Mkuu kwa taarifa yako watanzania hawako tayari tena kuongozwa na hilo likitu linaloitwa ccm! At any cost 2015 ccm must go! Tunachohitaji na viongozi waliojitoa mhanga kama akina Lissu watuongoze kwenye haya mapambano!
Unajifariji eeeeh!Tatizo ni kwamba hata hiyo KATIBA ili ipite ni lazima CCM waikubali, maana yake ni kwamba ni lazima waisome, waichambue na kisha waamue kama inawafaa ama la, na kama haiwafai haitapita, kwa maana nyingine ni kwamba kwa hali jinsi ilivyo kwa sasa hakuna Chama kinachoweza kuishinda CCM 2015, hata iweje, labda kwa Mapinduzi kitu ambacho pia ni kigumu sana kwa Mazingira yetu!
ukitaka kuamini kuna wananchi wana mateso tembelea vijijini huko ,iringa-makete,mtwara,lindi ,singida,shinyanga,tabora ,ambao sauti yao wala taarifa hazuiwafikii ni jukumu letu tuliopata mwanga kuwasaidia nakuwaelimisha kuwa ccm haikubaliki!!what ever the case time will tell .
Wewe bado hujabadilika, unataka nani ampigie KURA mgombea ubunge/urais kupitia chadema kama siyo wewe? Nadhani wewe bado motto mdogo kulikuwa na NCCR-MAGEUZI 1995 ilikuwa siyo mchezo, ilibidi Kambarage azunguke strategically ampigie kampeni BWM vinginevyo Mrema Lyatonga alikuwa anchukua nchi...Kama njia ilishaonyeshwa na NCCR-MAGEUZI siyo CHADEMA!! Badilisha MIND SET yako na ATTITUDE yako kwa kupata the right stuff into your mind!!Ingawa ni ukweli ulio wazi kwamba Chama cha CHADEMA hakiwezi kushinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge 2015, lakini ni jambo lililo wazi pia CHADEMA wamefungua njia ya mabadilko nchini mwetu!
Serikali ijayo ya CCM, haiwezi kuwa ya kisanii ukiilinganisha na ya sasa hivi, na nathubutu kusema pia Serikali zilizopita, na sio kwa sababu haiwezekani, bali ni kwa sababu CCM hawana jinsi bali kubadilika kwani kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo watu wanvyozidi kuhoji Uhalali wao wa kuongoza, hivyo basi naweza kusema 2015 ndiyo karata ya mwisho kwa CCM, na kama wasipobadilika basi 2020 au 2025 CHADEMA kama wataendelea na kasi hii hii walionayo sasa hivi ni lazima watashinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge!
Ingawa ni ukweli ulio wazi kwamba Chama cha CHADEMA hakiwezi kushinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge 2015, lakini ni jambo lililo wazi pia CHADEMA wamefungua njia ya mabadilko nchini mwetu!

nchi gani?.labda ya kilimanjaro

Chadema inachukua nchi 2015....hutaki unaacha.
CHADEMA ni mpango wa Mungu. Na mpango wa Mungu lazima utimie hata kama maccm watumie usalama wa taifa, mahakama na polisi lakini hawawezi shindana na Mpango wa Mungu.