Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,707
- 5,317
Nyumbu,hili jina hakika ni size yenu
Unaonaje na wewe ukipachikwa Fisi
Nyumbu,hili jina hakika ni size yenu
Si ndio ufuruhi Sasa,mnalalama nini?Mbowe amezungukwa na washauri wabaya toka
dr slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
Ungeweza kweli kupinga ww?Naunga mkono hoja.
P
CCM hawapendwi and they know that...siku wakithubutu kuweka uchaguzi huru na haki basi ndiyo utakuwa mwisho wao.Mara cdm imekufa,Mara dhaifu,Mara hawana ubavu wa kushinda,haya mmeachiwa uwanja mcheze peke yenu mnaumia Tena duh!
Sheria ipo wazi???? Hiyo sheria kwa nchi gani labda unayosemea
Nikikumbuka maneno ya mrisho mpoto"kuna baadhi ya michezo ukishindana peke yako lazima uwe mshindi lakini kwa mchezo ule uliwahitaji (uchaguzi)ili kujiongezea mashabiki na washangiliaji wenye sauti zisizo kauka.mengine malizieni wadauKila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Wa henga walisema bora nusu shari kuliko shari kamili.Tuwe wakweli Chadema imetolewa kwenye uchaguzi au imejitoa?
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Kwani mkirudi chama kimoja kuna hasara gani? Vyama vipo vingi ambavyo vimejiandikisha, acha hivyo vigombee. Chadema siyo dada wa CCM wala mke mwenza wake. Ni chama kinachojitegemea chenye maamuzi na ambacho at the end of the day kinaweza kufutwa au kujifuta ili mfaidi matunda. Enjoy.
Kwanini unateseka na chadema badala ya kufurahia kujitoa kwake?Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Kakojoe ulale, hata libya, algeria, Sudan wapinzani waliambiwa kama unavyosema hapa, lakini kilichowakuta wanaelewaKila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Mbona unateseka sana. Kwani lazima chadema ishiriki uchaguzi? Chadema wamejitoa. Endeleeni na uchaguzi. Kwa nn kelele nyingi?Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"
Toka muanze kususa nini kimebadilika?
Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.
Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.
Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,
Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.
Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Mnahubiri amani wkt ndio nyie wa kwanza kuivuruga amaniMmelaaniwa nyie sio bure