CHADEMA kuweni makini na Nyalandu, soon ataunga juhudi

Nyalandu bora bado yupo chadema, hatatukanwa wala kebehiwa, kwa wanachadema kutokea ccm ukaja chadema wewe ni jasiri, ukiondoka chadema msaliti

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vile ukitoka CCM wewe in fisadi lakini ukirudi ccm umerudi nyumbani (kwa mafisadi) na unajitambua.
Unashangaa nini sasa?
IMG-20200212-WA0013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waberoya,
Slaa alihitaji nini zaidi wakati mpaka cheo cha juu alipata?

Kura ambazo Lowasa ameleta chadema Dr slaa asingeweza never so kwa wakati ule Lowasa alikuwa chaguo sahihi

CDM was firm, strong and well established na ilikuwa focused na agenda zake kila mtu alijua IDENTITY ya CDM ilijulikana hata bila Lowassa kuwepo

Mbowe na wewe mliwaza kubeba urais, ndoto ambazo hata Lowassa alijua haziwezi kuja. Mbowe akauza uttu wa CDM, Identity ya CDM, na akaua kila kilichopandwa na CDM, mafuriko ya kura ya LOWASSA yalikuwa na mlengo wa kibiashara wa kupiga hela za ubunge na ruzuku, haukuwa na na mitazomo/mtizamo wa ku focus kwenye uchaguzi wa 2020. Infact ni kama malaya ana danga anunue Range Rover au Maserati kwa kusimama na kuwa malaya pale Ohio, wakati wangezichanga kwa kazi yake halali angenunua bila kuvua utu wake

Ile ID ya chadema, imekufa

Slaa mwaka 2015 angegombea, CDM ingepata kura nyingi zaidi ya mwaka 2010, ingeingeza wabunge maana CCM ilikuwa imechokwa hiyo 2015, hata kama slaa aingepata kura milioni sita, ILA KURA ZA SLAA ZA MWAKA 2015 zingetengeneza PLATFORM nzuri kwa uchagui wa mwaka 2020!!!!!! CDM 2020 ingenoga!! ingekuwa tishio sana,

Lowasa yuko wapi sasa?? ile CDM ya mwaka 2007-2014 iko wapi??? CDM imekufa, na imekufa kwa maamuzi mabovu,

wewe kama una mtoto wa kike utaruhusu akawe malaya upate hela na mafanikio ya haraka haraka, naomba isiwe ndivyo ulivyopatikana mkuu!!!
 
Kaka hata slaa angekuwepo leo siasa zake za kuhonga na kupata mafaili zisingefaa lolote, ishu ni kuwa uelekeo wa siasa umebadilika sana hasa awamu hii

Lowasa kaleta faida kubwa chadema kuliko slaa, alichokuwa nafanya slaa ni kujijenga yy kama yy na ndio maana ccm wamempokea tena Lowasa coz wanajua dhamani yake
 
Unahitaji 101 basics za siasa,

Unahitaji kujua tumetoka wap

Slaa hakuwa anahonga, system ina watu wanaoipenda, walioipenda CDM....
 
Unahitaji 101 basics za siasa,

Unahitaji kujua tumetoka wap

Slaa hakuwa anahonga, system ina watu wanaoipenda, walioipenda CDM....

Ah ww ujui kitu kaa kimya tu, endelea kuwaza watu system walikuwa wanampa,
 
Siusemei moyo wa Nyalandu. Lakini Nyalandu hakuja Chadema kwa mafuriko yale ya kipindi cha uchaguzi, yeye aliacha mambo ya CCM na hiana zao baada ya ndugu yake Mnyaturu na mbunge mwenzake kupigwa risasi nyingi kama nyati wa mwituni na Wabunge wa CCM kukatazwa kwenda kumuona.

Hilo la Nyalandu ni la kiutu na takatifu sana kuweza kulinganisha na matukio ya hao "manungayembe" wengine.

Pia ukiangalia genuineness ya Nyalandu ni kuwashirikisha hadi wazazi wake, kijiji chake na jamii iliyo mzunguka kuelewa kwa nini amebadili imani yake.

Sikatai kuwa haiwezekani kugeuka msaliti! Maana wapo mpaka waanzilishi wa mageuzi wamegeuka kuwa wasaliti na hata huko ndani ya CCM wapo ambao sio wa kwao na ndio wanaofanya mipango yote miovu ya CCM na serikali wakiamka tuu wanaikuta inajulikana Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeyakaribisha mafuriko haongelewi wala hakosolewi (mbowe) kama msababisha tatizo. Matokeo yake linaongelewa tatizo bila kumhusisha alielisababisha. Wanachama wa Chadema aliyewaroga amekufa. Dk. Slaa alitahadharisha mapema sana haya yanayotokea leo, akaishia kutukanwa matusi ya nguoni na kuitwa msaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By the way vyama vya upinzani wanachama wake 90% walikuwa ni wana ccm ukiondoa hawa vijana wadogo walio zaliwa baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa.
Puyet Babel,
Si rahisi kumjua mbaya na mwema. La msingi asipewe Chama kama mwambe alivyokuwa amegombea Uenyekiti CDM! Kumfukuza uanachama bila kosa si busara! Unakaa naye kwa machale!
Hatuwezi kumhukumu kwa hisia tu

In God we Trust
 
Habari za Jumapili wakuu,

Katika hali isiyoshangaza kabisa ya mwana kurejea nyumbani (CCM) ikiwa inaendelea kwa sababu tu za kuunga juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli, napenda kutoa rai na kukiasa CHADEMA kwamba huu ndio muda sahihi kwao kuchukua hatua stahiki dhidi ya wana CCM waliobaki ndani ya chama.

Lazaro Nyalandu kwa sasa ndiye amebaki katika safu ya juu ya CHADEMA anayetokea CCM, ni vema wanaCHADEMA mkawa makini na mtu huyu kwani muda si mrefu ataunga juhudi za Rais kwa kigezo tu anarudi kwa chama chao cha nyumbani.

Ni muda sahihi sasa kubaki na wanaCHADEMA asilia, hawa wachumia tumbo wanaohama vyama kila kukicha baada ya kukosa wanachokitafuta kuwaondoa chamani mapema.

CHADEMA mnatakiwa kumvua Nyalandu uanachama, huyu hawafai na ndani ya mwaka huu msipochukua hatua atawakimbia mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye masikio na asikie
Chadema wanafeli kwa sababu ya kukumbatia makapi ubinafsi na makandokando ndani ya chama

Uliwahisikia wapi duniani mtu anahama chama kama kucheza karata kama sio bongo tu

Chadema wapunguze unyolonyolo (mnalipwa mshahara kwa kodi zetu mnaishi vizuri na familia zenu kutwa kuandika mitandaoni kuilaani ccm kwa ufupi hamna tofauti nao - hamumjali mwananchi it's all about maslahi binafsi period!)
 
Kuna watu wanajaribu kutubadilisha mawazo lakini Ngo hawatatuweza.
Nataka kusema sasa ni zamu ya kanda ya kati na wao wapate matunda na waingie serikalini
Na watu sahihi wa kanda ya kati ktk kugombea ni kina Mwingulu,Mkumbo,Lissu na Nyalandu.....sasa endeleeni wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanajaribu kutubadilisha mawazo lakini Ngo hawatatuweza.
Nataka kusema sasa ni zamu ya kanda ya kati na wao wapate matunda na waingie serikalini
Na watu sahihi wa kanda ya kati ktk kugombea ni kina Mwingulu,Mkumbo,Lissu na Nyalandu.....sasa endeleeni wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni mpya!
Kwa hali ilivyo CDM hakiwezi kumpa Nyalandu nafasi kugombea urais labda uongozi wa kanda na ubunge ambao ccm watauiba mchana kweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeyakaribisha mafuriko haongelewi wala hakosolewi (mbowe) kama msababisha tatizo. Matokeo yake linaongelewa tatizo bila kumhusisha alielisababisha. Wanachama wa Chadema aliyewaroga amekufa. Dk. Slaa alitahadharisha mapema sana haya yanayotokea leo, akaishia kutukanwa matusi ya nguoni na kuitwa msaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Si yuko ccm huko now? Nilitegemea ndio angefukua vizuri kama alivyokuwa anafanya wakati yuko chadema
 
Back
Top Bottom