CHADEMA, kwa hili mnawaponza Sympathizers

CHADEMA, kwa hili mnawaponza Sympathizers

Utaacha lini kushikiwa akili...
Sympathizing ukijumlisha na msongo wa mawazo binafsi ni kifo au kufungwa. You need healing and take a moment to think life is too sweet that you can't afford to die.
 
Sina uhakika mleta mada anachomaanisha ni nini. Kama hao unaowatetea wanajitambua kuna jambo moja tu la kufanya. Kwa vile imeshindikana kuwakamata watesi wa TAL zaidi ya Nissan 8 zilikohifadhiwa pasipojulikana waambie watoe kibali ili mossad, Scotland au fbi waje at their own cost waikamate hiyo gari na mwenye kapero. Full stop. Otherwise usitulaumu watu wa visiga mbutu kwikerege Masanza one kabuku hata manzese kuwanyooshea kidole
Sympathizing ukijumlisha na msongo wa mawazo binafsi ni kifo au kufungwa. You need healing and take a moment to think life is is too sweet that you can't afford to die.
 
Alivyotajwa Tundu Lissu adui wa taifa hukuona? au ulifurahi,

Muro kasema wazi Watu wanatakiwa kupotezwa, nani mbaya hapo? Ni raha kuchukua wake za watu ukichukuliwa wewe inauma.
 
Alivyotajwa Tundu Lissu adui wa taifa hukuona? au ulifurahi,

Muro kasema wazi Watu wanatakiwa kupotezwa, nani mbaya hapo? Ni raha kuchukua wake za watu ukichukuliwa wewe inauma.

Mimi si mjinga wala kukurupuka kuandika mada hii. Ila nimekutana na mtu anamaumivu yaliyopelekea msongo wa mawazo kuhusiana na tukio la lisu. Kwa kifupi this guy kama atapewa mabomu anaweza kuvaa akajiua kwasababu yupo katika maumivu makali kuliko tundu lisu. He is Sympathizing
 
Kila mwenye akili timamu anaweza kubashiri taswira nzima ya jambo hili bila kujali ana chama au laa au yuko chama tawala au upande wa pili! Usidhani kila anaepinga ukatili ule ni mpinzani la hasha! Ni watu wanaoamini ktk haki na ubinadamu kuwa kitendo alichofanyiwa mwenzetu si cha kiungwana na cha kinyama kwelikweli!
 
Ninaongelea Sympathizing ukijumlisha na msongo wa mawazo binafsi ni kifo au kufungwa. You need healing and take a moment to think life is too sweet that you can't afford to die for nonsense.
 
Back
Top Bottom