwisho ambayo nadhani ndio hitimisho lako haieleweki. Please iandike tena ingefaa kwa kiswahili.Ubapokuwa na chama kinaongozwa na Mbowe eti kisa anamsimamo, hana ata falsafa ya kujua imani/itikadi ni nini ata maono ya chama afu ndiyo aendeshe jahazi utajikuta unaenda pemba unatokezea msumbiji..!
Poor oppositional, let CCM led because it deserve for the presnt time..!
Nadhani kwanza chadema inatakiwa ipiganie demokrasia ya kweli na uhuru wa kweli ndani ya demokrasia hiyo na utawala wa haki wenye kuilinda misingi ya demokrasia iliyoainishwa na katiba ya nchi.Unataka kuniambia malengo ya chadema ni kuwa na mwenyekiti huyo mpaka mchukue dola
Demokrasia ya kweli inaanza ndani ya chama chako,ili upate ubavu wa kuionyooshea kidole serikaliNadhani kwanza chadema inatakiwa ipiganie demokrasia ya kweli na uhuru wa kweli ndani ya demokrasia hiyo na utawala wa haki wenye kuilinda misingi ya demokrasia iliyoainishwa na katiba ya nchi.
Angali mkuu jinsi unavyoingia kwenye ushabiki badala ya hoja. Nimekutolea mifano halisi ya vyama vyenye situation kama hiyo, au hata vilivyopitia...vyama vya ukombozi nk. Utaratibu wa sasa ni kama ukoloni kabisa, sema tofauti ni ngozi tu. Demokrasia siyo kukandamiza wenzako kwa kutumia dola na ku rig uchaguzi halafu wengine maisha yao kuwa hatarini ukasema kuna demokrasia! Wengine kupigwa risasi na wengine kutekwa na kuuwawa na kupotezwa, bado ukasema ni demokrasia. Vyama kunyimwa kufanya siasa, na wakati chama tawala kinafanya hivyo, sioni tofauti kama enzi za mkoloni! Kuzuia watu kufanya siasa halafu kutumia nguvu na pesa nyingi hivyo kununua au kunyamazisha wapinzani bado unasema kuna demokrasia? Acha utani bhana.Demokrasia ya kweli inaanza ndani ya chama chako,ili upate ubavu wa kuionyooshea kidole serikali