CHADEMA...mbona mnameza matapishi??

Kwa hiyo kwa akili zako za kuku wanavyuo wakiandamana kudai haki yao bodi ya mikopo wakishapata waandamane tena kushukuru?
 
Kwa hiyo kwa akili zako za kuku wanavyuo wakiandamana kudai haki yao bodi ya mikopo wakishapata waandamane tena kushukuru?

kwani CHADEMA wamepata nini mpaka kufikia kumkubali Rais Kikwete kuwa ndiye Mkuu wa Kaya?
 
Haya ni mawazo yako mkuu, nimekuwa nikuhudhuria vikao na mikutano ya chama, sijawahi msikia kiongozi yeyote wa ngazi ya juu akisema hivyo labda niambie ni nani na lini. By the way MBONA JANA HAWAKUTOKA KWA BUNGE??
 
watu wenye akili nzuri tunahitaji zaidi amani, kwa vile una div 5 hutambui haya na umuhimu wa amani, amani si nje ya vita tu, bali pia akili

Chadema wanafahamu mengi zaidi maana wewe kwa akili ulitaka waingie porini ndiyo ingekuwa fahari yako

tuache tuishi kwa amani
 
Ni lipi la kustaajabisha lililofanywa na CCM hii imara kwa miaka 50+ sasa?

hata kitendo cha wewe kuandikia upuuzi humu ni matokeo ya sera nzuri za ccm. Mwenyekiti wako anatembelea KUB kwa sababu ya CCM. Wewe umeajiriwa hapo kinondoni kwa ajili ya ccm
 

Hapo penye blue sijakupata vizuri. Ni CHADEMA ipi unaizungumzia? ni ile ya mabaunsa akina lema?, ni ya wang'ang'ania madaraka akina SLAA na MBOWE? ya wenye mawazo mbadala kama akina ZITTO, au ya wavuta bangi kama akina Sugu? ninapata shida sana unapoweka umoja kwenye CHADEMA wakati chama kipo vipande vipande
 


CHADEMA kimetanguliza maslahi ya Nchi mbele ambayo ni pamoja na Katiba Mpya na kuifikisha nchi katika ukombozi Kamili mara ifikapo Oktoba 2015...CHADEMA kuwepo Ikulu isikusumbue sana kuna wamarekani walikuja hapo wakaa hadi kwenye paa la Ikulu hakuna aliyehoji kwahiyo cha msingi kwa CHADEMA ni kufanya chochote kwa njia ya Haki ili kumkomboa mwanahci mnyonge wa Tanzania na jana wasingeweza kutoka kwani Hotuba ilikuwa ikisimamia na kusisitiza malengo ya CHADEMA ambayo ni
1.Kupiga vita Ujangili kwa Nguvu zote kwa mujibu wa sheria.
2.Kutokujitoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
 
Ndg Chabruma unataka wanachama wa chadema watangaziwe mara ngapi? Halafu unataka watangaziwe wapi kwenye JF?Mbona Chadema walipoenda ikulu kuonana na rais kuhusu mchakato wa katiba,hakuna mwanachama hata mmoja wa chadema aliyehoji?
Mbona Chadema walipotoa press release baada ya kukutana na rais ikulu,hukuhoji kwamba wanachama wa chadema hawajatangaziwa kumtambua rais?
Chabruma,kama huna cha kuandika si unyamaze kimya?
 
CADEMA ni vigumu kuwaelewa ufaham wao umepita faham zote za maccm ndiyo maana wanaposema inakuwa vigumu kueleweka kwa maccm wengi ambao faham zao ni za kiwango cha chini.Kwa mfano katika hili hakuna mahali popote CHADEMA waliposema hawamutambui Rais Kikwete.Walicho kuwa wanapinga ni kiwango kubwa cha kura alichoongezewa kwenye kura zake. Kura ambazo hakupigiwa na wapiga kura wake na ndicho ambacho CHADEMA walikuwa wanakipinga mpaka wakatoka bungeni kwa kutokubalia na kiasi cha kura alizoongezewa Kikwete na hilo swala limeshatolewa ufafanuzi mara kadhaa na viongozi wa CHADEMA lakini kutokana na ufaham wa maccm imekuwa ni kama vile kumpigia mbuzi gitaa kila siku wanasema hilohilo utafikiri hawana kazi ya kufanya.
 
CHADEMA haina uwezo wa kuongoza dola kwa vile bado hakijawa imara. By Dr Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA

Hahaaa........... wakani napost akili yangu ilikuwa inaniambia Chabruma atakuja kumwaga upuuzi wake humu... na kweli umekuja
 

Kwa taarifa yako hakuna kikao chochote kiwe cha ndani au cha hadhara ambacho CHADEMA wamewahi kutangaza kumkubali JK. Kimsingi wanachama tunashangaa kwa nini kila mara chama kinatoa msimamo huu na kinatekeleza mwingine?? Je kuna haja yeyote ya kuendelea kuamini misimamao ya viongozi wa chama?? Pia Chadema ni ya wanachama na si viongozi tu so kama walivyotutangazia kuwa hawamkubali raisi vivyoivyo watutangazie kuwa wameanza kumkubali na wataendelea
 
Nisingependa kuleta malumbano, wala kutetea vyama: they are just vehicles whose passengers have different characters. Lakini labda...kwamba CHADEMA inapoteza wanachama wengi kuliko CCM...........nitafanya utafiti
 

Mkuu, wewe ulitaka hayo uliyosema niyahoji wapi? mbona unahangaika kuandika kitu ambacho mantiki yake huijui. ukweli ni kuwa, kama mtoa mada alivyosema, CHADEMA wamelamba matapishi yao
 
Nisingependa kuleta malumbano, wala kutetea vyama: they are just vehicles whose passengers have different characters. Lakini labda...kwamba CHADEMA inapoteza wanachama wengi kuliko CCM...........nitafanya utafiti

sure mkuu, utafiti huo anzia humu JF. CHADEMA imepoteza watetezi wake wengi na inaendelea kuwapoteza kutokana na udhaifu wa viongozi wao. kuna wimbo unasema kuwa Mwanamke Mjinga huvunja ndoa kwa mikono yake. Nami nasema kuwa viongozi wajinga huvunja chama kwa matendo yao
 
Nilimsikia Dr. Slaa mkuu nadhani ilikuwa ni BBC...........by the way hakuna haja ya mabishano lakini CHADEMA inasumbua sana watu....? Mbona inajadiliwa sana.....? kwa nini tusijadili kuifanya F ianzie 49 kwenda chini kama Kenya, Burundi etc.....na si kila kinachosemwa na chama kinasemwa kwenye vikao.....mengine ni kwenye majukwaa ya kisiasa
 
hata kitendo cha wewe kuandikia upuuzi humu ni matokeo ya sera nzuri za ccm. Mwenyekiti wako anatembelea KUB kwa sababu ya CCM. Wewe umeajiriwa hapo kinondoni kwa ajili ya ccm

Wakati mwingine najisaliti mwenyewe kwa kufanya argument na wapuuzi ambao mwisho wa siku hukushusha hadi kwenye hadhi yao na kukushambulia kwa kutumia uzoefu wa upuuzi! (Tusi kubwa)
 

Hawo ndio cdm walaku juisi hazarani hawamtambui raisi hawajahi kutuambia wamemtambua hata lema na madiwani hatumtambui meya leo wako wapi cdm ni magumashi tumewashutukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…