CHADEMA kwa sasa ni sawa na "toothless dog"

CHADEMA kwa sasa ni sawa na "toothless dog"

Mkuu CHADEMA imebaki makumbusho pale ufipa kinondoni


Swali langu, mbona makumbusho haya tu ya CHADEMA? Vipi CUF na wengine? Nilishasema hapa,kwa vile hamtaki kupingwa na kwa wingi wenu bungeni pelekeni tu muswada wa kufuta vyama vingi turudi katika chama kimoja maisha yaendelee. Ni njia rahisi sana kuliko hii ya kupiga makelele mitandaoni.
 
Basi 2020 ccm ambao mmegeuka wala rambi rambi ndio mtavuna kura zote!
Bila shaka bwana yule atapata ushindi wa asilimia100!

Umeridhika au bado?
Naona ishu ya rambirambi ndio itakuwa sera kuu ya Chadema 2020
 
Laana ya kula rambi rambi imeshawapata tayari, mnajitungia riwaya za kujiliwaza. Kama Chadema imekufa ruhusuni mikutano na muache demokrasia ichukue mkondo wake muone mtakavyoagiza shehena ya mabomu kwani hamna ubavu wa kushindana kwa hoja zaidi ya risasi na mabomu.
 
Badilisheni think tanks wa chama cha CHADEMA maana waliopo wameshindwa kwenda na kasi ya sasa.

Mimi sikulaumu kutokana na upeo wako ni mdogo zaidi ya konokono, Alichokifanya mkuu ni kama kumfunga bondia mwenzako mikono na kitambaa usoni halafu mpigane, baadaye ushangilie ushindi eti umeshinda kwa technical knock out.

Ndicho alichokifanya Magufuli halafu wewe kwa mtazamo wako unasifisifia, Siasa ni hoja sio ubabe, siasa ni majukwaani, makongamano, maandamano ya amani, kama ilivyo kusoma shuleni, kuabudu misikitini na makanisani. kama umepiga marufuku siasa halafu unataka ulinganishe vyama basi wewe ni funza.
 
Sasa haina maneno Kwanini unaandika habari zake lengo nini? Mlio na maneno mumefanya nini cha Maana?
 
Sasa haina maneno Kwanini unaandika habari zake lengo nini? Mlio na maneno mumefanya nini cha Maana?

CCM wasichoelewa ni kuwa wanatakiwa kufanya kila wanachotaka wananchi kwa rasilmali walizowakabidhi na kuacha wapinzani kazi ya kukosoa pale wanapokosea. Badala yake wao wanaacha hilo jukumu na kukazana kukosoa upinzani.
 
Hebu niambieni tofauti ya chadema na ccm kwa sasa ni nini?

Tunataka kitu brand new! Hivi kutoafauti gani ya uwepo wa Chenge ccm na uwepo Nyalandu chadema?

Hivi unawezaje kusema tuwakatae watu waliotufikisha hapa huku umemkumbatia Sumaye, Lowasa na Nyalandu?

Utasikia wana chadema wakisema eti hoo mbona hamuwashiki kuwapeleka mahakamani, serious? Kwahiyo kwavile mwenzio anakojoa ndani na wewe unakojoa ndani?

Ndio maana watu kama kina Kafulila wakiamua kujiondoa wanaonekana wanatafuta vyeo! Hivi Kafulila si alikuwa anajua kwamba chadema hakuna vyeo au?

Siyo kwamba watu hajaichoka ccm, ila wanajiuliza mbadala wa ccm ni nani? Hakuna!
 
Kwahiyo hoja yako ni ipi, kwanza mfano wako wa divai ni irrelevant au hujui kuwa divai ya zamani ndiyo bora zaidi.
 
Natabiri anguko kuu la CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 maana chama kisha katwa kichwa hivyo kimebaki kiwili wili tu .
mbona utabiri huo umezoeleka si unamkumbuka wasira kile alichotabiria chadema ndio kimekuwa halali yake na we endelea tu na huo utabiri wako siku tukikumbusha usije krusha ngumi
 
Back
Top Bottom