CHADEMA, lini mtajifunza kuacha kukurupuka?

CHADEMA, lini mtajifunza kuacha kukurupuka?

Inategemea anayesusa ni nani... mfano NRA ikisusa kuna impact hapo? ... hakuna . mfano ccm ikisusa hiyo ni story kubwa .. sasa chadema , kimesusa . nchi duniani zitataka kujua kulikoni . baada ya muda mtasikia majibu yake .... uchumi kudorora nk...
 
Nilidhani sasa ndio mngefurahia zaid maana ufalme huo hapo bila kokoro
 
Pumba hii,malengo yenu ya kutumika kifala hayatafanikiwa kamwe
Inategemea anayesusa ni nani... mfano NRA ikisusa kuna impact hapo? ... hakuna . mfano ccm ikisusa hiyo ni story kubwa .. sasa chadema , kimesusa . nchi duniani zitataka kujua kulikoni . baada ya muda mtasikia majibu yake .... uchumi kudorora nk...
 
Ila ni makosa sana kuisema ccm, hapa anayepaswa kusemwa ni serikali kupitia maafisa watendaji.
 
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"

Toka muanze kususa nini kimebadilika?

Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.

Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.

Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,

Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.

Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.

I concur with you mkulu. Hata kwenye ndoa mkianza tabia za kitoto za kususa na kunyamaziana, matokeo yanajulikana.
Mgogoro wowote ukitokea, jambo la msingi ni kujongeleana na kuzungumza. Kusiwe na hisia za kuhujumiwa, nenda kwenye mazungumzo ukiwa na mtazamo chanya. Hiyo ni silaha kubwa sana into getting to YES without GIVING IN.
 
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"

Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu. ..........
CHADEMA IPO SAWA. WEWE BOOK7 ONGEZA KETE YAKO UKIFIKIRI UNAIZAMISHA CHADEMA, kumbe wajitekenya mwenyewe.
MIE SIO CHADEMA LAKINI Naomba serikali iyafanyie kazi halafu tuone kama impact yake ITAKUAJE, CHADEMA ina wafuasi na MASHABIKI usidhani mchezo, kwa hili nakuwa mshabiki wa CHADEMA. tUONE HUKO vituoni kama hata hao CCM wenyewe watajitokeza kupiga kula, wachache sana. Watu hasa sie tusio na Vyama hatupendi mambo hiz.
Mkionea BASI MJUE TUNASIMAMA NA MNYONGE. Kama unabisha rejea matokeo ya 2015 CHADEMA ilifanikiwa kwa sababu hii hasa maeneo ya mijini mana huko ndio sie tusio na vyama tupo wengi.
 
I concur with you mkulu. Hata kwenye ndoa mkianza tabia za kitoto za kususa na kunyamaziana, matokeo yanajulikana.
Mgogoro wowote ukitokea, jambo la msingi ni kujongeleana na kuzungumza. Kusiwe na hisia za kuhujumiwa, nenda kwenye mazungumzo ukiwa na mtazamo chanya. Hiyo ni silaha kubwa sana into getting to YES without GIVING IN.
Mie sipo na wewe, Sio kwa siasa hiz za TZ, njaa imepewa kipaumbele zaid
 
Kila mara ni matamko na mihemuko isiyo na impacts yoyote, hili hamjifunzi?, mnategemea wazungu wawasaidie?, "shame"

Toka muanze kususa nini kimebadilika?

Siwezi taja matamko na mihemuko yenu iliopita na haikuzaa matunda,kwani inajulikana wazi na kila mtanzania.

Ona sasa mmetegwa kwa pumba kirahisi mkakamatika.
Kilichofanyika ni nyie kutangulizwa chambo,ili ionekane Kama mnaweza kula matapishi yenu.
Utaratibu wa kisheria upo wazi kabisa wa namna ya kutatua kero za uchaguzi.hili halina ubishi.

Rejeeni tamko la Lipumba,lipo kijanja Sana,Ina maana serikali inaweza kufanyia kazi maombi yao ili mkaangwe,hali kadhalika ACT Wazalendo,sidhani kama wataungana nanyi.
Mmemsikia waziri mwenye dhamana, katoa ufafanuzi mzuri Sana wa namna ya kufanya kwa asie ridhika na maamuzi,

Sasa ngojeni serikali iyafanyie kazi maoni ya kina Lipumba na Zitto tuone kama mtakana maapizo yenu.

Njia ya kususa haijawahi fanikiwa,jirekebisheni,inawezekana mnahujumiana nyie wenyewe ndani ya chama chenu.

Kwa taarifa yako acha kufanyia kazi maombi ya ACT au CUF, na hatutishwi na yoyote, msimamo wetu ni kuwa hatutashiriki chaguzi zozote za kishenzi.
 
Tunajua CCM imeumia sana baada ya CHADEMA kujitoa. CCM watawashawishi hivi vyama vidogo wasijitoe wajifanye wanaenda mahakamani halafu rufaa zao zote, wote wapewe ushindi kisha warudishwe kuwa wagombea kamili na wale wa chadema kule vijijini watarudishwa kimyakimya,baada ya CHADEMA kujitoa, unajua sasa hivi kinachofanyika ni sawa na Liverpool wakutane Anfield na Twiga stars kutafuta mshindi wa kuchukua kombe
Mbona vyama vilikuwa ni ccm chadema act na cuf vilivyokuwa na wagombea vingine walikuwa hawana wagombea wanarudishwaje na fomu zilishabandikwa milangoni ccm na mwenyekiti wao mchawi walinywe tu
 
Nini kifanyike?
JIWE alishasema 2020 anafuta Vyama vya upinzani. sasa vibaraka wake ndio wapo kazini hivyo. Nini kifanyike, SUBIRI. IFIKE HIYO 2020 Picha kamili au MOVIE ijionyeshe. Ukibishana nao sasa hao vibaraka ni kupoteza muda. wACHA WAKAMILISHE AJENDA YAO ndio tutajua nini kiendelee. NI KUPOTEZA MUDA KUJIBISHANA NA MTU ALIEJIAPIZA, WACHA AFANYE HAPO NDIO TUTAJUA KITAKACHOJULIKANA. Tembo mwenye nguvu yataka timing kumweza vinginevyo utajimaliza wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom