CHADEMA, lini mtajifunza kuacha kukurupuka?

Haya fungua uzi mwingine wa kuwahusu ACT kiazi weweee! Mnajitoa ufahamu kabisa kama hamuoni wala hamuelewi ama hamsikii.
Mungu wa Watanzania wote!!!
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"

Toka muanze kususa nini kimebadilika?

Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.

Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.

Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,

Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.

Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
 
Binadamu kula mbuzi sio habari,ila mbuzi kula binadamu si habari tu bali habari kubwaaa
Inategemea anayesusa ni nani... mfano NRA ikisusa kuna impact hapo? ... hakuna . mfano ccm ikisusa hiyo ni story kubwa .. sasa chadema , kimesusa . nchi duniani zitataka kujua kulikoni . baada ya muda mtasikia majibu yake .... uchumi kudorora nk...
 
Kama Chadema wamekurupuka si ni fursa kwako wewe....unalalama ni nini?
You won't be in power forever mkuu
Sawa lakini hamjamfikiria raia wa kawaida anaye taka kumpiga kura diwani wa CHADEMA. Mtakuwa hamjamtendea haki. Ni ubinafsi huo mnao fanya.

Ni uzembe wenu kwa ujumla ndiyo unao mfanya mpiga kura aumie. Laiti kama mngesoma kanuni kidogo BA kufuata utaratibu ulio wekwa haya yote yasibge tokea.

Hivi nyinyi mnafikiria kwa upumbavu huu mnao uonyesha, mnafikiri watanzania wata waamini nyie tena na kuwapa kura zao? Sijui? Naona itakuwa vigumu sana.
 
Usichokojua chadema kususia kumerejesha imani kwa wanachama wengi nakuona chama kina mtazamo wa kupinga udhalimu wa utawala huu.
 
Endeleeni tu kujiamini
Usichokojua chadema kususia kumerejesha imani kwa wanachama wengi nakuona chama kina mtazamo wa kupinga udhalimu wa utawala huu.
Endeleeni tu kujiamini. CHADEMA mnaenda kufa. Mbowe atatolewa tu. Na hapo ndiyo mwisho wenu.

Usifikiri zile kura 6 milion mwaka 2015 zilikuwa za CHADEA, zile zilikuwa za Lowassa. Nyie za kwenu hata milioni moja hazifiki.
 
Hotuba nyingi za Baba wa Taifa zimefichwa kabisa, kwa sababu ni kama zinawananga watawala wa sasa. Kambarage alikuwa "visionary leader". Katika mojawapo ya hotuba zake maarufu ilikuwa ni ile yenye maudhui ya ubaguzi ni sawa na kula nyama za watu, ukionja tu wala huwezi kamwe kuiacha tabia hiyo ya kifedhuli na kidhalimu.

Tuliona demokrasia ya "kiintahalamwe" ya kule Zanzibar mwaka 2015 baada ya maamuzi ya kibabaishaji ya Jecha. CUF walisusia na CCM wakaonja nyama ya watu na kuanza kupata ladha ya ushindi wa kishindo pasipokuwa na bugudha yoyote ile kutoka upande wa vyama makini vya upinzani.

Vitimbwi ktk uchaguzi huu na ndivyo ambavyo itakavyokuwa ktk ule wa 2020, ni muendelezo tu wa kula viporo vya nyama za watu, ili kutimiza tamaa ya ushindi wa kishindo pasipokuwa na ushiriki wa vyama makini vya upinzani.

Watazidi kukusanyana makundi kwa makundi, tena pale Ikulu na kupeana maelekezo. Lakini ukweli una tabia moja, utabakia kuwa ukweli daima hata kama propaganda za kilaghai zitaenezwa ili kulinda udhalimu. Kwa upofu wao wanazidi kupasua umoja wa kitaifa. Wanaiweka nchi ktk "risk" kubwa yenye kuhatarisha amani ya nchi yetu.

Wazee wenye busura ndani ya CCM mu wapi? Haya yanayoendelea mnayaridhia? Hivi hakuna mwenye kukumbuka maneno yaliyochorwa na kiganja cha mkono ukutani mbele ya mfalme na mbele ya wageni waalikwa?
"MENE, MENE, TEKELI & PERESI"
 
Endeleeni tu kujiaminiEndeleeni tu kujiamini. CHADEMA mnaenda kufa. Mbowe atatolewa tu. Na hapo ndiyo mwisho wenu.

Usifikiri zile kura 6 milion mwaka 2015 zilikuwa za CHADEA, zile zilikuwa za Lowassa. Nyie za kwenu hata milioni moja hazifiki.
CHADEMA kufa sio shda.hata vikifa vyama vyote vya upinzani ikabaki CCM upinzani dhidi ya serikali dhalimu hautakoma kamwe.
 
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"

Toka muanze kususa nini kimebadilika?

Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.

Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.

Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,

Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.

Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Hata waainge jitoa tusingeenda kupiga kura.
Wamechelewa Sana
Tulishayaona hayo siku nyingi.
 
Unawapasha ya nini wakati Mwenye Chama ndiye mwenye maamuzi ya mwisho ikiwa ni pamoja na kuteua wagombea nafasi mbalimbali za uongozi Kichama na Kitaifa.

Isitoshe Mwenye Chama, japo anajificha kwenye kivuli cha kudai demokrasia, kwa jinsi ya jina la chama chake, lakini kiuhalisia ndani ya hicho chama hakuna demokrasia. Ushahidi ni danadana inayoendelea ya kuitisha Uchaguzi Mkuu katika chama pamoja na tishio la Msajiri wa Vyama vya Siasa, kukichulia hatua hicho Chama.

Pengine ni hofu ya Mwenye Chama kuwa ataaibika iwapo atashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa kuna kila dalili kuwa matokeo yatakuwa mabaya upande wa Chama chake. Hivyo basi, yawezekana wagombea hawakutayarishwa ipasavyo kushiriki katika zoezi na mchakato wa kuteuliwa kugombea.

PANAPOFUKA MOSHI KUNA MOTO na DALILI ZA MVUA NI MAWINGU. Yetu masikio na macho kitakachojiri ndani ya Chama hicho baada
ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa iwapo kweli watatekeleza uamuzi wa Mwenye Chama kujiondoa katika kushiriki.
 
Mbowe amezungukwa na washauri wabaya toka

dr slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
Naamini siyo kwamba amezungukwa na washauri wabaya kwa kuwa hashauriki kwa sababu ni Chama chake, na viongozi wa chama wapo kwa hisani yake. CHADEMA ni SACCOS ya familia ambayo ilipata mtaji wa Mh Lowassa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015.
 
Tunajua CCM imeumia sana baada ya CHADEMA kujitoa. CCM watawashawishi hivi vyama vidogo wasijitoe wajifanye wanaenda mahakamani halafu rufaa zao zote, wote wapewe ushindi kisha warudishwe kuwa wagombea kamili na wale wa chadema kule vijijini watarudishwa kimyakimya,baada ya CHADEMA kujitoa, unajua sasa hivi kinachofanyika ni sawa na Liverpool wakutane Anfield na Twiga stars kutafuta mshindi wa kuchukua kombe
Kauli/Hoja yako hiyo itakuwa na nguvu iwapo wagombea wa upinzani walishawishika kutokufuata Sheria na Kanuni za kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa. Iwapo ndiyo hivyo, basi hao wagombea hawafai kuwa viongozi wa umma.
 
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"

Toka muanze kususa nini kimebadilika?

Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.

Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.

Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,

Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.

Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.
Siku hizi ukiwa kwenye hedhi unaropoka sana naona unaelekea menopause
 
Sijakuita mwehu. Ila ni mwehu pekee asiyeweza kuona impact ya kukataa kushiriki kwenye uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom