Chadema mla nae huliwa

jema lipi? hayo unayosema mema siyanayokuhusu wewe tu? walala hoi hayatuhusu na hata yaliyofanyika hayalingani na uwezo na neema ambayo Mungu ametjalia, nenda kalale wewe, ukute ni ridhiwani wewe
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'

Kama "unachelea" sasa unatuambia nini na lini utatuasa? Na kama hujui matumizi sahihi ya neno "kuchelea" which means umetuasa unataka tufanye nini sasa, tuiache madarakani ccm kwa kuwa "nobody is perfect"?
Nimelelewa kwenye maadili ya Kikristo (na pia sipendi kukera waungwana na kupewa ban pia) vinginevyo ningekuambia unachokiomba (na unastahili) kuambiwa......!
 
jema lipi? hayo unayosema mema siyanayokuhusu wewe tu? walala hoi hayatuhusu na hata yaliyofanyika hayalingani na uwezo na neema ambayo Mungu ametjalia, nenda kalale wewe, ukute ni ridhiwani wewe

Mwambie ili yeye na wenzake wa aina yake wasikie! ...... yao!
 
Kweli nimeamini baya moja hufuta hata mazuri elfu moja,nyie mnatuharibia nchi,heh heh heh heh! Yani mmekulia c.c.m saiv ndo mnajidai kubadilika?kweli hata walibya wanajuta kumpoteza kanal hivo ipo siku mtakumbuka hiki chama makini
 
Hata kwenye ile speech ndefu kwa taifa ambao iligusia pia suala la EPA na quote "Kula nawe uliwe". Ha ha ha ha ni misemo but ni mizito. SSM wangefikiria mbali wajue madhara ya kumwengua Lema bila sababu ya msingi basi wasingefanya walichofanya!!! Are reaping what they saw? Watapoteza wengi wa ukweli!!!
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'

hana jema wala baya....hafai kwa shetani wala kwa Mungu
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'

Si bure kwa haya uyasemayo. Lazima wewe ni mojawapo wa wanufaika wa huu ufisadi. Badala ya kuwaonea huruma mamilioni ya Watanzania wenzako wanaotaabika na maisha magumu yanayosababishwa na hawa wezi, wewe unataka kukionea huruma kikundi kidogo tena cha wezi. Fikiri upya.
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
umenena vema, kama ndo hivyo hii nji c ya magamba tu, basi kwa sasa tuwape magwanda
nao wafanye hivihivi, then tutawapa wengine...shida ni kwamba kwa nini ccm tu?
pia umeongelea usalama wa taifa....eti cdm wanahatarisha...sidhani unauelewa gani kuhusu usalama wa taifa.
unadhani kukiwa na mfumko wa bei na maisha magumu kama sasa ndo kuna usalama wa taifa? think twice...
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
hakuna kitu kama hicho serikari ya JK imezidi kula fedha za walipa kodi.
 
i know ukweli unauma lakini wacha tuuseme sababu tukinyamaza tunaoumia ni sisi wenyewe,pili jaribu kupitia GENERAL STUDIES in deep uone amani ina complies vitu gani ndipo utakapojua kuwa TZ has yet reached the level of piece.
 
Kwahiyo ujumbe wako ni kuwa watu wakiiba tuwaachie tuu! Kazi kwelikweli lakini ni mawazo yako nayaheshimu

watu wengine pumbaf kweli! Tunataka fedha za nchi hii zitumike kwa manufaa ya wote. Hata cdm wakiingia madarakani wakianza kuiba na kujinufaisha tunawageuka na kuwaondoa. Haiwezekani kila kukicha wanaimba wananchi tujifunge mikanda mpaka viuno vyetu vikatike na wao wanajichukulia fedha zetu na kuhamishia ulaya. Watoto wa walipa kodi wanashindwa kusoma wao wanapeleka wa kwao ulaya kwa kodi zetu aafu tuwaonee huruma!!! Halmashauri miradi mingi haiendi sababu ya ufujaji wa fedha unaofanywa na watu wachache. Pumbaf! Bora tuingie vitani lakini jasho letu lilindwe.
 
Kwa kweli ww unapaswa kuchunguzwa kiafya zaidi. Sio mzima wewe lazima una ugonjwa wa akili yaani tukumbatie wezi??? hata hai CDM wakiiba watawajibishwa tu...
 
hakika kazi ya kutetea matendo ya kishetani ni ngumu waulizeni freemanson wanavyo jimaliza wao kwa wao pamoja na majukumu mazito wanayokuwa wamepewa na kuyatekeleza. kwanza shetani hana mema hata siku moja. mtetee, mpiganie, msaidie na mtendee vyovyote navyotaka mwisho wake lazima akugeuke. waulize watumishi wake wakwambie kama yupo aliye wahi kulipwa mema na shetani.
 
Hawa ndio wale wanaokaa barazani fikrazao ni kuongea fulani kafanya iki fulani ana iki lakin akilizao zimedumaa kuhusu maendeleo. Lakin wangejua jinsi ccm inashirikiana na makaburu wanavyotuibia malizetu nahisi kidogo wangekua na uchungu,
Mimi naongea hiki sababu nafanya kazi mgodini na naona jinsi tunavyoibiwa tumewalalamikia sana wakuu lakin kinachofuatia ni kuzushiwa jambo na kufukuzwa kazi, Jamani tukomaeni na mwendo huhu kama kawaida tusikate tamaa najua tutashinda
kwani mwenye kujipinda hupata anachokiitaji.
Napita tu
 
hilo haliwezekani,hata kama chadema wakiingia mdarakan na kuiba tutawachukulia hatua madhubuti pia
wameiba saiz wameona haitoshi wanakwenda mbuga za wanyama kusafirisha wanyama wetu kwenda KARACHI-PAKISTAN
wamesafirisha twiga,tembo,viboko na wengeneo wengi..!
Tuwaache tuh na kuendelea kutia huruma??
Hata kama upumbavu huu umepitiliza,,sasa wanyama pori unawaiba kuwasafirisha nje ya nchi kweli???
Aaaaah hii sasa haivumiliki shenzy kabisa hawaaa..!
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'

hapa ndo naami kuna watu wameshikilia ule usem wa zidumu fikra za mwalimu,CDM ni chama chetu ww huez kutetea ccm kama haunufaiki nacho
 
Back
Top Bottom