CHADEMA, kwa hili mnawaponza Sympathizers

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Sympathizer ni mtu amabye hausiki kabisa kwenye jambo flani ila anabeba maumivu kuliko wahusika halisi wa jambo lile. Na akafikia hata kuua au kufanya jambo baya kwa niaba ya wahusika bila ya kuwashirikisha wahusika wa jambo lile,Na kuna muda mpaka wahusika halisi wanamshangaa na kumkana.

Jamani turudi kwenye Jambo la Lisu. Hivi nyinyi ndugu zangu wana nguvu ya umma. Mnajua maumivu anayopitia Lisu? Hivi mnajua aliyofanyiwa Lisu ni maauaji ya kupangwa? Mnajua mnachokifanya kwa raia wa Tanzania hii yetu sote? Kuna watu wamewahukumu kabisa baadhi ya watu kuhusika na hili tukio moja kwa moja. Hivi amjui huko mtaani pia kuna watu wamejenga chuki kabisa samabamba dhidi watu flani flani mnao watuhumu?. Hivi leo ama kesho mnataka hawa watu nao wakutane na zahama ya sympathizers?

Kitendo cha kuhukumu watu bila kuwa na ushahidi kwenye jambo baya kama hili, nia yetu ni nini? Mimi nadhani mjisahihishe kwa hili. Ni jambo dogo sana ila imapact yake ni kubwa kiusalama. Hebu tujirekebishe na tupime kauli zetu na tujue effect kwa jamii yetu.
 
Jamani turudi kwenye Jambo la Lisu. Hivi nyinyi ndugu zangu wana nguvu ya umma. Mnajua maumivu anayopitia Lisu? Hivi mnajua aliyofanyiwa Lisu ni maauaji ya kupangwa? Mnajua mnachokifanya kwa raia wa Tanzania hii yetu sote? Kuna watu wamewahukumu kabisa baadhi ya watu kuhusika na hili tukio moja kwa moja. Kuna watu wamejenga chuki kabisa dhidi watu flani flani. Hivi leo ama kesho mnataka hawa watu nao wakutane na zahama ya sympathizers?

Kitendo cha kuhukumu watu bila kuwa na ushahidi kwenye jambo baya kama hili, nia yetu ni nini? Mimi nadhani mjisahihishe kwa hili. Ni jambo dogo sana ila imapact yake ni kubwa kiusalama. Hebu tujirekebishe na tupime kauli zetu na tujue effect kwa jamii yetu.
 
Walio husika wanajulikana ila wanataka tukubaliane nao kwamba hawajulikani.

Hivi Dereva wa Lissu na Lissu mwenyewe wangekuwa wamekufa ina maana wachunguzi wangeenda Makaburini ili wawape maelezo??

Au ina maana kwamba uchunguzi ingekuwa hakuna maana walimiminiwa risasi wameishakufa na kwa kuwa ni Wanachama wa Chadema basi hawastahili kuishi??

Afande Sirro amelitia majizi Jeshi la Polisi hata Kipilimba pia.

Ni aibu kwa.taasisi zao ati kushindwa kupata hata clue ya wahusika ati wasiojulikana.Enzi za JKN iisingepita jioni wangekuwa mikononi.

Waliomuua Kombe walijulikana mapema sana imekuwaje hawa wameshindwa kuwapata??

Hivi tunapoona statement za vitisho za akina Jerry Muro na bado wapo uraiani siku MTU aliuawa au kupoteza kosa kakosana na hili kundi la akina Jerry Muda napo tutasikia asiyejulikana??

Aibu kwa Watanzania wanaowatetea Polisi na taasisi za uchunguzi. Imagine aliyeko mitandaoni ni kaka au baba yako hope ungewatetea pia.
 
Walio husika wanajulikana kila wanataka tukubalianenao kwamba hawajulikani.
Ok but kuna shida hapa ya uthibitisho. Hapa ni sawa na kumchoma moto mwizi bila kujua kaiba
 
Wacha CHADEMA waongee tu na wawaseme hadharani hao Watu mkuu.Hii kazi ya kiuchunguzi kingefanywa Vema na waandishi Wa habari ili kuuhabarisha umma ila waandishi wetu wanapenda kulishwa tu kupewa habari. Wameshawaweza ITV na NIPASHE hawatatoa habari za kiuchunguzi utasikia waziri mkuu.... waziri... mkuu wa mkoa... mpaka mwisho wa habari.Ni BORA CHADEMA waongee tu kama vichaa ila iko siku tutawaelewa
 
Sympathizer ni mtu amabye hausiki kabisa kwenye jambo flani ila anabeba maumivu kuliko wahusika halisi wa jambo lile. Na akafikia hata kuua au kufanya jambo baya kwa niaba ya wahusika bila ya kuwashirikisha wahusika wa jambo lile,Na kuna muda mpaka wahusika halisi wanamshangaa na kumkana.

Jamani turudi kwenye Jambo la Lisu. Hivi nyinyi ndugu zangu wana nguvu ya umma. Mnajua maumivu anayopitia Lisu? Hivi mnajua aliyofanyiwa Lisu ni maauaji ya kupangwa? Mnajua mnachokifanya kwa raia wa Tanzania hii yetu sote? Kuna watu wamewahukumu kabisa baadhi ya watu kuhusika na hili tukio moja kwa moja. Hivi amjui huko mtaani pia kuna watu wamejenga chuki kabisa samabamba dhidi watu flani flani mnao watuhumu?. Hivi leo ama kesho mnataka hawa watu nao wakutane na zahama ya sympathizers?

Kitendo cha kuhukumu watu bila kuwa na ushahidi kwenye jambo baya kama hili, nia yetu ni nini? Mimi nadhani mjisahihishe kwa hili. Ni jambo dogo sana ila imapact yake ni kubwa kiusalama. Hebu tujirekebishe na tupime kauli zetu na tujue effect kwa jamii yetu.
Watu wamechoka na Majibu Mepesi mepesi hata mimi Mwenye akili za kuvukia Barabara Nagundua kwamba Hapa Manyoya!
 
Ok but kuna shida hapa ya uthibitisho. Hapa ni sawa na kumchoma moto mwizi bila kujua kaiba

Unaongea utoto gani ww, Makonda kataja watu hadharani kwa chuki kwamba wanauza unga, je akina Gwajima, Manji nk wanauza unga? Kuna mahakama inethibitisha hilo? Wakati Makonda anatuhumu watu ulikuwa wapi kumpa ushauri huu?
 
Walio husika wanajulikana ila wanataka tukubaliane nao kwamba hawajulikani.

Hivi Dereva wa Lissu na Lissu mwenyewe wangekuwa wamekufa ina maana wachunguzi wangeenda Makaburini ili wawape maelezo??

Au ina maana kwamba uchunguzi ingekuwa hakuna maana walimiminiwa risasi wameishakufa na kwa kuwa ni Wanachama wa Chadema basi hawastahili kuishi??

Afande Sirro amelitia majizi Jeshi la Polisi hata Kipilimba pia.

Ni aibu kwa.taasisi zao ati kushindwa kupata hata clue ya wahusika ati wasiojulikana.Enzi za JKN iisingepita jioni wangekuwa mikononi.

Waliomuua Kombe walijulikana mapema sana imekuwaje hawa wameshindwa kuwapata??

Hivi tunapoona statement za vitisho za akina Jerry Muro na bado wapo uraiani siku MTU aliuawa au kupoteza kosa kakosana na hili kundi la akina Jerry Muda napo tutasikia asiyejulikana??

Aibu kwa Watanzania wanaowatetea Polisi na taasisi za uchunguzi. Imagine aliyeko mitandaoni ni kaka au baba yako hope ungewatetea pia.

Wewe ni Sympathizers wa kutengezwa fikiria mgekuwa milion wenye akili kama zako. Sasa hivi ungekuwa na bunduki barabarani. Ndio kitu naongelea hapo
 
Unaongea utoto gani ww, Makonda kataja watu hadharani kwa chuki kwamba wanauza unga, je akina Gwajima, Manji nk wanauza unga? Kuna mahakama inethibitisha hilo? Wakati Makonda anatuhumu watu ulikuwa wapi kumpa ushauri huu?

Wewe ni Sympathizers wa kutengezwa fikiria mgekuwa milion wenye akili kama zako. Sasa hivi ungekuwa na bunduki barabarani. Ndio kitu naongelea hapo
 
Wewe ni Sympathizers wa kutengezwa fikiria mgekuwa milion wenye akili kama zako. Sasa hivi ungekuwa na bunduki barabarani. Ndio kitu naongelea hapo

Hutokaa unielewe sababu wewe ni mmoja wa hao wanaowatetea wasiojulikana.

Unatumiwa taarifa ya tukio unasema.Niko kwenye Mkutano muhimu sana unaenda kwenye tukio baada ya zaidi ya masaa mawili kupita ati unajiita Polisi.

Tuache utani kwenye maisha ya Watanzania hakuna mwenye Tanzania, Tanzania ni yetu zote tuache tabia za kuua
 
Wewe ni Sympathizers wa kutengezwa fikiria mgekuwa milion wenye akili kama zako. Sasa hivi ungekuwa na bunduki barabarani. Ndio kitu naongelea hapo

Tuna uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo, hatusubiri kuelezwa na viongozi. Na hata viongozi wakiongea tunajua upi mchele ni zipi chuya. Ndio nikakupa huo mfano wa Makonda kulingana na hiyo mada yako ya upotoshaji.
 
Sina uhakika mleta mada anachomaanisha ni nini. Kama hao unaowatetea wanajitambua kuna jambo moja tu la kufanya. Kwa vile imeshindikana kuwakamata watesi wa TAL zaidi ya Nissan 8 zilikohifadhiwa pasipojulikana waambie watoe kibali ili mossad, Scotland au fbi waje at their own cost waikamate hiyo gari na mwenye kapero. Full stop. Otherwise usitulaumu watu wa visiga mbutu kwikerege Masanza one kabuku hata manzese kuwanyooshea kidole
 
Kuna wakati huwa naona kama hujapita shule! Hivi nini hujakielewa kuhusu mheshimiwa Lissu?
Sympathizing ukijumlisha na msongo wa mawazo binafsi ni kifo au kufungwa. You need healing and take a moment to think life is is too sweet that you can't afford to die.
 
Back
Top Bottom