CHADEMA Mbeya, lini mtatembelewa na Lowasa na Sumaye?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
18,191
13,831
Kati ya watu waliopiga vita maendeleo ya mkoa wa Mbeya wakiwa Mawaziri wakuu ni Lowasa na Sumaye.
Inabidi niwe mpole tu na kuwauliza ndugu zangu wa Bavicha pale Mbeya, ni lini mtatembelewa na Edwadi Ngoyai Lowassa na Fredriki Tluwai Sumaye huko Mbeya ili kuhimiza maendeleo?
Jibuni swali tu, sitaki matusi!!
 
iache mbeya iitwe mbeya na usituletee fitina zako.

ningekuwa na mamlaka ningekufungia kama ninavyotaka kufungia yale mawili maana unaleta uchochezi.
 
Kati ya watu waliopiga vita maendeleo ya mkoa wa Mbeya wakiwa Mawaziri wakuu ni Lowasa na Sumaye.
Inabidi niwe mpole tu na kuwauliza ndugu zangu wa Bavicha pale Mbeya, ni lini mtatembelewa na Edwadi Ngoyai Lowassa na Fredriki Tluwai Sumaye huko Mbeya ili kuhimiza maendeleo?
Jibuni swali tu, sitaki matusi!!
Tuna safari ndefu sana kufikia malengo,mimi nilidhani utauliza lini rais wako atazuru mby unauliza lowasa atakuja lini!
 
Kati ya watu waliopiga vita maendeleo ya mkoa wa Mbeya wakiwa Mawaziri wakuu ni Lowasa na Sumaye.
Inabidi niwe mpole tu na kuwauliza ndugu zangu wa Bavicha pale Mbeya, ni lini mtatembelewa na Edwadi Ngoyai Lowassa na Fredriki Tluwai Sumaye huko Mbeya ili kuhimiza maendeleo?
Jibuni swali tu, sitaki matusi!!
Umeishiwa kiasi hiki?
 
Kwani mtu hutembelea nyumbani kwake?pale kwao.
 
Kati ya watu waliopiga vita maendeleo ya mkoa wa Mbeya wakiwa Mawaziri wakuu ni Lowasa na Sumaye.
Inabidi niwe mpole tu na kuwauliza ndugu zangu wa Bavicha pale Mbeya, ni lini mtatembelewa na Edwadi Ngoyai Lowassa na Fredriki Tluwai Sumaye huko Mbeya ili kuhimiza maendeleo?
Jibuni swali tu, sitaki matusi!!
Mwambie Mwenyekiti aanze kwenda Mbeya.
Ya CHADEMA hayakuhusu fanya yako
 
Sisi hatusemewi..mby nikama state huru..Jiji la washindi (The state of warriors..mby the green city)...woote wanajitambua
 
Back
Top Bottom