Chadema Mbeya wachukua hatua kali

Chadema Mbeya wachukua hatua kali

wana JF. Leo mkoani MBEYA kumefanyika kikao cha Baraza Mkao na Wajumbe wa WILAYA ZOTE kuhudhuria..kikao kimeazimia 1st KUMTIMUA RASMI ndg EDO MAKATA MWAMALALA uanachama.2nd kumsimamisha m/kiti BAVICHA mkoa ndg KASAMBALA uongozi 3rd kamati ya uchunguzu ili kuwabaini wale wote wanaotuhumiwa kukichafua CHAMA na viongozi nao watimuliwe ktk CHAMA. IKUMBUKWE kuwa EDO ndiye aliyekwenda kwny MEDIA kumtaka Dr SLAA ajiuzuru kwa kuwa na kadi mbili na ni mwanakundi la MASALIA na Kasambala naye anatuhumiwa kuwa mfuasi wa hilo kundi.

kwangu mi chadema inanishangaza na kunifanya niione kituko kwa mambo yake, yenyewe imekua bingwa wa kusajiri waru walkiokataliwa na vyama vingine bila kuwachunguza na kuwapa nafasi ya kugombea uongozi leo wanajidai kutimua baadhi ya watu bila utafiti wa kutosha zaidi ya kutumia umbea na majungu. Kweeli itawafikisha wa tz ktk nchi ya kaanani kweli?
 
Eti Edo! Uwezo wa kufiri mbona hana? Alichaguliwa kwa vigezo vipi huyu kilaza?h
 
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.

Comments zote hapa zinakushangaa wewe kwa haya uyafanyao..

Umeuza utu wako kwa vipande vya pesa..! Ninacikitika sana kuona tamaa imekutia upofu na kuishia kutumika dhidi ya Watanzania wengi walala hoi.. Utaingia katika historia ya wasaliti waliokuwa wanashirikiana na mafisadi kuwanyonya na kuwakandamiza Wanyonge wa nchi hii.. Kibaraka..
 
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.
Uliharibu hata wewe na kwann uachwe, bora wachache wenye nia na lengo moja
 
hakuna msaliti atakayeachwa!

Hakika!kuanzia zama nyingi zilizopita,msaliti Yuda aliamua kujinyonga mwenyewe,naandika leo kuthibitisha kuwa Joseph Kasambala pamoja na madai yake yote,haiondoi ukweli madhubuti kuwa si M/kiti Bavicha tena katika mkoa wa Mbeya,haki,demokrasia na uwazi vilitawala.natoa hoja.
 
Hapo ndipo cdm inaponikosha, hakuna kuchekea nyani, kinachukuwa maamuzi magumu kwa maslahi ya chama kinastahili kupewa nchi 2015.
 
Back
Top Bottom