Chadema Mbeya wachukua hatua kali

Chadema Mbeya wachukua hatua kali

mpepo

Senior Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
106
Reaction score
73
wana JF. Leo mkoani MBEYA kumefanyika kikao cha Baraza Mkao na Wajumbe wa WILAYA ZOTE kuhudhuria..kikao kimeazimia 1st KUMTIMUA RASMI ndg EDO MAKATA MWAMALALA uanachama.2nd kumsimamisha m/kiti BAVICHA mkoa ndg KASAMBALA uongozi 3rd kamati ya uchunguzu ili kuwabaini wale wote wanaotuhumiwa kukichafua CHAMA na viongozi nao watimuliwe ktk CHAMA. IKUMBUKWE kuwa EDO ndiye aliyekwenda kwny MEDIA kumtaka Dr SLAA ajiuzuru kwa kuwa na kadi mbili na ni mwanakundi la MASALIA na Kasambala naye anatuhumiwa kuwa mfuasi wa hilo kundi.
 
Na mbado....Masalia wanapukutishwa kama manyani.
 
Well done,"chunga shamba lako"ukicheka na nyani uta____ _____.
 
Naamini huu ni utaratibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya na hauhusiani na ule uliowekwa hapa na Mh. JJ

Hata hivyo niwapongeze kwa kuchukua hatua hizo nikiamini kuwa haki, ukweli na demokrasia vilitawaka.
 
tena wasaliti wanatakiwa kuchomwa moto asisalie hata mifupa kudadadek!
watu wanapambana kukomboa nchi halafu wengine wanaleta upumbavu!
 
Bora wangekuwa na uwezo hata wa kujenga hoja jukwaani,nimepata kuhudhuria mkutano mmoja ambao kasambala aliuandaa pale SIDO na kuwakaribisha hao jamaa ati wanajitambulisha ni makamanda kutoka CDM taifa,mkutano mzima,toka wa kwanza mpaka wa mwisho aliyepewa nafasi ilikuwa kunangana tuu hasa viongozi wa kitaifa.sishangai kusimamishwa na wengine kufukuzwa
 
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.
 
Nawewe KISANDU jiandae, mlitumiwa kwa njaa ya siku mbili sasa sijui hata kama huko watawahitaji tena. Mwenzio ashanyolewa, wewe hata ukitia maji haitasaidia.
 
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.

Duh! Naona leo umekuja na lugha ya upole! au kwa vile na wewe ni mhanga, eti??? Woooote wanao changia kukiletea chama usumbufu, ni vyema kabisa kushughulikiwa bila woga kulingana na taratibu za chama. Kwa vile walipewa uongozi tukiamini kwamba wana akili timamu. Hivyo basi hata vitendo vya kukihujumu chama/ viongozi wa juu wa chama, wamekifanya kwa kudhamiria na sio kwa bahati mbaya.

Fukuzilia mbali wote waliochangia katika hili. Na hasa wale wote ambao wameonekana wazi na ushahidi ukathibitika ikiwa ni pamoja na bwana Kisandu.
 
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.

What kind of shaping are you talking about? Unawezaje kuwa na chama ambacho viongozi wa chini wanaweza kumtaka Katibu Mkuu wao ajiuzulu kwa kubeba hoja za kitoto? tena bila kutumia vikao rasmi. Hicho hakiwi chama cha kisiasa tena bali genge la wahuni.

Kitu pekee ambacho hamjui ni kwamba mamilioni ya watanzania tayari wameipa trust CHADEMA, mtu yeyote anayekubali kwenda kinyume na collectivity iliyopo anajinyonga mwenyewe. Yaani wewe unaona Wamakonde wanaandamana unategemea nini? Kuna uhuni na Siasa, hivi ni vitu viwili tofauti sana.
 
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.

tani huu utetezi hautokusaidia ndugu, we bado sku zako kazaa urudi rasmi kwa waliokutuma, umemkosea heshima dk slaa sasa urudi kwa waliokutuma magamba kama we wenyewe watakuruhusu ukamkosee heshima mwenyekiti wao na katibu wao. Eti chadema tupo wachache sasa kujiunga kwako mwaka 2000 ndo kunakufanya usiwe na adabu
 
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.

Bwana Kisandu,chama chetu ni chama makini sana.Ikiwa wewe unaamini kuwa chama chetu kina wanachama wachache sana kwa nini wewe uliamua kuanzisha uasi ndani ya chama chetu?Kama mimi ningekuwa mkazi wa Tanga kweli wewe hata kama ungegombea cheo chochote cha kiserikali kupambana na chama kingine kamwe nisingeweza kukupa kura yangu.Wewe uko CHADEMA kwaajili ya maslahi binafsi na wale si kwaajili ya kuiondoa ccm madarakani.Kwa mtazamo wako huamini kama CDM ina wanachama wengi kuliko CCM.Kwa taarifa yako kitendo cha ccm kutokuwachukulia hatua wahuni leo wanajuta sana.Kwa siasa za Tanzania ili chadema tuwe na heshima tuliangalie idadi ya wanachama bali ni bora tujikite kwenye ubora wa chama.Heri chama chetu kibaki na wanachama wachache makini kuliko kuwa na wanachama wengi wa aina yako na kundi zima la masalia.
 
Ondoa kabisa takataka hizo hazina maana Viva CHADEMA Ondoa mashani ili mimea iliyopandwa na mwenye shamba isonge mbele
 
Nasubiri kwa hamu kupata habari kama hii kwa makam mwenyekiti taifa,safi sana chadema mbeya hii ndo dawa ya wale wote wanaotafuta umaarufu wa bure kupitia kwa watu makini kama dr nendeni sehemu nyingine muone kama kweli umaarufu wenu hautokani na leo kuwa chadema.
 
Kisandu bora hataumepewa za uso tena kavu kabisa!jiandae kupukutuliwa!unless omba msamaha.
 
Back
Top Bottom