CHADEMA kuzindua kampeni Arumeru Jumamosi kwa maandamano makubwa.

mmepewa t-shirt,fulana na ccm then maisha mabaya kwa kila m-tz.huko nako si kudanganyika!CHADEMA MWENDO MDUNDO HAKUNA KAULI MFU KAMA NYIE WAZEE WA SITAKI NATAKA.

Pole zao
 
Mkuu usinchekeshe.... mbavu sina!
Kweli mkuu, zamani tulikuwa tunakanyagana kuhudhuria mikutano ya CCM siku hizi watu wanabembelezwa hadi walipwe kwanza na wapewe usafiri wa kwenda na kurudi sasa bado utasema hicho ni chama cha siasa. Naomba tu CDM wasiige mtindo huo acha watu wahudhurie wenyewe hata kama ni kumi wanatosha.

Msingi wa vyama vya siasa ni hiari kama chama kinakosa watu hadi kitumie mbinu mbadala jua kinaelekea kufa. Lakini wanaokiuua ni viongozi wenyewe, wanakijenga chama kwa misingi ya pesa na wanachama wanazoea pesa bila pesa hawapandishi bendera, ni hatari. CCM inakoelekea kuna siku itakuwa inaita majina kwenye mikutano yake kuhakiki kama kweli wote waliopewa pesa wamehudhuria.
 
Kila mkutano wa CDM utakuwa unapitisha mchango tofauti kabisa na CCM ambao wao hugawa pesa kwa wananchi......
 
Mkuu hii itatujengea watu kuipenda chadema uko Arumeru, napenda mbinu za chama changu. I wish nije meru, ngoja niangalie kama kuna safari ya uswaa.
 
Karibuni makamanda tuzindue kampeni, binafsi nipo Arumeru nawaandalia mazingira.
Peopleeees!
 
Kweli mkuu, zamani tulikuwa tunakanyagana kuhudhuria mikutano ya CCM siku hizi watu wanabembelezwa hadi walipwe kwanza na wapewe usafiri wa kwenda na kurudi sasa bado utasema hicho ni chama cha siasa. Naomba tu CDM wasiige mtindo huo acha watu wahudhurie wenyewe hata kama ni kumi wanatosha.

Msingi wa vyama vya siasa ni hiari kama chama kinakosa watu hadi kitumie mbinu mbadala jua kinaelekea kufa. Lakini wanaokiuua ni viongozi wenyewe, wanakijenga chama kwa misingi ya pesa na wanachama wanazoea pesa bila pesa hawapandishi bendera, ni hatari. CCM inakoelekea kuna siku itakuwa inaita majina kwenye mikutano yake kuhakiki kama kweli wote waliopewa pesa wamehudhuria.

Mkuu wangu maneno mazito sana hayo
 
Hahaaa hapa nimekumbuka jinsi raia walivyotelekezwa kule Mwanza, siku ya sherehe za CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom