CHADEMA kwa ujumla Newala inaiwashangaa sana,hata huyu ni fisadi na hafai pia!!

The big show unatisha! Ila mimi nakuunga mkono, chadema inatabia ya kuchukuwa left overs, hilo hata mimi mwenyewe ninaliona kabisa kabisa.mfano walipotaka samweli sitta agombee urais thru chadema hivi kweli hiyo kitu inakuingia akilini? Ukweli mchungu ben saa8, tumaini makene fikisheni ujumbe kwa viongozi waache tabia ya kusomba somba wahamiaji haramu na kuwapa nafasi za kugombea uongozi.wawajali wana chama wao.hope ujumbe umefika.hata hawa akina bongo fleva wanaojiunga na chadema hatutaki wapewe nafasi za uongozi maana njaa zao ndio zinazo waleta. Big show nakubaliana na wewe 100%
Vyama vingi vimeaanza mwaka 1992, hivyo watu wengi utakuta wamepitia CCM na hakuna mna unaweza kusema eti hatuwataki watu kutoka CCM, huo utakuwa upumbavu...cha msingi ni kumpa mtu nafasi kama anafaa na watu wajitokeze kugombea siyoo nasikia anatoa rushwa tuwekee ushahidi hata hivyo wangombea hawachaguliwi na makao makuu ni huko huko wana Newala ndiyo watako mteua mgombea kupitia chama chao na siyo Tundu Lisu wala Mbowe...
 
Kukujibu ni kama kukufanyia favor flan,dawa ni kukuweka katika list ya wapumbavu tuh,

Low Profile,

Siwez poteza muda wangu na vihiyo na makanjanja,i am smarter than that...
Tayari umeshanijibu, tuletee habari zenye ushahidi halafu maneno eti wewe siyo bavicha kwani umeulizwa...
 
Uzushi??

Wewe umefka newala ukaongea au kuwaskia wananchi wanalizungumzaje hilo??

Skia mimi sio mchumia tumbo,sio bavicha na wala sijawahi kuwa kiongoz wowote ndan ya chadema,ukiachilia mbali utanzania wangu na hasira ambazo ninazo dhidi ya wanasiasa wanaolifisidi taifa hili,wewe kama unadhani mimi niko hapa nafanya propaganda na kutafuta umaarufu kimpango wako,na hainizuii mimi kusema kile nilichokiona kwa macho yangu na kukisikia eti kwa kuhofia mapro chadema na watokwa mapovu wataniita mimi mzushi,

Muulize Mbowe na lisu wanalifaham hili,na washafika hadi kwake huku newala na dsm kufanya mazungumzo ya aina mbali mbali na huyo mchumia tumbo asie na mbele wala nyuma,

Besides sio lazima kwako au kwa mwingine kuamin hizi taarifa,subiri muda utawaeleza wenyewe,,

Au inahitajika niwe verified na mwenye malumbano kama wewe ili niweze kuaminika??

We born not knowing,are born knowing all??
Can you predict the future?can you see storms,coming??

Punguza hasira......!
 
Mkuu haya ya chadema walishashauriwa sana but kunawatu ndani ya chadema wao huamini wako sahihi mda wote na wengine ni vidampa tu.
 
Ujumbe mkubwa hapa Ni kuwa CHADEMA bado haijaweka utaratibu wa kueleweka wa kupata wagombea kwa chaguzi zijazo. Mwishowe itakuwa Ni kupata mamluki wa kutoka CCM watakaojitoa dakika za mwisho ili CCM ipite bila kupingwa. Hata asipwekwa huyo jamaa wa Newala, anaweza kuwekwa gamba mamluki huku Nyang'wale Geita kama hakuna utaratibu rasmi.
Chadema ilisha tangaza mara nyingi tu kuwa safari hii haita fanya huo upumbavu ambao ndiyo matokeo ya akina shibunda na makapi wengine lakini kama mtu ana nia aweke wazi mapema wamchunguze na mbowe alienda mabali zai akasema kuna wabunge wa CCM wameomba kugombea Chadema lakini kwa sasa hata wataja...hivyo basi inawezekana na huyo mtajwa ni mmoja wao chama watamchungua wakiona hata hivyo mwisho wa siku mwenye uamzi wa nani agombee kupitia chadema jimbo la Newala ni wana Newala wenyewe...Hivyo mleta mada kama anania aanze kujijenga...
 
Mkuu haya ya chadema walishashauriwa sana but kunawatu ndani ya chadema wao huamini wako sahihi mda wote na wengine ni vidampa tu.

Well,

Congratulations to them..!!

Kuna Mtu humu JF ANA MSEMO UNASEMA KWAMBA "MIAFRIKA NDIVO TULIVYO",I SECOND HIM...!!
 
Sasa wewe kama siyo chadema mambo ya chadema kila kukicha yanakuhusu nini au unawashwa...unadhani Tundu Lisu na Mbowe wao ni wapumbavu au interejensia yako ni kali kuliko yao mbaya zaidi umekuja na porojo tu...tuwekee ushahidi wa rushwa anazo zitoa siyo story za kwenye kahawa..
Hapa ndipo utamjua mtu mwenye upeo mdogo yeye katoa hoja yake wewe hizo hasira zinatoka wapi au unataka aandike tarifa zipi ili uweze kutulia na kuacha kutokwa povu.
 
Kwanza ileweke kuwa kwasasa kuna kanda hivyo swala kabla halijafika Taifa linashugulikiwa na kanda...haiwezekani Taifa wakurupuketu kurukia mambo wakati wahusika wapo labda kama hakuna viongozi huko...
 
Pamoja kuwa ni kweli kuna msuguano mkali lakini hilo la Akbar si la kweli. Kwani wenye kuamua ni hao unaowataja hapa?
 
Hapa ndipo utamjua mtu mwenye upeo mdogo yeye katoa hoja yake wewe hizo hasira zinatoka wapi au unataka aandike tarifa zipi ili uweze kutulia na kuacha kutokwa povu.
Nilipo ona tu utumbo huu halafu zikafata vitu visivyo na ushahidi
Jambo pekee liliopelekea yeye kuanguka kwa hizo nyakati mbili na vipind tofauti katika kura za maoni za CCM ni hila za mkuchika na mtandao alionao kuanzia juu hadi chini kichama
 
Pamoja kuwa ni kweli kuna msuguano mkali lakini hilo la Akbar si la kweli. Kwani wenye kuamua ni hao unaowataja hapa?

Either hujawahi fika newala,

Or hauko well informed..!!

kafanye utafiti wako binafsi utapata uhalisia
 
Well,

Congratulations to them..!!

Kuna Mtu humu JF ANA MSEMO UNASEMA KWAMBA "MIAFRIKA NDIVO TULIVYO",I SECOND HIM...!!
Tutakuwa na taifa zuri sana kama tutafika mahala ukiambiwa umekosea ukakubali na kuweza kujisahihisha tutakuwa tumefika pazuri sana.
 
Nilipo ona tu utumbo huu halafu zikafata vitu visivyo na ushahidi

Thats why nakuambia hauna unalolijua,na unazungumza usilolitambua,

Kitu pekee kilichomfanya yeye aanguke pamoja na kupigana kwake kote na kununua watu na kura ni uzito wa mkuchika kichama na hila zake kutoka makao makuu ya CCM,kwan kipindi hiko Mkuchika alikua Mkubwa kichama kwenye NEC TAIFA,
LA SIVYO KWA NAMNA HUYU PIMBI ALIVYOMWAGA RUSHWA NA KUWANUNUA MA-CCM WENZAKE MKUCHIKA INGEMTOSHA KUKUBALI MATOKEO NA KUSALIM AMRI,

VIPI UMETUMWA KUJA KUMTETEA AU UNAKITETEA CHAMA??

UNAPIGANA NA UKUTA BASI,MAY BE YOU ARE THINKING NAFANYA PROPAGANDA CHAFU DHIDI YA CDM,ENDELEA KUWAZA IVYO,MAY BE UTAFANIKIWA NA NIA YAKO
 
Sasa wako wapi vijana ambao ni wakereketwa wa kweli wa CHADEMA? Isije ikawa ni propaganda za kumharibia huyo jamaa maana waliopo wote ama tulikuwa CCM ama tulilazimika kuwa CCM ili angalau tuapate Elimu ya juu na ajira. Ni vigumu kuwapata watu ambao hawana mahusiano na CCM hata kidogo.

Kwa vile hiki ni chama cha watu, kwa ajili ya watu, kwa manufaa ya watu. hata kama akiingia na mizengwe yake atatulizwa na mfumo tu.

pretty!
 
THE BIG SHOW,

Kamanda wala usiwe na wasi wasi watatuma jembe linalokubalika kutoka Kilimanjaro au Arusha kuja kugombea ubunge jimbo la Newala.

Hakuna kulala mpaka kieleweke...

Tumeanza na Mungu tutamaliza na Mungu..

:peace:
 
Last edited by a moderator:
Thats why nakuambia hauna unalolijua,na unazungumza usilolitambua,

Kitu pekee kilichomfanya yeye aanguke pamoja na kupigana kwake kote na kununua watu na kura ni uzito wa mkuchika kichama na hila zake kutoka makao makuu ya CCM,kwan kipindi hiko Mkuchika alikua Mkubwa kichama kwenye NEC TAIFA,
LA SIVYO KWA NAMNA HUYU PIMBI ALIVYOMWAGA RUSHWA NA KUWANUNUA MA-CCM WENZAKE MKUCHIKA INGEMTOSHA KUKUBALI MATOKEO NA KUSALIM AMRI,

VIPI UMETUMWA KUJA KUMTETEA AU UNAKITETEA CHAMA??

UNAPIGANA NA UKUTA BASI,MAY BE YOU ARE THINKING NAFANYA PROPAGANDA CHAFU DHIDI YA CDM,ENDELEA KUWAZA IVYO,MAY BE UTAFANIKIWA NA NIA YAKO

Kwanini wewe usiwe Mkuchika anaanza kujiharishia baada ya kuona ngoma ni nzito!
 
Back
Top Bottom