Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
mbona umepanic?Jibu hoja ewe mpinzani uchwara a.k.a kichuguu

Ukishakuwa jizi siku zote utakuwa unaishi kwa mashaka.Mara cdm imekufa,Mara dhaifu,Mara hawana ubavu wa kushinda,haya mmeachiwa uwanja mcheze peke yenu mnaumia Tena duh!
We wakati Dr Slaa yupo ulikuwa umeshaingia mjini na kuyajua haya?au ulikuwa huko kusiko na mawasiliano na ndio maana bado mbumbumbu?Mbowe amezungukwa na washauri wabaya toka
dr slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
Unasema sheria ipo wazi! Kwani walipokua wanakataa fomu za wagombea wa upinzani walikua hawajui sheria kuwa zipo wazi?? Acha kuongea ujinga wewe! Nyie simmebaki pekeenu sasa wasiwasi waniniKila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
una akili wewe, hivi haya mambo mngefanyiwa nyie nina uhakika mngekuwa msituni sasa hivi kujiandaa kumwaga damu, mnawafanyia wenzenu kama vile sio binadamu, si mnapendwa, sasa kwanini muwafanyie hivyo, mnaogopa mpaka vivuli vyenu, haya mshaachiwa shangilieni kwa kishindo, umesikia chadema wakilia tena, na ACT unayosema nayo hiyo ishajitoa, wacha washiriki ambao hawana mwakilishi hata 1Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Ungeweza kweli kupinga ww?
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Paskali tuongee ukweli kabisa bila ushabiki hivi kweli wagombea wote wa uongozi wa upinzani hawajui.kuandika wala hawakufuata taratibu za kujaza na kurudisha fomu?Naunga mkono hoja.
Binadamu kula mbuzi sio habari,ila mbuzi kula binadamu si habari tu bali habari kubwaaa