CHADEMA mgahawani.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
Mm nlifikiri CHADEMA wakorofi bungeni tu kumbe mpaka Hotelini!
Jana wakati wanakula:
WENJE:Mwongozo wa mwenye Hotel, chumvi haitoshi.
MNYIKA:Taarifa Mheshimiwa! Mchuzi unaonekana wa jana siungi mkono hoja ya kulipia chakula hiki.
LISSU: Mwongozo! Niliagiza kuku wa kienyeji Nimeletewa wa kisasa silipi!
ZITO:Tume iundwe kuchunguza km kweli mchele huu ni wa Mbeya!!! Gudnyt
 
Nilidhani ni::::::::::::::::::kidogo ni:::::::::::::::::::::::::bhaaaaaas
 
Mmmmh haya bana ilikuwa mgahawa gani vile haahha haya bana mhudumu ni Makinda

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Toka lini chit chat likawa jukwaa la utani?

Peleka kunakohusika
Hapahapa inafaa kwani CHADEMA imekuwa JF au DiNi mpaka mtu aambiwe ataje hotel waliyokula hao waomba Mwongozo?
Humu ndani hatuanzishi thread ula tunakaa kukosoa za wenzetu km Facebook
Hizi msm zioo ktk simu za kawaida hivyo sioni kwanini mleta thread ahojiwe chitchat
 
wakati wote huo CCM ndio walikuwa wapishi, wahudumu CUF....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom