CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

Status
Not open for further replies.
Ludo ametumiwa sana na chadema km mpelelezi hususan kujua ukubalikaji wa viongozi wao kwa jamii
 
Ni mbaya sana ccm kumwacha mwenzenu anaozea jela na haya ni manufaa ya ushushu wa kijinga! Nia yake na mwigulu ilikuwa njema ktk kuijenga ccm, baada ya kupoteza maboya na kuiporomosha kwa kasi ccm badala ya CDM, leo mnamwona hawafai tena, mwenzenu akiwa anaoza jela, ninyi akina mwigulu na chama chenu mtanuka bila kuoza 2015
 
Vijana tujihadhali sana na wimbi kubwa la viongozi wetu kutufanya sisi madaraja yao kufikia malengo yao kisiasa...Ludo anakula na kulala vizuri kwa gharama ya boss wake alhaji maneno,wengi wanamajua kwa jina la...........shida iko kwenye kumtoa kwani dhumuni la kesi ya msingi halijakamilika,bado dpp na mtoa ushahidi wanatafakali jinsi ya kuendelea kuiumiza cdm
 
Wewe HAMIDA unataka kuniambia hauna contacts za mwigulu nchemba? Najua cdm imekukaa kichwani wako sana hilo swala ulipaswa kumwambia mwigulu kwanini amemtelekeza mshirika wake?
 

Wilfred Lwakatare



Nimshukuru Mungu kwa siku njema ya leo na kwa ajili ya watanzania wote.
Leo ikiwa ni siku ya case yangu kusikilizwa Mahakama ya Mkazi Kisutu, nimereport pamoja na makamanda walionisindikiza. Case imehairishwa mpaka tarehe 22 July 2013.

Pamoja na hayo,mshitakiwa no.2 Ludovick Joseph ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokukamilika kwa nyaraka za dhamana,hata hivyo dhamana yake iko wazi.

Tukiwa nje ya mahakama,kijana Ludovick ameonekana kuwa mnyonge na kulia sana akilalamika kutojishughulisha kwa ndugu zake(ambao hawakufika mahakamani) kufuatilia dhamana yake.

Nawatakia kazi njema na tusichoke kulitumikia taifa.

"Peopleeeeeeeeeeee's Poweeeeeeeeeeeerrrrrrrrr!"​
 
Dili lilikuwa la 30 Milioni, Mwigulu alishampa 2 milioni , mwambie amalizie zile nyingine ili zitumike kama dhamana
 
Zemarcopolo Yuko wapi ? Aachane na Slabs za magorofa kuna wa china siku hizi
 
dr SLAA ni mtu aliyelelewa na kukulia seminary. amesoma dini huyu mtu na mwishowe imani ikamshinda kwa tamaa za kidunia.
nilidhani labda kuna mabaki ya ubinadamu ndani ya moyo wake yalyotokana na malezi mema ya kanisa lakini kumbe nilikosea kudhani hivyo!!. hakumbuki jinsi alivyomtumia huyu kijana katika mambo yake binafsi(machafu na masafi), amesahau jinsi alivyokuwa anayaweka rehani maisha ya huyu kijana kwa kumpa maagizo ya utekelezaji wa mambo ya hatari yaliyokuwa yanapangwa na kuratibiwa na makao makuu. amesahau jinsi alivyokuwa msiri wao na kufanikiwa kuficha siri nyingine ambazo hata mwenyekiti mbowe alikuwa hajui!!!!!
kma kosa lake lilikuwa ni kuibua siri ya mikakati ya kishetani ya CHADEMA dhidi ya waandishi wa habari, basi nadhani kuna siku mwanga wa mungu utamuangazia kwa sababu alifanya vile kwa maslahi mapana ya taifa.
kinachonifurahisha kuhusu hili sakata la lwakatare ni jinsi wana chadema wanavyojiumauma na kujikanganya kuhusu ile video. naona sasa wamehama kutoka kwenye'' VIDEO FAKE'' mpaka kwenye 'LUDOVIC MSALITI'''.
Mwisho wa hili sakata uko wazi.. LWAKATARE ATAFIA JELA KAMA MFUNGWA na LUDOVIC atasalimika.
just stay tuned
 
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
Unajifanya mgumu kuelewa tunakwambia mwambie mwigulu amuonee huruma huyo binadamu kwani yeye ndie chanzo cha yote.
 
Kuna tetesi kuwa jamaa hata huko selo hakai, huonekana siku chache kabla ya kesi yake kutajwa.
 
Ni mbaya sana ccm kumwacha mwenzenu anaozea jela na haya ni manufaa ya ushushu wa kijinga! Nia yake na mwigulu ilikuwa njema ktk kuijenga ccm, baada ya kupoteza maboya na kuiporomosha kwa kasi ccm badala ya CDM, leo mnamwona hawafai tena, mwenzenu akiwa anaoza jela, ninyi akina mwigulu na chama chenu mtanuka bila kuoza 2015
 
Wewe HAMIDA unataka kuniambia hauna contacts za mwigulu nchemba? Najua cdm imekukaa kichwani wako sana hilo swala ulipaswa kumwambia mwigulu kwanini amemtelekeza mshirika wake?


Mwigulu hana habari tena na Ludovic, anachofanya sasa kila anapokuwepo Kikwete anataka awe ubavuni mwake. Hapa anasakata kandada uwanjwa wa taifa kama kipeperushi cha Yanga.
 
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.

Sijajua kuwa hata wewe kuna wakati unakuwaga na ubinadamu kiasi hiki,'mshahara wa dhambi ni mauti
na mshahara wausaliti ndio huo' bado zamu yako.

Anawalilia ndugu zake ndio waliomtuma?!!! kwa nini asiwalilie Mwigulu na Denis Msacky?!!!useless Ludovick
 
Hii ni sala? ngojera? kilio nyikani? dua? au kuwaza kwa sauti? sijui kama unajua unacho andika, na kama unajua basi unajitia ujinga. vyovyote vile, kama ludo alitumika na slaa au na ridhwan au mwiguli. inavyoonesha alikuwa anatumika kiusaliti, hivyo anachokipata ni malipo ya usaliti. alikuwa amevaa nguo za thamani gani mpaka vibaka wamnyang.anye,(alikuwa na wasi wasi wa damu kwelye nguo, kwa maono yangu) wakati anaonasha alikuwa hana kazi ya uhakika. hii ni damu kibada inamtesa... kwawanaojua kusoma sura, huyu jamaa ukimwangalia ni wale watu wa kutumika
 
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.

Tunajua mbinu zenu mlizoandaa! Na tunajua kabisa CCM haijashindwa kutoa maagizo aachiwe mara moja ila nia yao wanataka KWA UDI NA UVUMBA Chadema wamdhamini. Wakishamdhamini basi ndio ifuate hiyo hujuma iliyoandaliwa.......
 

Matatizo ya kuwa msaliti ndo hayo.mawakili wamefanya kazi yao barabara unataka wamwekee dhamana badala ya ndugu zake.
 
tatizo ni kwamba yeye ndiye .........ki........ Wa magamba wamtoe kama walivyo mwahidi
 
Tuliambiwa Rudovick haishi gerezani kwani hakuna ushahidi unaothibitisha yeye kuwa mahabusu.
 
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
Life is choice, Ludovick hayo ndiyo maisha aliyoyachaguwa sasa mimi nimuonee huruma ya vipi? sijakuelewa bado, labda ndugu yake maggid Mjengwa aende akamuwekee bond maana huyu alikuwa akitambulika kama msaidizi wa mwenyekiti Maggid kwenye Mjengwa blog.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu sialimpa 50,000/- ili afanye hiyo kazi......?! Subiri Mwigulu atamtoa tu, sasa hivi anaona soo....!

Mkuu, ukiona mtu mzima anatoa chozi hadharani ujue kuna jambo, ni kheli CDM warudishe moyo wao nyuma na wamfikilie kijana Ludo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…