Mkuu, kwani Tanzania Daima lipo wapi?Haingii akili ninyi kama Chama Kikuu cha Upinzani kwa zaidi ya miaka kumi kukosa TV ya kurusha mikutano yenu mubashara!
Nashindwa kuelewa idara yenu ya uenezi inafanya kazi gani? Kama imekufa pia mtuambie tujue moja!
Leo mtu akitaka kujua Tundu Lissu aliongea nini baada ya kuchukua fomu ya kuomba uteuzi au akiwa kule kijijini kwao Singinda ni ngumu mno kupata hizo speech.
Karibia media zote zimewasusa na mnafanyiwa hujuma za kila aina kama kukatiwa sauti na kufutiwa speech zenu nyie mpo mpo tu. Mmejipanga kuchukua nchi kweli nyie?
CHADEMA online media inafanya kazi gani? Nilitegemea ingekuwa msitari wa mbele kufanya live streaming ya mikutano yenu lakini wapi?
Mnajua ni watanzania wangapi wanawafatilia kupitia mitandao ya kijamiii?
Mjitafakari!
Yani waache kutafuna rudhuku wafungue TV?Haingii akili ninyi kama Chama Kikuu cha Upinzani kwa zaidi ya miaka kumi kukosa TV ya kurusha mikutano yenu mubashara!
Nashindwa kuelewa idara yenu ya uenezi inafanya kazi gani? Kama imekufa pia mtuambie tujue moja!
Leo mtu akitaka kujua Tundu Lissu aliongea nini baada ya kuchukua fomu ya kuomba uteuzi au akiwa kule kijijini kwao Singinda ni ngumu mno kupata hizo speech.
Karibia media zote zimewasusa na mnafanyiwa hujuma za kila aina kama kukatiwa sauti na kufutiwa speech zenu nyie mpo mpo tu. Mmejipanga kuchukua nchi kweli nyie?
CHADEMA online media inafanya kazi gani? Nilitegemea ingekuwa msitari wa mbele kufanya live streaming ya mikutano yenu lakini wapi?
Mnajua ni watanzania wangapi wanawafatilia kupitia mitandao ya kijamiii?
Mjitafakari!
Tumelifungia kama BBCS
Sijui lilipo mkuu labda uzalishaji ulishuka...!!..Nijuze tafadhari.!
KUWA NA UMMA UNAOKUAMINI NDO KITU PEKEEE YAHA YA VYOMBO VYA HABARI NI KZ YA UMMA KUTAFUTA HABARI NA WANAJUA SANA HABARI ZA CDM NANLISU ZIKO KILA KONA YA NCHI HII WATU WANA SMART PHONE takribann43%Haingii akili ninyi kama Chama Kikuu cha Upinzani kwa zaidi ya miaka kumi kukosa TV ya kurusha mikutano yenu mubashara!