Mwanayunge
New Member
- Apr 1, 2012
- 2
- 0
Mh!! Tutashuhudia mengi mwaka ujaowana JF. Leo mkoani MBEYA kumefanyika kikao cha Baraza Mkao na Wajumbe wa WILAYA ZOTE kuhudhuria..kikao kimeazimia 1st KUMTIMUA RASMI ndg EDO MAKATA MWAMALALA uanachama.2nd kumsimamisha m/kiti BAVICHA mkoa ndg KASAMBALA uongozi 3rd kamati ya uchunguzu ili kuwabaini wale wote wanaotuhumiwa kukichafua CHAMA na viongozi nao watimuliwe ktk CHAMA. IKUMBUKWE kuwa EDO ndiye aliyekwenda kwny MEDIA kumtaka Dr SLAA ajiuzuru kwa kuwa na kadi mbili na ni mwanakundi la MASALIA na Kasambala naye anatuhumiwa kuwa mfuasi wa hilo kundi.