CHADEMA mmejipangaje kwenye kituo chenu kidogo cha kupokea matokeo ‘Tally Center’kwenye uchaguzi huu wa oct 2020?

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
1,379
2,533
Wakuu nawasalimu,
Uchaguzi wa mwaka 2015 kituo kidogo cha kuhesabia na kujumuisha matokeo kutoka maeneo mbalimbali nchini cha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ‘Tally Center’ kilivamiwa na kuwakamata vijana wa Chadema waliokuwa wanafanya kazi hiyo hii ilitokea baada ya washindani wao kushikwa na wasiwasi na hofu kuwa wanaenda kushindwa lakini pia watz wangepata uhalisia wa matokeo lakini ghafla wakavamia na kuvuraga kabisa na kuwakamata vijana waliokuwa wanafanya kazi hiyo.

Je Chadema uchaguzi huu wa Oct 2020 mmejipanga vipi hali iliyotokea 2015 isitokee tena?
 
Ile startegy ilikuwa nzuri sana. Kosa ilikuwa ni site, yaani walipoweka office hapakuwa secure. This time i think they should consult security professional who is after the country benefit and not ccm benefit.

Watu wapo watawasaidia namna ya kufanya concealment na hivyo kukusanya matokea mpaka mwisho bila kugundulika.
 
Back
Top Bottom