CHADEMA kwa sasa ni sawa na "toothless dog"

CHADEMA kwa sasa ni sawa na "toothless dog"

Labda ulikuwa ukiishi chini ya jiwe hivyo hukuona juhudi zao za kusambaza propaganda chafu dhidi ya Chadema ikiwemo kupandikiza uongo mbali mbali dhidi ya Chadema na viongozi wake. Acha kudumaza akili yako!

Hizo ni ndoto za alinacha....hivi wewe kwa ufahamu wako unadhani kama hao uliowataja tena kwa majina ya yenye harufu ya CHADEMA unadhani wangeshindwa...?
 
Wewe kama unaweza kubeza mchango wa Dr slaaa pale ufipa Hakika Utakuwa illegal migrant
Weka link ya uzi au comment uliyowahi kuandika kipindi hicho cha Slaa hayo maneno unayoyasema leo!
Ukiona mtu anagugumia ujue kashikwa pabaya!TLP iliyokufa na kubaki kiwili wili haiandikwi humu,mti wenye matunda ndio huwa unapigwa mawe!
Hizi yowe mnazopiga humu ndio zinafanya watu washikilie hapo hapo!
 
Weye kweli una akili ya kushikiwa! Unayakumbuka maneno ya Baba wa Taifa CCM si mama yangu? Sasa kama muasisi wa CCM wakati ule alikuwa tayari kuikana CCM na wakati ule hali haikuwa mbaya kama leo hii wewe mwenye akili ya kudumaa unasubiri nini!?

moyoni unaikubali CCM wewe. Huna lolote
 
Usisahau kauli ya fisadi dhaifu, "CCM kuna mafisi" subiri fisi wewe urushiwe fupa taahira wewe usiyejitambua na msaliti mkubwa wa Watanzania we zako.

Ila nyumbu wakijuacho ni kwenda Ufipa na kusema "fikra za sultani Uhuru zidumu"
 
Hivi kama CHADEMA imekwisha kwa nini kutwa kucha mko busy kuiandika? Si muandike basi na UDP au chenyewe bado kipo hai?
 
Hahah yaani katika Mwaka ninao ona upinzani umekua na nguvu ya ajabu ni 2015 tena lowasa alivoingia upande wapili walitisha sana.. Sasa unashangaa mtu akisema et kipindi cha slaaa mbona aliondoka nabado mamvi alikiwasha kama kawa,...tena saiv kwa anayoyafanya magufuli anawaongezea umaarufu zaidi.. Sela ya Viwanda ipo kimaneno lakn kivitendo zero
 
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kama ambayo huwa kina jipambanua kuwa ni chama cha wananchi kilichoanzishwa ili kuja kuwakomboa watanzania kutoka uta wala wa chama kimoja, chama chaapinduzi.

Kwa miaka ya nyuma kidogo kama kilijitahidi Kiasi Fulani (kama 32.7%) kujitangaza na kujipambanua miongoni mwa watanzania wengi kuwa wao ni chama cha aina gani, kina Sera ipi, na mikakati yao ya kufikia kilele cha safari yao ya matumaini.

Hakika wakati wa uongozi wa katibu mkuu Dr Wilbroad slaa chama kilikuwa kinaanza kuonesha mwanga na tumaini jipya kwa wafuasi wake. Hata Mimi hilo nililiona kwa uwazi na mapana yake.

Chadema kilikuwa na hoja zenye mashiko na ushawishi ulio dhahiri (tafadhari kaa chini japo DK 1 uikumbuke CHADEMA chini ya Dr. Slaa). Chama kilikuwa na vijana wenye mapenzi ya dhati na kujitoa kwa ajili ya kile chama kiliwatuma na kukiishi.

Lakini toka aondoke Dr Slaa CHADEMA kimekuwa kama chama fungu la kukosa, kimekuwa kama chama mgane/ mjane, chama jongoo (hakioni mbele), chama cha kuvizia matukio (kaa chini dk 2) utafakari kwa kina kama CHADEMA kina hoja rasmi na mahsusi kama chama cha siasa.

Siku hizi kila siku wamekuwa wazee wa rambi rambi, tetemeko, ukuta, kata funua, koromije , n.k
Wenzao chama cha mapinduzi wana hoja yao inayoimbwa na kila mwanachama kuwa Tanzania ya Viwanda. Lakini CHADEMA wangekuwa kama kuku aliyechoropoka wakati ana chinjwa na hivyo kuruka ruka mitaani bila kichwa (kiwili wili tu kimebaki). Mathalani uwepo wa wazee wa walio kimaslahi kama edward LOWASSA , Fredrick @Sumaye , katibu mkuu Mashinji ndio kama yuko kwenye likizo isiyo na malipo wala majukumu (sabbatical leave) .. Kimegeuka kuwa chama cha wapiga ramli chonganishi kwamkina Gwajima na wenzake. Mjitafakari sana.


Natabiri anguko kuu la CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 maana chama kisha katwa kichwa hivyo kimebaki kiwili wili tu .
Badilikeni, njooni na hoja na mikakati madhubuti ili kurudisha hadhi na nguvu ya chama.

Kwa leo ni hayo tu.

Nina
Unahitaji maombi hii imeshakuwa vita ya panzi kwanini tuingilie, tumemwachia dictator wenu awafunge speed governor wanaCCM halafu sisi tumumalizie yeye na mwanaye.
 
Mlishaambiwa, sasa hivi CDM wame-graduate! Sio chama cha kiana-harakati tena bali sasa ni chama cha SIASA! Acha kuwapangia wenzio, fanya yako!
 
Hivi wewe hujui kuwa wakat wa Dr Slaa mlikuwa. Chama walau unaweza ukachungulia kwa darubin ukaona walau kuna chama sio saa hizi....yaani hata "think tanks " kina prof Balegu , prof Safari wamejinyamazia tu.....kama Vip muulizeni Mzee mabere Marando atawapa siri ya Dr Slaa
Hahah yaani katika Mwaka ninao ona upinzani umekua na nguvu ya ajabu ni 2015 tena lowasa alivoingia upande wapili walitisha sana.. Sasa unashangaa mtu akisema et kipindi cha slaaa mbona aliondoka nabado mamvi alikiwasha kama kawa,...tena saiv kwa anayoyafanya magufuli anawaongezea umaarufu zaidi.. Sela ya Viwanda ipo kimaneno lakn kivitendo zero
 
Mlishaambiwa, sasa hivi CDM wame-graduate! Sio chama cha kiana-harakati tena bali sasa ni chama cha SIASA! Acha kuwapangia wenzio, fanya yako!

Wame graduate kutoka kuwa chama cha kuendesha "gutter politics" -siasa za maji taka
 
Unahitaji maombi hii imeshakuwa vita ya panzi kwanini tuingilie, tumemwachia dictator wenu awafunge speed governor wanaCCM halafu sisi tumumalizie yeye na mwanaye.
Badilisheni think tanks wa chama cha CHADEMA maana waliopo wameshindwa kwenda na kasi ya sasa.
 
Sijawahi kukusoma ukiitukana SAU! Wala Chaumma!wala CCm!wala NCCR!wala Tlp!wala Chausta!wala ACT!! Ukilala ni Chadema ukiamka ni Chadema! Ukinya ni Chadema ukijamba chadema!!! Wewe ni Balozi mzuri wa chadema! Keep it up!
Matuc hayo sasa, tulia cndano ikuingie vizur
 
Back
Top Bottom