elimukwanza
Senior Member
- Dec 27, 2010
- 169
- 23
Siku za karibuni sasa ni dhahiri CDM wameamua kutumia wanafunzi wa vyuo vikuu katika kile wanachokiita kudai mabadiliko.
Mimi kwa mtizamo wangu wasiwe wana-take advantage ya matatizo yao kufanikisha malengo yao ya kisiasa. Hawa wanafunzi wetu wengi wanatoka vijijini sasa CDM inatakiwa kuwambia kuwa wawaeleze ndugu zao juu ya umuhimu wa katiba mpya na suala la DOWANS.
Unajua tatizo aliko vyuo vikuu, tatizo liko vijijini ambako kuna uelewa mdogo wa wananchi na huo ndiyo mtaji wa mafisadi.