CHADEMA laleni na kushinda macho: fanyeni press conference now ya kutetea wanyonge

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
1,143
Utawala wa nchi hii umekuwa wa tofauti kabisa. Mtu analala na kuamka hajui kama atashinda na kuamka salama. Maisha ya wananchi yamekuwa ya wasiwasi na hasa wanasiasa wa ukweli, wa vyama vya upinzani.

Ni wakati wa Chadema kukaa macho muda wote ili kuwatetea wananchi wanaoonewa na utawala huu ambao unaongozwa kama Nyerere alivyowahi kutahadharisha. Kwamba huwezi kutenganisha maendeleo na demokrasia. Kwamba katika nchi zinazoendelea, na hasa za kutoka Afrika, utawala haufuati sheria, wanatawala kidikteta. Hawa madikteta wanapenda kuonea raia.

Ni wakati wa kila mmoja wetu, wakiwemo Chadema kupaza sauti kubwa kulaani na kupinga uonevu huu wa waziwazi unaofanywa na utawala wa Magufuli. Tunamfahamisha Magufuli kuwa nchi hii siyo mali yake. Kabla yake nchi ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila yeye. Asitawale nchi kama anaendesha familia yake.

Rais lazima awajibike kwa wananchi na siyo kutumia vyombo vya dola kunyanyasa raia. Kuwajibika kwenyewe ni kuwa sisi wananchi hatutaki udikteta katika nchi yetu. Tunataka demokrasia ya kweli idumu. Nchi yetu imekuwa salama wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Magufuli asituharibie. Kila mwananchi wa nchi hii anahaki ya kuishi kwa uhuru bila kuonewa na serikali ya Magufuli.

Ni wakati wa vyombo nyeti vya serikali kufanya kazi yake barabara na kumwonya kuacha maramoja kuwanyanyasa wananchi. Wamwambie waziwazi kuwa nchi hii ni kubwa kuliko yeye.

Chadema pazeni sauti kama chama kumtetea kila mwananchi anayeonewa. Kwa leo fanyeni press conference ya dharura kulaani na kupinga uonevu wa serikali ya Magufuli dhidi ya Mh. Tundu Lissu. Huyu ni mwananchi kama walivyo wananchi wengine.

Anastahili kupata haki kama raia wengine. Fanyeni press conference hii kabla jua halijakuchwa. [HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Tundu Lissu now and unconditionally.
 
Utawala wa nchi hii umekuwa wa tofauti kabisa. Mtu analala na kuamka hajui kama atashinda na kuamka salama. Maisha ya wananchi yamekuwa ya wasiwasi na hasa wanasiasa wa ukweli, wa vyama vya upinzani.

Ni wakati wa Chadema kukaa macho muda wote ili kuwatetea wananchi wanaoonewa na utawala huu ambao unaongozwa kama Nyerere alivyowahi kutahadharisha. Kwamba huwezi kutenganisha maendeleo na demokrasia. Kwamba katika nchi zinazoendelea, na hasa za kutoka Afrika, utawala haufuati sheria, wanatawala kidikteta. Hawa madikteta wanapenda kuonea raia.

Ni wakati wa kila mmoja wetu, wakiwemo Chadema kupaza sauti kubwa kulaani na kupinga uonevu huu wa waziwazi unaofanywa na utawala wa Magufuli. Tunamfahamisha Magufuli kuwa nchi hii siyo mali yake. Kabla yake nchi ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila yeye. Asitawale nchi kama anaendesha familia yake. Rais lazima awajibike kwa wananchi na siyo kutumia vyombo vya dola kunyanyasa raia. Kuwajibika kwenyewe ni kuwa sisi wananchi hatutaki udikteta katika nchi yetu. Tunataka demokrasia ya kweli idumu. Nchi yetu imekuwa salama wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Magufuli asituharibie. Kila mwananchi wa nchi hii anahaki ya kuishi kwa uhuru bila kuonewa na serikali ya Magufuli. Ni wakati wa vyombo nyeti vya serikali kufanya kazi yake barabara na kumwonya kuacha maramoja kuwanyanyasa wananchi. Wamwambie waziwazi kuwa nchi hii ni kubwa kuliko yeye.

Chadema pazeni sauti kama chama kumtetea kila mwananchi anayeonewa. Kwa leo fanyeni press conference ya dharura kulaani na kupinga uonevu wa serikali ya Magufuli dhidi ya Mh. Tundu Lissu. Huyu ni mwananchi kama walivyo wananchi wengine. Anastahili kupata haki kama raia wengine. Fanyeni press conference hii kabla jua halijakuchwa. [HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Tundu Lissu now and unconditionally.
Hivi unavyofikiri wewe kwani hawajui, tena wao ndio wanaompa habari zote na wanafurahi kila wanalopeleka boss wao yanafanyiwa kazi. Hao CHADEMA, ndio uozo uliopitiliza. Nikuambia wewe mbumbu hii nchi hakuna cha upinzani cha kuongoza nchi hizo ni vijiwe vya watu kuwasukumia maisha. Labda umeshasahau mgombea wa CHADEMA mkikosa 2015 labda baada miaka 50. Nendeni vijijini mkahamasishe sio kwa kutumia eti jf hivi mwananchi wa kawaida ana simu ya Smartphone. Mnachekesha.
 
Wewe BADALA ya kuhamasisha CDM waitishe press conference juu ya UHAI wa binadamu mwenzetu SAANANE unahamasisha PRESS ya mtu kukamatwa kwa KUJITAKIA mwenyewe ili apate KIKI ZA KIPUUZI.....
Afu kingne unaowahamasisha watoe tamko juu ya hili la LISSU wao wana UHALALI UPI AU USAFI upi????maana hawa ndio wachafu kupita maelezo.....
Dawa ya hapa NI kuvaa pamba sikioni na KUDEAL na haya mazoea ya kipuuzi tuliozoea KUISHI....mpaka tunyooke
 
Hivi unavyofikiri wewe kwani hawajui, tena wao ndio wanaompa habari zote na wanafurahi kila wanalopeleka boss wao yanafanyiwa kazi. Hao CHADEMA, ndio uozo uliopitiliza. Nikuambia wewe mbumbu hii nchi hakuna cha upinzani cha kuongoza nchi hizo ni vijiwe vya watu kuwasukumia maisha. Labda umeshasahau mgombea wa CHADEMA mkikosa 2015 labda baada miaka 50. Nendeni vijijini mkahamasishe sio kwa kutumia eti jf hivi mwananchi wa kawaida ana simu ya Smartphone. Mnachekesha.
Wewe unataka tushangilie udikteta wa Magufuli. Hatutaki, tutampinga na kupinga udikiteta wake. Nchi hii si mali yake ni ya wananchi. Kabla ya Magufili Tanzania ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila uwepo wake.
 
Wewe BADALA ya kuhamasisha CDM waitishe press conference juu ya UHAI wa binadamu mwenzetu SAANANE unahamasisha PRESS ya mtu kukamatwa kwa KUJITAKIA mwenyewe ili apate KIKI ZA KIPUUZI.....
Afu kingne unaowahamasisha watoe tamko juu ya hili la LISSU wao wana UHALALI UPI AU USAFI upi????maana hawa ndio wachafu kupita maelezo.....
Leo wanaitisha press conference ya Lissu. Ulikuwa wapi wakiitisha press conference ya Ben? Hii serikali ndiyo inatabia ya kukamata watu, kama walivyomkamata Lissu
 
Utawala wa nchi hii umekuwa wa tofauti kabisa. Mtu analala na kuamka hajui kama atashinda na kuamka salama. Maisha ya wananchi yamekuwa ya wasiwasi na hasa wanasiasa wa ukweli, wa vyama vya upinzani.

Ni wakati wa Chadema kukaa macho muda wote ili kuwatetea wananchi wanaoonewa na utawala huu ambao unaongozwa kama Nyerere alivyowahi kutahadharisha. Kwamba huwezi kutenganisha maendeleo na demokrasia. Kwamba katika nchi zinazoendelea, na hasa za kutoka Afrika, utawala haufuati sheria, wanatawala kidikteta. Hawa madikteta wanapenda kuonea raia.

Ni wakati wa kila mmoja wetu, wakiwemo Chadema kupaza sauti kubwa kulaani na kupinga uonevu huu wa waziwazi unaofanywa na utawala wa Magufuli. Tunamfahamisha Magufuli kuwa nchi hii siyo mali yake. Kabla yake nchi ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila yeye. Asitawale nchi kama anaendesha familia yake. Rais lazima awajibike kwa wananchi na siyo kutumia vyombo vya dola kunyanyasa raia. Kuwajibika kwenyewe ni kuwa sisi wananchi hatutaki udikteta katika nchi yetu. Tunataka demokrasia ya kweli idumu. Nchi yetu imekuwa salama wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Magufuli asituharibie. Kila mwananchi wa nchi hii anahaki ya kuishi kwa uhuru bila kuonewa na serikali ya Magufuli. Ni wakati wa vyombo nyeti vya serikali kufanya kazi yake barabara na kumwonya kuacha maramoja kuwanyanyasa wananchi. Wamwambie waziwazi kuwa nchi hii ni kubwa kuliko yeye.

Chadema pazeni sauti kama chama kumtetea kila mwananchi anayeonewa. Kwa leo fanyeni press conference ya dharura kulaani na kupinga uonevu wa serikali ya Magufuli dhidi ya Mh. Tundu Lissu. Huyu ni mwananchi kama walivyo wananchi wengine. Anastahili kupata haki kama raia wengine. Fanyeni press conference hii kabla jua halijakuchwa. [HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Tundu Lissu now and unconditionally.
Nyie alipokuwepo mkwere mlilia lia kwa kumsema n legelege,,kimeingia chuma mmeanza payukaaa,,,ebu kaeni kimya nchi isonge,,ndo tuliemchagua huyooo
 
Hiyo press si watajaaa nyumbu watupu...na mnajua akili za nyumbu hata wakiwa milion 1 , wooootee akili yao ni moja tu.
kwahiyo hapo hakutakuwa na jipya....basi ni kama kuitana kikao cha kunywa togwa iliyochacha nyumba ya jirani.
 
Nyumbu nyie hamjielew.,,alipokuwepo mkwere mlilia lia kwa kumsema n legelege,,kimeingia chuma mmeanza payukaaa,,,ebu kaeni kimya nchi isonge,,ndo tuliemchagua huyooo
Udhabiti siyo udikiteta ni kufuata sheria na kuwajibika kwa wananchi.
 
Hiyo press si watajaaa nyumbu watupu...na mnajua akili za nyumbu hata wakiwa milion 1 , wooootee akili yao ni moja tu.
kwahiyo hapo hakutakuwa na jipya....basi ni kama kuitana kikao cha kunywa togwa iliyochacha nyumba ya jirani.
Press itakataa udikiteta na mawakala wake. Pia itaeleza ushahidi wa kumlinda mwizi wa vyeti Daudi Albert Bashite kama mfano wa hovyo wa udikiteta wa Magufuli
 
Huo udikteta mnao usema mnausikia tu au mnaufahamu..? mtoto akililia wembe....
 
Nyumbu nyie hamjielew.,,alipokuwepo mkwere mlilia lia kwa kumsema n legelege,,kimeingia chuma mmeanza payukaaa,,,ebu kaeni kimya nchi isonge,,ndo tuliemchagua huyooo
Mkuu sio CHUMA tulikuwa kwenye kipindi cha mpito cha ukomavu wa demokrasia na utawala bora ila kwa sasa tunarudishwa nyuma hatuna cha kujifunza juu ya utawala huu so ndani ya chama au uongozaji wa serikali. Hii miaka ya mkuu wa kaya ikiisha na historia take itakuwa imeisha mwambieni Tanzania sio kisiwa inatakiwa iendane na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kitawala ili ifanane na jumuiya ya kimataifa. Not utawala wa imla.
 
Huo udikteta mnao usema mnausikia tu au mnaufahamu..? mtoto akililia wembe....
Kusema nitafuta TLS, kukamata wanasiasa, kuweka watu rumande kwa makosa ya dhamana na kujidai kuwa walionenda kumwoma Lema ni waasi, kuchota pesa bila idhini ya CAG, na mengine ni udikiteta wa Magufuli
 
Back
Top Bottom