CHADEMA kwa ujumla Newala inaiwashangaa sana,hata huyu ni fisadi na hafai pia!!

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,340
12,825
Siku zote tunasema na kuwambia Chadema,

Hivi ni kweli wameshindwa kuwaandaa watu ndani ya Chama kiasi cha kutegemea watu walioshindwa ndan ya chaguz za CCM na kuwafanya kama ni chaguo lao ndan ya Chama??

Hii hali inaleta Taswira kwamba endapo Chadema ikiingia Madarakani watahangaika sana na mamluki au watu wenye elements za ufisadi ambazo wamekuwa nazo miaka mingi na kukulia nazo CCM,

TAARIFA ZIMEVUJA KWAMBA CHADEMA HUSUSANI MAKAO MAKUU,IMEPANGA KUMSIMAMISHA NDUG AKIBARU,KATIKA CHAGUZ ZIJAZO ZA 2015 KATIKA NAFASI YA UBUNGE KWA JIMBO LA NEWALA.

Kama nilivyosema,ni taarifa zilizovuja ndan ya wilaya hiyo na kusambaa kwa kasi sana miongoni mwa wakazi na wananchi wa eneo hilo,

Ikumbukwe kwamba Ndug AKIBARU Amekuwa mpinzani wa mkuchika kwenye kinyang'anyiro cha uchaguz wa kura za maoni ndan ya CCM na kuangushwa kwa hila takriban mara mbili na MKUCHIKA,hadi ikifikia hatua ya kuzusha mtafaruku mkubwa sana ndan ya chama baina ya hawa watu wawili,

Kwa wakazi wa newala,wenyewe wanathibitisha kwamba Ndug AKIBARU nae ni wale wale,zipo taarifa kwamba ni mtu anaejishughulisha na biashara za magendo na udanganyifu pamoja na kashfa zingine za rushwa na kuhonga watu mbali mbali katika chama na nje ya chama ili aweze kuchaguliwa katikanyadhifa mbalimbali,

Jambo pekee liliopelekea yeye kuanguka kwa hizo nyakati mbili na vipind tofauti katika kura za maoni za CCM ni hila za mkuchika na mtandao alionao kuanzia juu hadi chini kichama,lakini kama ni kuhonga na kununua wapiga kura huyu AKIBARU ndiyo kawaida yake na ni mfano m'baya kabisa kwa kiongoz wa kupewa dhamana ya uongoz.

Najua hili suala ndan ya chadema lipo chini kwa chini na halijatolewa kauli rasmi,lakini uhalisia uko hvyo sasa,hizo taarifa zimeshavuja na chadema kama chadema imeshaingia doa katika plan yao hii,either sasa watafute namna ya kumsafisha au namna ya kuongea na wana newala na kuwaomba wao ridhaa na sio kuwapangia kutoka juu mtu anaefaa kwa mustakabali wa maisha na maendeleo yao,

MY TAKE;

HIVI IMESHINDIKANA KABISA KUWAJENGA VIONGOZ IMARA NA WENYE WELEDI BORA KWA CHAMA HADI KUSUBIRI WATU WALIOKATA TAMAA NDANI YA CHAMA CHA CCM KISHA CHADEMA KIWAFANYE KAMA NDIYO FIRST CHOICE YAO??

KWA MAANA TABIA ZA WATU HAZIBADILIKI HATA WAKIHAMA CHAMA,HAINGII AKILINI LEO AKIBARU AONEKANE KUFAA KWA UONGOZ NA MIENENDO ET KISA TUH KAJIUNGA NA CHADEMA,HILI LIANGALIWE KWA UANGALIFU SANA,

NA USIKUTE ANAWEZA KUWA HATA KIBARAKA WA CCM & MAFISADI,

KWA CHAGUO LENU HILO,2015 KAZI MTAKUWA NAYO JIMBO LA NEWALA,,

MTAZAMO TUH.
 
Maoni yako ni muhimu sana,wahusika watayafanyia kazi bila kujali kama ni uzushi ama lah....asante
 
Mkuu, usipate presha bure , hizo habari kazivujisha yeye mwenyewe kwani anapima kina cha Maji, Chadema haijatangaza mchakato wa kupata wagombea , so usipate presha muda huu.
 
Wazo lako ni la Msingi sana.Lazima CHADEMA wajifunze kutoka kwa Shibuda.Wengi wanaotoka CCM wanaenda CHADEMA kwa hasira ya kushindwa na Mvutano waliokumbana nao walipokuwa huko lakini si kwa Mapenzi waliyonayo kwa Chama.
 
Sasa wako wapi vijana ambao ni wakereketwa wa kweli wa CHADEMA? Isije ikawa ni propaganda za kumharibia huyo jamaa maana waliopo wote ama tulikuwa CCM ama tulilazimika kuwa CCM ili angalau tuapate Elimu ya juu na ajira. Ni vigumu kuwapata watu ambao hawana mahusiano na CCM hata kidogo.

Kwa vile hiki ni chama cha watu, kwa ajili ya watu, kwa manufaa ya watu. hata kama akiingia na mizengwe yake atatulizwa na mfumo tu.
 
Habari zimetoka wapi? Si kweli kwamba Chadema Newala watamsimamisha Akbar.Naomba ieleweke kwamba Chadema makao makuu hufanya kazi zao kwa umakini na si kweli Newala kuna Akbar pekee,vile vile wakati ufikapo Mgombea atajulikana lakini si Akbar.
 
Ushauri mzuri funguka ili chama kijengwe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Siku zote tunasema na kuwambia Chadema,

Hivi ni kweli wameshindwa kuwaandaa watu ndani ya Chama kiasi cha kutegemea watu walioshindwa ndan ya chaguz za CCM na kuwafanya kama ni chaguo lao ndan ya Chama??

Hii hali inaleta Taswira kwamba endapo Chadema ikiingia Madarakani watahangaika sana na mamluki au watu wenye elements za ufisadi ambazo wamekuwa nazo miaka mingi na kukulia nazo CCM,

TAARIFA ZIMEVUJA KWAMBA CHADEMA HUSUSANI MAKAO MAKUU,IMEPANGA KUMSIMAMISHA NDUG AKIBARU,KATIKA CHAGUZ ZIJAZO ZA 2015 KATIKA NAFASI YA UBUNGE KWA JIMBO LA NEWALA.

Kama nilivyosema,ni taarifa zilizovuja ndan ya wilaya hiyo na kusambaa kwa kasi sana miongoni mwa wakazi na wananchi wa eneo hilo,

Ikumbukwe kwamba Ndug AKIBARU Amekuwa mpinzani wa mkuchika kwenye kinyang'anyiro cha uchaguz wa kura za maoni ndan ya CCM na kuangushwa kwa hila takriban mara mbili na MKUCHIKA,hadi ikifikia hatua ya kuzusha mtafaruku mkubwa sana ndan ya chama baina ya hawa watu wawili,

Kwa wakazi wa newala,wenyewe wanathibitisha kwamba Ndug AKIBARU nae ni wale wale,zipo taarifa kwamba ni mtu anaejishughulisha na biashara za magendo na udanganyifu pamoja na kashfa zingine za rushwa na kuhonga watu mbali mbali katika chama na nje ya chama ili aweze kuchaguliwa katikanyadhifa mbalimbali,

Jambo pekee liliopelekea yeye kuanguka kwa hizo nyakati mbili na vipind tofauti katika kura za maoni za CCM ni hila za mkuchika na mtandao alionao kuanzia juu hadi chini kichama,lakini kama ni kuhonga na kununua wapiga kura huyu AKIBARU ndiyo kawaida yake na ni mfano m'baya kabisa kwa kiongoz wa kupewa dhamana ya uongoz.

Najua hili suala ndan ya chadema lipo chini kwa chini na halijatolewa kauli rasmi,lakini uhalisia uko hvyo sasa,hizo taarifa zimeshavuja na chadema kama chadema imeshaingia doa katika plan yao hii,either sasa watafute namna ya kumsafisha au namna ya kuongea na wana newala na kuwaomba wao ridhaa na sio kuwapangia kutoka juu mtu anaefaa kwa mustakabali wa maisha na maendeleo yao,

MY TAKE;

HIVI IMESHINDIKANA KABISA KUWAJENGA VIONGOZ IMARA NA WENYE WELEDI BORA KWA CHAMA HADI KUSUBIRI WATU WALIOKATA TAMAA NDANI YA CHAMA CHA CCM KISHA CHADEMA KIWAFANYE KAMA NDIYO FIRST CHOICE YAO??

KWA MAANA TABIA ZA WATU HAZIBADILIKI HATA WAKIHAMA CHAMA,HAINGII AKILINI LEO AKIBARU AONEKANE KUFAA KWA UONGOZ NA MIENENDO ET KISA TUH KAJIUNGA NA CHADEMA,HILI LIANGALIWE KWA UANGALIFU SANA,

NA USIKUTE ANAWEZA KUWA HATA KIBARAKA WA CCM & MAFISADI,

KWA CHAGUO LENU HILO,2015 KAZI MTAKUWA NAYO JIMBO LA NEWALA,,

MTAZAMO TUH.

Tangu lini Makao makuu CHADEMA ikafanya hivyo?Acheni uzushi
 
Kwa kukusaidia mpambanaji, CDM kwa sasa inapokea majina ya watia nia, lakini vile vile taarifa kama hizi, zinahitajiaka zikiambatanishwa na tafiti zenye ushahidi wa kutosha. hata wewe kama unataka kutia nia, nenda tu kwa viongozi wa jimbo watakupa maelezo. Usipate wasiwasi, na hakuna kitu kama makao makuu kuandaa wagombe wakati huu, ila kuna watia nia tu. Kutia nia mapema kunatoa nafasi ya tathmini yakinifu kuhusu wagombea.
 
The big show na wengine

CHADEMA haijatangaza wala kwa sasa hakuna mchakato wowote unaohusu uchaguzi mkuu ujao, katika nafasi yoyote ile. Halikadhalika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014.

Hata kama tahadhari ni muhimu, hakuna haja ya kuwa na kitu kiitwacho 'fear of unkwon'. Kwa sababu mtu mwenyewe uliyemzungumzia, umeonesha kuwa si mwanachama wa CHADEMA. Sasa hofu na uoga unatoka wapi!

Wakati ukifika watu wote wanaotaka kuwania utumishi wa umma, watawekwa kwenye mizani moja. Watapitishwa kwenye chekecheo 'kali'. Siku zote CHADEMA imejipambanua kwa kuwa na njia anuai katika kuhakikisha inapata wagombea bora.

Aidha, rejea pia kauli za chama kupitia kwa viongozi wakuu kuhusu wanachama walioko vyama vingine, ikiwemo CCM, wanaofikiria kuhamia CHADEMA na kuwania nafasi za uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, ukiwemo ubunge.

Chama kinayo mikakati mbalimbali ya kupika na kuivisha viongozi wa chama, halikadhalika kwa viongozi wa serikali wanaotokana na CHADEMA, ndiyo maana wagombea safari hii watatuma CV zao mapema, watatambuliwa mapema, ikiwa moja ya mikakati hiyo.

Asante Big Show kwa taarifa yako. Imefika.
 
Asante sana mkuu makene kwa kuweka mambo sawa. hatutaki makapi waliochafuka kuja kubeba vyeo chadema.
 
Tangu lini Makao makuu CHADEMA ikafanya hivyo?Acheni uzushi

Uzushi??

Wewe umefka newala ukaongea au kuwaskia wananchi wanalizungumzaje hilo??

Skia mimi sio mchumia tumbo,sio bavicha na wala sijawahi kuwa kiongoz wowote ndan ya chadema,ukiachilia mbali utanzania wangu na hasira ambazo ninazo dhidi ya wanasiasa wanaolifisidi taifa hili,wewe kama unadhani mimi niko hapa nafanya propaganda na kutafuta umaarufu kimpango wako,na hainizuii mimi kusema kile nilichokiona kwa macho yangu na kukisikia eti kwa kuhofia mapro chadema na watokwa mapovu wataniita mimi mzushi,

Muulize Mbowe na lisu wanalifaham hili,na washafika hadi kwake huku newala na dsm kufanya mazungumzo ya aina mbali mbali na huyo mchumia tumbo asie na mbele wala nyuma,

Besides sio lazima kwako au kwa mwingine kuamin hizi taarifa,subiri muda utawaeleza wenyewe,,

Au inahitajika niwe verified na mwenye malumbano kama wewe ili niweze kuaminika??

We born not knowing,are born knowing all??
Can you predict the future?can you see storms,coming??
 
Habari zimetoka wapi? Si kweli kwamba Chadema Newala watamsimamisha Akbar.Naomba ieleweke kwamba Chadema makao makuu hufanya kazi zao kwa umakini na si kweli Newala kuna Akbar pekee,vile vile wakati ufikapo Mgombea atajulikana lakini si Akbar.

Unashangaa habari zinatoka wapi??
Unaishi hapo newala au unaish wapi,mbona mimi nimefika huko na kukaa takriban wiki mbili nimeziona na kuzishuhudia kwa macho yangu??

Muulize DIWANI WAKO WA CCM,KATA YA NEWALA MJINI.

NDUG ISMAIL MBELENJE,YEYE PIA ANA NIA HIYO YA KUPIGA CHINI UONGOZ NDAN YA WILAYA KUTOKANA NA MALUMBANO YALIYOPO NDAN YA CHAMA NA MISUGUANO BAINA YAO NA MKUCHIKA,HILO SUALA LIKO HOT SANA KWA HUKO KWA SASA....
 
Chadema ni Chama makini chenye malengo na matarajio ya kushika dola mwaka 2015, hakiwezi hata siku moja kufanya siasa za Ccm, Newala wapo makada wengi Wa chama wenye lengo la kubadilisha Newala na kuleta historia katika taifa zima la Tanzania, Kwa mantiki hii angalieni watu wasilete tafaruku Za maneno ya mtaani. Watu wenye kashfa hawahitajiki ndani ya Chama hiki.
 
The big show unatisha! Ila mimi nakuunga mkono, chadema inatabia ya kuchukuwa left overs, hilo hata mimi mwenyewe ninaliona kabisa kabisa.mfano walipotaka samweli sitta agombee urais thru chadema hivi kweli hiyo kitu inakuingia akilini? Ukweli mchungu ben saa8, tumaini makene fikisheni ujumbe kwa viongozi waache tabia ya kusomba somba wahamiaji haramu na kuwapa nafasi za kugombea uongozi.wawajali wana chama wao.hope ujumbe umefika.hata hawa akina bongo fleva wanaojiunga na chadema hatutaki wapewe nafasi za uongozi maana njaa zao ndio zinazo waleta. Big show nakubaliana na wewe 100%
 
Wengine wanasema uzushi,eti wanadhani mimi nipo hapa kufanya kazi ya buk 7 buk 7 kama jamaa zao wengine,
 
Uzushi??

Wewe umefka newala ukaongea au kuwaskia wananchi wanalizungumzaje hilo??

Skia mimi sio mchumia tumbo,sio bavicha na wala sijawahi kuwa kiongoz wowote ndan ya chadema,ukiachilia mbali utanzania wangu na hasira ambazo ninazo dhidi ya wanasiasa wanaolifisidi taifa hili,wewe kama unadhani mimi niko hapa nafanya propaganda na kutafuta umaarufu kimpango wako,na hainizuii mimi kusema kile nilichokiona kwa macho yangu na kukisikia eti kwa kuhofia mapro chadema na watokwa mapovu wataniita mimi mzushi,

Muulize Mbowe na lisu wanalifaham hili,na washafika hadi kwake huku newala na dsm kufanya mazungumzo ya aina mbali mbali na huyo mchumia tumbo asie na mbele wala nyuma,

Besides sio lazima kwako au kwa mwingine kuamin hizi taarifa,subiri muda utawaeleza wenyewe,,

Au inahitajika niwe verified na mwenye malumbano kama wewe ili niweze kuaminika??

We born not knowing,are born knowing all??
Can you predict the future?can you see storms,coming??

Sasa wewe kama siyo chadema mambo ya chadema kila kukicha yanakuhusu nini au unawashwa...unadhani Tundu Lisu na Mbowe wao ni wapumbavu au interejensia yako ni kali kuliko yao mbaya zaidi umekuja na porojo tu...tuwekee ushahidi wa rushwa anazo zitoa siyo story za kwenye kahawa..
 
Ujumbe mkubwa hapa Ni kuwa CHADEMA bado haijaweka utaratibu wa kueleweka wa kupata wagombea kwa chaguzi zijazo. Mwishowe itakuwa Ni kupata mamluki wa kutoka CCM watakaojitoa dakika za mwisho ili CCM ipite bila kupingwa. Hata asipwekwa huyo jamaa wa Newala, anaweza kuwekwa gamba mamluki huku Nyang'wale Geita kama hakuna utaratibu rasmi.
 
Sasa wewe kama siyo chadema mambo ya chadema kila kukicha yanakuhusu nini au unawashwa...unadhani Tundu Lisu na Mbowe wao ni wapumbavu au interejensia yako ni kali kuliko yao mbaya zaidi umekuja na porojo tu...tuwekee ushahidi wa rushwa anazo zitoa siyo story za kwenye kahawa..

Kukujibu ni kama kukufanyia favor flan,dawa ni kukuweka katika list ya wapumbavu tuh,

Low Profile,

Siwez poteza muda wangu na vihiyo na makanjanja,i am smarter than that...
 
Back
Top Bottom