MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,913
- 9,012
Anavyo LawassaWeka vielelezo please
Anavyo LawassaWeka vielelezo please
Usimuamini mtu kiasi hicho. Gia zinabadilishwaga angani!Mramba muache Mbowe aitwe hivyo hivyo unavyomsikia,maana inaonekana hujajua misingi yake ilipojikita kisiasa.
Kuna watu wa kukimbia chama, siyo Mbowe
Usinipangie lengoWe jamaa mnafiki sana if you cant fight them join them George Bush aliwahi kusema hayo maneno ! Kwahio tumeshajua unapambana kwa namna nyingine ila autaweza. Njaa mbaya sana.
Kama uliwahi kuniheshimu basi nakuomba usinidharau!Natangaza kumdharau kabisa Benson Mramba kwa kipindi chake chote kilichosalia hapa duniani .
Mngepewa nchi serikali yenu ingekuwa corrupt sana kuwahi kutokeaMbowe sio mwepesi ila kwa anayokutana nayo ni njia ya ushindi kwani Watanzania wengi ni wanajua nini kinaendelea
Kweli wachaga hamuaminiki kabisa kwenye pesaKwa hoja hizo mimi binafsi simuamini Mbowe kabisa linapokuja swala la fedha. Na kwa yowe hili analolipiga sasa inaonyesha kabanwa mahali. Wito wangu wanachama na viongozi mchungeni Mwenyekiti wenu asije kutusaliti tena watanzania. Ukiona mtu mzima Analia ujue kuna jambo
Sikuwahi kukuheshimu lakini sikuwahi kukudharau , ila sasa kupitia hapa jf NATANGAZA HADHARANI KUKUDHARAU MOJA KWA MOJA .Kama uliwahi kuniheshimu basi nakuomba usinidharau!
HewalaSikuwahi kukuheshimu lakini sikuwahi kukudharau , ila sasa kupitia hapa jf NATANGAZA HADHARANI KUKUDHARAU MOJA KWA MOJA .
Wewe utajilinganisha na hao? Hao mpaka leo viongozi waandamizi ndani ya ccm wanaogopa kusema jambo la kubeza kuhusu wao kwani wanaheshima zao ndani ya jamii tena kubwa sana.Kuna akina 'kamanda' Lowassa na 'kamanda' Kingunge na 'kamanda' Sumaye.
Ni kweli kabisa. Mtu yeyote aliyeishiwa hoja usitegemee aje lingine zaidi ya tusi ndo mwisho wa mawazo aliyinayo usitegemee jipya kutoka kwa mtu huyu labda hasira ndo mtaji wake mkubwaTatizo kubwa la Watanzania ni kuwa siasa imegeuzwa sehemu ya ushabiki kama wa mipira........
Na kwenye mambo ya ushabiki mihemko na mahaba ndio vinatawala kuliko uhalisia....
Ndio maana unakuta kwenye jukwaa la siasa michango mingi imejaa matusi na kejeli baada ya hoja za nguvu.....
Yaani akiona mtu amekosoa chama chake yeye ni matusi.....na lugha nyingine chafu tu......
Ni kweli kabisa. Mtu yeyote aliyeishiwa hoja usitegemee aje lingine zaidi ya tusi ndo mwisho wa mawazo aliyinayo usitegemee jipya kutoka kwa mtu huyu labda hasira ndo mtaji wake mkubwa
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app