CHADEMA kuzindua kampeni Arumeru Jumamosi kwa maandamano makubwa.

Wanazindua siku hiyo hiyo ya Jumamosi. Baada ya kuona watu wengi sana watahudhuria uzinduzi wa CHADEMA, wakaona bora wakazindulie Tengeru pale sokoni, siku ambayo ni siku ya Gulio. Wamecheza alama za nyakati

ha ha ha ha kwi kwi kwi kwi,dizne flan wamesoma alama za nyakat bt me nahc watasanda tu
 
Chadema kila la kheri, ccm kila la shari na mwigulu miguu iwe juu!!!!!
 
Exactly hapo ccm wanataka kuonesha kuwa wana wa2 kumbe watazungumza na wameru walio sokoni,mbona hapo hakuna uwanja.ingekuwa chadema imeomba hapo wangeambiwa kuna economic activities ila 2tavuka tuje usa river
 
chadema hii ikoje mnabeba mijitu ya kia na arusha kuongeza namba arumeru.

wameru mmetunyangánya mji wetu wa arusha mnataka kutuibia na arumeru, wizi mtupu hatudanganyiki.
 
Hivi huyu tentemeke hajurikani ni nani, namfananisha na speaker sitta.

si huwa wanasema ni jamaa aliyetoswa uongozi BAVICHA,sidhani kama atakuwa Sam Sitta,anyway Moderator tunaomba msaada wako, raia wanatamani kumjua muharibifu wa chama
 
chadema hii ikoje mnabeba mijitu ya kia na arusha kuongeza namba arumeru.

wameru mmetunyangánya mji wetu wa arusha mnataka kutuibia na arumeru, wizi mtupu hatudanganyiki.

mapovu ya nini sana,meza mate kwanza
 
CCM watazindua baada ya mgomo wa madaktari kusitishwa kwa sasa hawana cha kuwajibu wana arumeru wakiwauliza kuhusu huduma za afya mahospitalini sanasana wanaendelea kuwapa hela tu.
 
Wanazindua siku hiyo hiyo ya Jumamosi. Baada ya kuona watu wengi sana watahudhuria uzinduzi wa CHADEMA, wakaona bora wakazindulie Tengeru pale sokoni, siku ambayo ni siku ya Gulio. Wamecheza alama za nyakati
Mkuu watatumia uwanja gani kama ni pale Tengeru sokoni uwanjani mdogo sana.
 
Ngoma ndio inaanza kuchezwa, sasa tushuhudie mafahali yakipigana huko arumeru!tahadhari: ole wake atakaye toa au kujaribu kutoa rushwa na ole wake atakayejaribu kufikiria kuiba kura!!patachimbika bila jembe!!tupo njian kuongeza nguvu jumamosi,
 
vipi tengeru pilau lipo?

maana tulilimis la igunga ila hili lenye na mkono wa baba mkwe litatuuwa.
 
hongereni ila jiepusheni na mamluki wa magamba wanaweza kutuma watu waje wafanye fujo kwa mwamvuli wenu kuweni makini ili kuweka mazingira ya kutwaa jimbo.
 
chadema hii ikoje mnabeba mijitu ya kia na arusha kuongeza namba arumeru.

wameru mmetunyangánya mji wetu wa arusha mnataka kutuibia na arumeru, wizi mtupu hatudanganyiki.

mmepewa t-shirt,fulana na ccm then maisha mabaya kwa kila m-tz.huko nako si kudanganyika!CHADEMA MWENDO MDUNDO HAKUNA KAULI MFU KAMA NYIE WAZEE WA SITAKI NATAKA.
 
Duuuh, hiyo jmosi basi Arusha toka KIA hadi Kwa Mrefu hakutakalika!!!!!!!!
 
Ngoma ndio inaanza kuchezwa, sasa tushuhudie mafahali yakipigana huko arumeru!tahadhari: ole wake atakaye toa au kujaribu kutoa rushwa na ole wake atakayejaribu kufikiria kuiba kura!!patachimbika bila jembe!!tupo njian kuongeza nguvu jumamosi,

Kwa kweli mambo yatakuwa matamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom