CHADEMA matatani kwa ufisadi Tarime; Waziri Mkuu aunda Tume ya Uchunguzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,281
142,465
Mkuu wa mkoa wa Mara Adamu Malima amesema Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda tume ya uchunguzi itakayowasili mjini Tarime wakati wowote kuanzia sasa.
Malima amesema kuna ufisadi mkubwa umefanyika ukihusisha sh 9.4 bilioni zilizotolewa na mgodi wa North Mara katika halmashauri hiyo inayoongozwa na Chadema.

Wakati huo huo mh Malima amezisimamisha kamati zote za fedha katika halmashauri hiyo ambazo zimesheheni madiwani wa Chadema ili kupisha uchunguzi.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama na si uhuru!
 
Amesema pia baada ya hiyo tume kukamirisha kazi hiyo itaanza kuchunguza 1.5T shilling kwa mujibu wa report ya CAG, pamoja na kampuni hewa ilionunua korosho za wananchi huku kusini repoti zote za uchunguzi zitapelekwa kwa Raisi haraka iwezekanavyo.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa mkoa wa Mara Adamu Malima amesema Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda tume ya uchunguzi itakayowasili mjini Tarime wakati wowote kuanzia sasa.
Malima amesema kuna ufisadi mkubwa umefanyika ukihusisha sh 9.4 bilioni zilizotolewa na mgodi wa North Mara katika halmashauri hiyo inayoongozwa na Chadema.

Wakati huo huo mh Malima amezisimamisha kamati zote za fedha katika halmashauri hiyo ambazo zimesheheni madiwani wa Chadema ili kupisha uchunguzi.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama na si uhuru!
2.4/1.5 trillion hilo hulisemei,
 
Kwa DED ni wa CHADEMA? Glorious Lwoga ni wa CHADEMA?

Na kule Ulanga kuna ufisadi je ni wapinzani wamechukua chao?

Na pale white house inasemekana 2.4 tillion imefuata utaratibu wa matimizi kuna wapinzani?

Aidha wanataka kukomalia mzigo mdogo wakati mkubwa upo WH.
 
Lwoga tena?!!
 
Mkuu wa mkoa wa Mara Adamu Malima amesema Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda tume ya uchunguzi itakayowasili mjini Tarime wakati wowote kuanzia sasa.
Malima amesema kuna ufisadi mkubwa umefanyika ukihusisha sh 9.4 bilioni zilizotolewa na mgodi wa North Mara katika halmashauri hiyo inayoongozwa na Chadema.

Wakati huo huo mh Malima amezisimamisha kamati zote za fedha katika halmashauri hiyo ambazo zimesheheni madiwani wa Chadema ili kupisha uchunguzi.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama na si uhuru!
Unakiherehere......that's why you often utter nonsense!!!Hivi humjui accounting officer ni nani at council level?You know what???Wew ni assistant vuvuzera wa Bashite!!
 
Mpinzani hana access ya pesa bila DED. Ile 2.4 trilioni ndio kapewa kampuni ya Kenya kununua korosho kwa ajili ya Joni. CCM HOYEE
 
Mkuu wa mkoa wa Mara Adamu Malima amesema Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda tume ya uchunguzi itakayowasili mjini Tarime wakati wowote kuanzia sasa.
Malima amesema kuna ufisadi mkubwa umefanyika ukihusisha sh 9.4 bilioni zilizotolewa na mgodi wa North Mara katika halmashauri hiyo inayoongozwa na Chadema.

Wakati huo huo mh Malima amezisimamisha kamati zote za fedha katika halmashauri hiyo ambazo zimesheheni madiwani wa Chadema ili kupisha uchunguzi.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama na si uhuru!
Fisiemu mna mashetani
 
Lwoga tena?!!
Kaangalie uteuzi je yupo hapo kwenye bench au anacheza boli?

Ni kwamba mwenge umekata kichwa chake ndo maana aliyeteuliwa sasa alikuwa kiongozi wa mbio za mwenge.

Hela za mirabaha ya magodi kwa ajili ya miradi zimemnyoa ndevu huyo Glory aidha hata Ulanga DED kapigwa benchi, sasa sijui hawa wapinzani ndani ya chama watarudisha billion 9.4 au ndo vifungo vya maisha.

Ingekuwa china tungekuwa tunachimba makaburi tuu hapa lakini ndo hivyo tena 2.4trilion inatuzuia kuhukumu

Pia tujue kwamba kamati ya fedha ilotangazwa leo kusimamishwa kazi na PM DED ni mwenyekiti wa kamati hiyo.

Heche alisema siku ya ziara ya Rais kwamba DED huyu mzigo lakini Rais akasema DED akitaka aoe dada zake leo hayo!

Tarime DED kaolewa wapinzani wengi wapo ccm
 
Kaangalie uteuzi je yupo hapo kwenye bench au anacheza boli?

Ni kwamba mwenge umekata kichwa chake ndo maana aliyeteuliwa sasa alikuwa kiongozi wa mbio za mwenge.

Hela za mirabaha ya magodi kwa ajili ya miradi zimemnyoa ndevu huyo Glory aidha hata Ulanga DED kapigwa benchi, sasa sijui hawa wapinzani ndani ya chama watarudisha billion 9.4 au ndo vifungo vya maisha.

Ingekuwa china tungekuwa tunachimba makaburi tuu hapa lakini ndo hivyo tena 2.4tillion inatuzuia kuhukumu

Pia tujue kwamba kamati ya fedha ilotangazwa leo kusimamishwa kazi na PM DED ni mwenyekiti wa kamati hiyo.

Heche alisema siku ya ziara ya Rais kwamba DED huyu mzigo lakini Rais akasema DED akitaka aoe dada zake leo hayo!

Tarime DED kaolewa wapinzani wengi wapo ccm
DA3C0ECF-19D9-4C79-828C-9DF178625232.jpeg

Kwenye 2.4 trillion kuna 9 billion ngapi? Mbna 2.4 trillion haijaundiwa tume?

Sent using Jamii Forums mobile app
Museven once said “ a kid should touch its father’s beards not his pubic hair” kama unaelewa utajua kwanini.

9.4billion hizo ni ndevu tuu 2.4 trillion ni nywele zimefichwa kwenye boxer au briefs sasa watoto wakishuka huko watakipata.
 
Back
Top Bottom