CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,342
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
 
Yaani umesema kitu kitakacho wajenga hawa watu,,ila ngoja wanachama wake waiyone hiyo jumbe..
Kama siyo kufuta jumbe hii, watakuja na matusi au kashfa..!!
 
Yaani umesema kitu kitakacho wajenga hawa watu,,ila ngoja wanachama wake waiyone hiyo jumbe..
Kama siyo kufuta jumbe hii, watakuja na matusi au kashfa..!!

Kama inafaa mpelekee my wife wako!!!!!
 
Usiogope man 'chadema chama cha msimu',mbona nyie mnapora daily na juzi mlikataa ku step aside,na nyie MNATUKERA! Wewe utakuwa na ugonjwa uitwao 'mental disturbance'
 
Hizi ni fikra mgando
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
 
Pointless u gamba portion, wanachama ndo tnaolpia na kutaka mikutano iendelee, kama inakukera...tafuta safari!
 
Vipi tena magamba yameanza kulalamikia "vyama vya musimu"? Nadhani wameshikwa patamu kwa sasa.

mkuu jana uliniponda sana kuleta mada ya waitara nikadhani we ni gamba la kwapa kumbe mpiganaji mwenzangu.B DA REAL PATIRSAN'F CDM MEN.
 
Hiyo ndio kazi ya siasa. Zile pesa za ruhuku wanazopewa ndio kazi yake, yaani kutoa elimu ya uzalendo kwa wananchi. CCM wanalamba at most 2 billion kila mwezi za ruzuku zinafanya kazi gani? Waacheni watumishi wa watu wafanye kazi iliyowapeleka.
 
Weka ear plug na plasta machoni usisikie wala kuona mikutano ya M4C ya peoples power. Wakikaa kimya chama cha msimu, wakisema tumewachoka, lipi chema kwenu? acheni hila ya kwapa kunuka bila donda.
 
Kwani wanafanya hiyo mikutano kwenye sehemu moja kila siku?..Una kichwa wewe kweli?
Nincompoop!
Lunatic!

Pj waulize intelijensia ya mwema inatbiri ki2 gani,wanawashwa ujio wa lema countrywide.
 
Back
Top Bottom