Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni.

Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilipigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa.

Jaji wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga alisema zuio hilo linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi itakavyoanza kusikilizwa.

Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja.

Hivyo Jeshi la Polisi liko sahihi kusimamia amri ya Mahakama ya kuwataka CHADEMA wasifanye shughuli yeyote, na kama CHADEMA wana malalamiko basi mtu wa kwanza wanayepaswa kumlaumu ni Jebra Kambole, ambaye alifanya uamuzi wa kijinga wa kujitoa kwenye kesi.
 
Kiukweli bila hata ya kusoma mada yako ni wazi unataka kuhamisha magoli. Hata Jaji yule asilaumiwe?
 
kambole hana hata doa moja kwa hili, hiyo kesi hukumu yake mbona ilijulika one week before!
Purely political science.
 
Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni.

Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilipigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa.

Jaji wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga alisema zuio hilo linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi itakavyoanza kusikilizwa.

Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja.

Hivyo Jeshi la Polisi liko sahihi kusimamia amri ya Mahakama ya kuwataka CHADEMA wasifanye shughuli yeyote, na kama CHADEMA wana malalamiko basi mtu wa kwanza wanayepaswa kumlaumu ni Jebra Kambole, ambaye alifanya uamuzi wa kijinga wa kujitoa kwenye kesi.
Wewe ni bumunda, Kwanini? Umeeleza kwanini Jebra Kambole alijitoa? Eleza sababu za Jebra kujitoa,
Sababu hiyo inafanana na Ile Ile ya TAL kuamua kujitetea mahakamani Jana mwenyewe!
Sasa usiwe unahamisha goli Ili ujifurahishe wewe na wajinga wenzio jitahidi kuestablish facts zinasemaje.
 
Back
Top Bottom